Whozu ananunua gari baada ya kulipwa Tigo Fiesta..

show 13 kati ya 15 alizoperform kaambulia mark x tu.....kweli wasanii wananyonywa
Ila kwa level ya whozu ni sawa tuu mkuu .
Nyimbo zenyewe 3 kwa mafanikio hayo ni sawa .
Sema nilichogundua vijana wa kaskazini wanapush ana sana .
 
Dar tu sio mpaka Kwetu katav sisi nyumba kwanza
Nyumba gani unajenga kwa bei ya Mark X? Navyojua mimi kiwanja cha kujengea nyumba hauwezi kupata chini ya milioni 50,nasema kiwanja TU...........Nyumba huwa zinajengwa kwenye viwanja vilivyopimwa kama wewe unazungumzia kujenga nyumba kwenye "SKWATA" basi unazungumzia kujenga "PAGALE"........Sina nyumba wala gari lakini vyote muhimu inategemea na preference ya mtu,kama whozu msanii kaona kununua gari ni muhimu kwake kwanza heshimu mawazo yake,kama kaweza kununua gari kwa kutoa fedha za papo kwa papo basi hatoshindwa kujenga nyumba akifikia ilo lengo.

Note:Kuna tofauti ya nyumba na pagale,wengi wanaosema nyumba kwanza wamejenga "MAPAGALE" ,waliojenga NYUMBA hawezi kushangaa mtu kununua gari kwanza maaana fedha za Mark X haiwezi kujenga nyumba wala hata kununua kiwanja.
 
Msanii anaona fahari kumiliki gari wakati akiishi maisha ya kuigiza na pengne amepanga!!
Wabongo, daah....kwani mtu akiwa anapanga inamzuia kumiliki gari? Ni vipaumbele tu basi. Mbona watu wanaishi kwenye nyumba za msajili na wanamiliki maV8?
 
Kwahyo kumiliki gari umeona ni kitu muhmu kuliko kujenga nyumba labda?

Mbna hakupostiwa kuwa kamiliki nyumba mmekimbilia gari.

Kumtangaza mtu kumiliki nyumba ni zaidi ya mara mia ya gari.

Muache upopoma.

Na sijaona mantiki ya mtu kumiliki gari huku umepanga halafu unategemea show za fiesta ndyo ununue gari na upost.

Wabongo, daah....kwani mtu akiwa anapanga inamzuia kumiliki gari? Ni vipaumbele tu basi. Mbona watu wanaishi kwenye nyumba za msajili na wanamiliki maV8?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 

16ml alafu unafikilia kujenga baada ya usafiri, Kwa maisha ya Tanzania usafiri ni hitaji muhimu sio anasa,
 
suala la usafiri kwa mfanya biashara na msanii n muhimu sana haijalishi ana nyumba au hana kwasababu sio watu wa kukaa sehemu moja katika shughuri zao
 
Duh!!! Hili iitwe nyumba lazima kiwanja kinunuliwe Milion 50??? Guys you not serious, ndio maana mnafia kwenye za kupanga kwa akili za kijinga kama hizi. Mimi nilinunua kiwanja Kigamboni mji mwema Milion 6 mwaka 2014. Nikajenga kwa kuunga Unga mpaka 2017 nyumba imekamilika. Niko kwangu, na Sasa nimemaliza nyumba ya Tatu kinyerezi. We endelea na mawazo kipumbavu utafia kwenye vibanda huko mazense.
 
Kiwanja milioni 6?? Kipo Block Gani? Wewe unamiliki "MAPAGALE" na sio NYUMBA,Kiwanja cha milioni 6 hivi si ndio hivyo ukijenga PAGALE umemaliza hata sehemu ya kuegesha pikipiki unakosa? Nyie ndi mnaosema mna nyumba kumbe ukija kuiona madirisha umeweka ya nyavu na papi ,plasta hakuna ndani wala nje,chini sakafu ya udongo,milango ya saplasi kipindi cha mvua haifungi na kipindi cha jua inanywea inaweka uwazi,bati umeezeka za reject.
 
Dogo unachekesha sana. Hata kama ni pagale si kwangu kulingana na kipato changu?? We dogo mjinga sana. Kiwanja Milion 6 mwaka 2014 ulitegemea kina ukubwa Gani?? Kiwanja hicho kina ukuwa sqm 800 kidogo?? We amnazo. Nimejenga nyumba kubwa na parking ya kutosha, Paving block Safi, Bustani Safi. Mpaka sasa thamani ya nyumba yangu si chini ya Milion 150 kwenye hicho kiwanja cha Milion 6.
 
Kinyerezi nilinunua Milion 5 tu. Nimejenga, nimemaliza nimepangisha mafala kama wewe kwa laki 3. kalipa kodi ya miezi 6, kodi yake nataka ninunue kiwanja cha Milion 2 huko Chanika, nijenga nipangishe majinga kama nyie ili niendelee kuwa Tajiri. Msubiri Viwanja vya Milion 50.
 
Acha mwembwe wewe JUHA,sqm 800 ndio kuja kujitapa unapata na parking na garden? Kadanganye MAJUHA wenzako,mtu mwenye uwezo wa kujenga nyumba ya 150m hawezi kununua SKWATA.
 
Dogo umepaniki sana,Mtu mwenye "MAPAGALE" matatu hawezi kupaniki kwa niliyoyaongea,inaonekana nimegonga mule mule ndio maana imekuuma,unashangaa kiwanja mil 50? Watu wananunua hadi mil 800.......Endelea kununua SKWATA zako huku JF,humu JF kila mtu ana nyumba na wewe unaendeleza UPOPOMPO wako wa kuwa na MAPAGALE matatu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Kwa hiyo mpangaji wako ni fala? Okay basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…