Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Nimependa jbu lako kumbe ushajua kuwa jama anamjua sana domoSawa Tanasha, Sisi ni nani Mpaka tukupinge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa jbu lako kumbe ushajua kuwa jama anamjua sana domoSawa Tanasha, Sisi ni nani Mpaka tukupinge.
[emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja tunda afanye yake...mwezi tu zitakata hizo
yeye na kaka ake wote weziMsanii wa muziki wa bongo fleva Whozuamesaini mkataba na kampuni ya entertainment iitwayo Too Much Money inayoongozwa na kaka yake Frank pamoja na Fred yenye ofisi zake jijini Guangzhou, China.
Na mkataba huo unahusisha Kusimamia kazi za Muziki, vichekesho pamoja na biashara ambazo zitahusisha jina la msanii huyo, mkataba huo mrefu ambao kwa mujibu wake amelipwa Dola za kimarekani 30,000 kama Deposit ambazo ni zaidi ya Millioni 60 za kibongo
Pia, akiwa nchini China Whozu amefanya kazi mbalimbali ikiwa kurekodi nyimbo kadhaa na maproducer wa China wenye asili ya Nigeria pamoja na kufanya video tatu nchini nchini humo.
Msanii wa bongo Fleva Whozu asaini dili ambalo litamlipa Zaidi ya MILIONI 60+
View attachment 1255961
Chanzo: Hot News TZ
[emoji23][emoji23][emoji23] wapi hiyo 60 mill ni za maneno tu hawa ni wasanii kama majina yao tu.Watu wa TRA wakija kudai kodi hapo kwenye mil 60 pls be cooperative
Ndivyo mafukara mnavyowaza....Milioni 60 ni vocha ya Diamond kwa mwezi
Acha kumvunja moyo huyu MANGI mbona na bonge la FUTURE kimuziki labda wewe humpendi tuuTatizo la management na wasanii wa kibongo hawasemagi ukweli ila ngoja washindwane ndio utasikia wanasema mara hakuna kitu chochote mara msanii haingizii faida management na kwa msanii kama whozu mjanja mjanja hyo management ijue kabsa kurudisha hela ni ngumu sana sababu hana talent ya muziki na pia hata ukiangalia na kusikiliza nyimbo zake huoni kesho yake ataimba nin ni ujanja ujanja tu
Ndio lakini anashindwa kutunza watoto wake south kisa kagombana na mama yao,.Milioni 60 ni vocha ya Diamond kwa mwezi
[emoji23]Sawa Tanasha, Sisi ni nani Mpaka tukupinge.
Very niceMuda utazungumza
Acha kumvunja moyo huyu MANGI mbona na bonge la FUTURE kimuziki labda wewe humpendi tuu
[emoji23]Sawa Tanasha, Sisi ni nani Mpaka tukupinge.
Babu tale,sallam,mkubwa fela,madensa wake km 8,watu wa make up,DJs,n.kNdivyo mafukara mnavyowaza....
hiyo 60 m jamaa anaikatikia kiuno balaa ili walau aoene hata faida maana nyuma yake kuna watu wengi wanasubiri gawio kama kina babu tale and the like....