Whozu ananunua gari baada ya kulipwa Tigo Fiesta..

Whozu ananunua gari baada ya kulipwa Tigo Fiesta..

Sasa wewe, umeona wapi mwanaume anasifiwa au kupostiwa kisa kanunua gari?

Shusha mjengo post ntamusaidia kushare,,

Halafu siyo kila michongo yake lazma utumie gari binafsi mbna bajaj zpo tena sana,

Unamiliki gari hata kununua mafuta unashndwa[emoji3]

#bado_sijanunua_gari_mjini_kuna_jam!

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hatuishi kwa kuigana tunaishi kwa kufanya yale tunayoona yanaendana na maisha yetu na mahitaji yetu.
As long as ela kaitolea jasho lake hakuna aliyemchangia ana haki ya kununua chochote na kuifanyia chochote amabacho anaona kinafaa.
Halafu kununua gari ni jambo gumu kuliko kujenga kwakuwa gari mara nyingi inahitajika ulipie cash wakati nyumba unajenga kidogo kidogo japo ni kwa muda mrefu.
So kama aliweka lengo la kununua gari katimiza, basi hata kama ana lengo la kujenga atatimiza Inshallah.
 
Whozu alizunguka na fiesta mikoa yote Tz mwaka huu

Kama ntakua niko sahihi nadhani ni mikoa zaidi ya 11

Alikua analipwa 1.5mil kwa kila show.Ukipiga mahesabu hapo amekusanya sio chini ya 15m,may 20m

Amenunua gari (asset) la sh 13mil - 16mil...

Hongera kwake kwa kujiongezea matumizi ya maisha (mark x ni jini mafuta kwa mlalahoi kama mimi)

Tusubili mwakani tena Fiesta inayofuata...may be atapata ela ya kujenga anagalau nyumba ya vyumba viwili.
Hiyo si asset ni liability asset ni kitu kiwe kinaongezeka samani na kuingizia sasa hapo zinatoka kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo si asset ni liability asset ni kitu kiwe kinaongezeka samani na kuingizia sasa hapo zinatoka kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyefundisha watanzania maisha ya kuigana sijui ni nani.
Unaweza nunua gari ambalo kila siku linahitaji mafuta lakini ikakuwezesha kufanya michakato yako ambayo inakuingizia ela ya maana ambayo usingeweza kuifanya kwa ufasaha bila gari.
 
Kinyerezi nilinunua Milion 5 tu. Nimejenga, nimemaliza nimepangisha mafala kama wewe kwa laki 3. kalipa kodi ya miezi 6, kodi yake nataka ninunue kiwanja cha Milion 2 huko Chanika, nijenga nipangishe majinga kama nyie ili niendelee kuwa Tajiri. Msubiri Viwanja vya Milion 50.
Sisi wapangaji tumekukosea nini baba mwenye nyumba[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania bana, yaani MTU hata usiyemjua kanunua gari unakasirika, unataka ajenge nyumba, alikwambia yeye shida yake yeye ni nyumba..

Hugo dogo kazi zake asilimia kubwa anafanya usiku, akitoka kwenye show anapata shida ya usafiri, yy kaona anunue gari ili arahisishe kazi zake .....hamtaki..
Duh!!

Wavumilie tu, wabongo wana hali ngumu. Vichwa vina stress hatari, wanajifanya hawajui kuwa kwa maisha ya dar gari ni hitaji muhimu sio anasa tena.
 
Kijana Whozu naona kajigiftisha gari aina ya Mark X baada ya kumaliza show za msimu wa Tigo Fista. Kijana kafurahi sana kama inavyokuwa ukimiliki gari kwa mara ya kwanza hata usingizi hupati na unajipa safari hata zisizo na maana.
Kijana kajitahidi maana kwa mwaka mmoja tu huenda ameanza kuishi ndoto zake.
Wewe ni mke wa whozu?

Ataachaje kununua gari yake ya kwenda mbinguni ilhali aliachwa na basi la kwenda mbinguni kisa nyoka.
 
Back
Top Bottom