Why Africa girls think all white men have money?

Kwasababu white man akija huku afrika na zile hela zao kidogo tu akizibadili anaweza kula bata la maana hapa bongo na kununua ardhi na kujenga nyumba hata kwa mwezi mmoja tu

Weupe wamejenga sana nyumba kwao na mademu zao tena kwa muda mfupi sana,yaan nyumba ya 30 mil inajengwa mchana na usiku
 
Walishatuzidi kete siku nyingi, wanaishi sana kibajeti ndio maana wana pesa. Walishatunyonya vya kutosha hivyo pesa wanazo. Wengi wao ila sio wote, kuna walala hoi hata zaidi ya Mwafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…