mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Hakuna kiwango kwa show, ts about negotiations, Hauwezi ukamlipa fid Q kama unavyomlipa Marioo au whozu, inategemeana una hit songs ngapi na una ushawishi kiasi gani, Ndio maana ninasema just tuangalie factors za nje tu ili kubaini kuwa fiesta inawalipa coz ni vigumu kujua wanalipwa kiasi gani, mikataba iko closed sana.KWANI HUWA WANALIPWA BEI GANI KWA SHOW MOJA
Oky, ungemuuliza pia huko alikofanya shows alikuwa analipwa bei gani....Kasema yeye mwenyewe mimi ninaanza vipi kumbishia. Na kasema alifanya show sehemu zote Fiesta ilikofanyika kasoro mikoa mitatu tu.
Be positive, hata haya hakuulizwa kaandika mwenyewe bila kuulizwa siku akijisikia kusema analipwa shilingi ngapi pia atasema bila kuulizwa.Oky, ungemuuliza pia huko alikofanya shows alikuwa analipwa bei gani....
Wengine hapo wanahemewa kisogoni na mijeba yenye hela zao!
Kasema yeye mwenyewe mimi ninaanza vipi kumbishia. Na kasema alifanya show sehemu zote Fiesta ilikofanyika kasoro mikoa mitatu tu.
Hili gari la bei ndogo halifiki hata mls 16 sidhani kama anashindwa kununua kama vijisent vyake vyote alikuwa anvikusanya kutimiza hili.Hatumbishii mkuu, ila ni vile tu wasanii wana hizi culture za kutuzuga baadhi ya vitu, mfano:
- Diamond aliwahi kuazimwa V8 na pedeshee kitu kama Katunzi (sikumbuki vizuri) akasema kanunua
- Wema aliwahi kuuambia uma nyumba aliyopanga Kijitonyama kainunua, kulikuwa na Range aliazimwa au sijui ilikuwaje, alisema ni take
- Sheta alitutambia na V8 ya kuazima akisema ni ya kwake
- Nay wa Mitego aliwahi kutuonesha nyumba ya around 70mil akasema imemgharimu mil 300
- Kuna kina Giggy na mawigi ya mil 6
Hao ni wasanii na usanii ni kazi yao, hiyo nayo ni sanaa.
Hili gari la bei ndogo halifiki hata mls 16 sidhani kama anashindwa kununua kama vijisent vyake vyote alikuwa anvikusanya kutimiza hili.
afadhali kaambulia hiyo ndani ya show 13 tena kwa muda usiozidi miezi 3, waajiliwa mbona wanamaliza miaka 40 kwenye ajira halau wanaambulia kiinua mgongo cha mils 84 ambazo nazo hawapewi zote.show 13 kati ya 15 alizoperform kaambulia mark x tu.....kweli wasanii wananyonywa
Kwenye kuongeza masufuri hapo nawakubari nakumbuka Ommy dimpoz aliponunuaga Mark X kama hii akasema kainunua mls sijui 25Very possible mkuu, ukisoma vizuri andiko langu, sina mahali nakopinga, ila nimeweka all possibilities open.
Msanii na mwanasiasa nawatifautisha kidogo sana, mmoja anaficha idadi ya mali zake (zake anasema si zake), mwingine anakuza idadi ya mali zake (anasema ambazo si zake ni zake).
Huwendi mbinguni.Kweli uzee unaninyemelea simjui kabisa huyu kijana
[emoji3][emoji3]Wabongo sisi bwana..ukija na uzi wa wasanii hawalipwi shida,ukija na uzi kulipwa kwa wasanii bado pia shida..
Dar tu sio mpaka Kwetu katav sisi nyumba kwanzaNdoto ya kila mmoja kupata chombo cha usafiri.
Dar tu sio mpaka Kwetu katav sisi nyumba kwanza
Hongera sana kwa kuvuta Mark Matusi.Kijana Whozu naona kajigiftisha gari aina ya Mark X baada ya kumaliza show za msimu wa Tigo Fista. Kijana kafurahi sana kama inavyokuwa ukimiliki gari kwa mara ya kwanza hata usingizi hupati na unajipa safari hata zisizo na maana.
Kijana kajitahidi maana kwa mwaka mmoja tu huenda ameanza kuishi ndoto zake.