Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Haihusisni na wewe, umeuliza swali nikaweka na la nyongezaIla mimi ni jinsia M
Antonnia pole yako nishapata bebii mtakoma πMwamwaa nimekupndraa kwanzia niite babe natangaza Nia nimempata mpenzi jamii forum nani Carrasco putin mwaaa mwaa
Wakuu nimeulizwa swali hilo hapo juu. Karibu kwa majibu.
ππππππππ!Antonnia pole yako nishapata bebii mtakoma π
what you mean?
Hata kama sio nyingiBut not all.
WoteeeSio wote
Unaona mxiuu halafu tugandane hapa hamna hata 50kKwasababu white man akija huku afrika na zile hela zao kidogo tu akizibadili anaweza kula bata la maana hapa bongo na kununua ardhi na kujenga nyumba hata kwa mwezi mmoja tu
Weupe wamejenga sana nyumba kwao na mademu zao tena kwa muda mfupi sana,yaan nyumba ya 30 mil inajengwa mchana na usiku
chaiUkweli ni kwamba watu white na pesa ni kama pombe na mlevi pesa zinawapenda sana watu weupe kuliko weusi..
Kule zanzibar kila nyumba inapigania ipate chotara la kizungu au kiarabu wanaamini ukiwa na watu hao kwenye ukoo basi ni dalili ya kuneemeka na ndio ilivyo kwa wengi.