Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 308
- 654
Chawa ni wadudu wachafu wanaomkaa mtu mchafu, hawakai kwa mtu msafi.Lisu na yeye ashapata machawa jamii forum kama Mbowe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa ni wadudu wachafu wanaomkaa mtu mchafu, hawakai kwa mtu msafi.Lisu na yeye ashapata machawa jamii forum kama Mbowe?
Lisu hafai kuwa mwenyekiti wa chama Cha siasa chochoteLissu anaweza asiwe kiongozi mzur ila kitu kizuri sio fisadi km lile zee 🤣🤣🤣
Twende na lissu
Ndo ujue hata lisu kashakuwa mchafu mpaka kapata chawaChawa ni wadudu wachafu wanaomkaa mtu mchafu, hawakai kwa mtu msafi.
Si kweli, chawa hula kutokana na uchafu uliomgandamana bwana wake.Ndo ujue hata lisu kashakuwa mchafu mpaka kapata chawa
Kitambo Sana mzee Tupa Tupa sijakusikia..Mwaka 2010, Tundu Lissu aligombea kwa mara ya kwanza nafasi ya ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 42. Mgombea wa Urais wa CHADEMA alikuwa Dr. Wilbrod Slaa na huku wa CCM akiwa ni Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwa kauli yake mwenyewe, tena akiwa anatetea urais wake, Kikwete alikaririwa akisema kuwa ni heri dr. Slaa awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuliko Lissu kuwa Mbunge. Lissu akatoboa. Akauwasha moto mkali sana Bungeni. Why always Lissu?
Mwaka 2017, Lissu alitangaza kugombea urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS). Ikawa nongwa. CCM na Serikali tukajipanga na kupangika katika kumzuia asishinde Urais wa TLS. Tukawasukumia makada wakuda kwenye kugombea naye. Uwekezaji na nguvu kubwa vilitumika kumzuia. Akatoboa. Lakini hakumaliza uongozi wake.
Katika kumzuia Lissu na yeyote wa aina yake kuwa Rais wa TLS, yakafanyika mabadiliko ya sheria zinazoratibu TLS. Wanasiasa na watumishi wa umma wakazuiwa kisheria kugombea. Wakiwa wa CCM, huwa wanagombea lakini kutoboa huwa ngumu kama njumu.
Mwaka huo huo 2017, mwezi Septemba, Lissu alitoa hoja za haja Bungeni akipinga na kukosoa kwa ajili ya kurekebishwa mikataba mbalimbali ya kimataifa na sheria zinazohusu rasilimali asili za Tanzania. Hoja zake hazikupendwa. Alipotoka tu Bungeni wakati wa mapumziko ya mchana, akashambuliwa kwa nia ya kuuliwa. Akatoboa na amezidi 'kupoa'.
Mwaka huu, Lissu ametangaza na ameshajaza fomu za kugombea Uenyekiti wa CHADEMA. CCM na Serikali yetu imetubidi tubadili gia angani. Tumeugeuka msimamo na masimango yetu kwa Mbowe kubaki Mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20. Waziwazi, tunamuunga mkono Mbowe ili aendelee kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Kisa ni Lissu. Lazima azuiliwe asiwe Mwenyekiti.
Kwanini Lissu anaogopwa kwa kiasi hiki na CCM na Serikali yake? Ana upekee gani? Kwanini upekee huo wa Lissu usitumike kwa manufaa ya taifa letu la Tanzania?
Why always Tundu Antiphas Mughwai Lissu?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Masasi, Mtwara)
Uko masasi sehemu gani nije kukusalimu?Mwaka 2010, Tundu Lissu aligombea kwa mara ya kwanza nafasi ya ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 42. Mgombea wa Urais wa CHADEMA alikuwa Dr. Wilbrod Slaa na huku wa CCM akiwa ni Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwa kauli yake mwenyewe, tena akiwa anatetea urais wake, Kikwete alikaririwa akisema kuwa ni heri dr. Slaa awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuliko Lissu kuwa Mbunge. Lissu akatoboa. Akauwasha moto mkali sana Bungeni. Why always Lissu?
Mwaka 2017, Lissu alitangaza kugombea urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS). Ikawa nongwa. CCM na Serikali tukajipanga na kupangika katika kumzuia asishinde Urais wa TLS. Tukawasukumia makada wakuda kwenye kugombea naye. Uwekezaji na nguvu kubwa vilitumika kumzuia. Akatoboa. Lakini hakumaliza uongozi wake.
Katika kumzuia Lissu na yeyote wa aina yake kuwa Rais wa TLS, yakafanyika mabadiliko ya sheria zinazoratibu TLS. Wanasiasa na watumishi wa umma wakazuiwa kisheria kugombea. Wakiwa wa CCM, huwa wanagombea lakini kutoboa huwa ngumu kama njumu.
Mwaka huo huo 2017, mwezi Septemba, Lissu alitoa hoja za haja Bungeni akipinga na kukosoa kwa ajili ya kurekebishwa mikataba mbalimbali ya kimataifa na sheria zinazohusu rasilimali asili za Tanzania. Hoja zake hazikupendwa. Alipotoka tu Bungeni wakati wa mapumziko ya mchana, akashambuliwa kwa nia ya kuuliwa. Akatoboa na amezidi 'kupoa'.
Mwaka huu, Lissu ametangaza na ameshajaza fomu za kugombea Uenyekiti wa CHADEMA. CCM na Serikali yetu imetubidi tubadili gia angani. Tumeugeuka msimamo na masimango yetu kwa Mbowe kubaki Mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20. Waziwazi, tunamuunga mkono Mbowe ili aendelee kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Kisa ni Lissu. Lazima azuiliwe asiwe Mwenyekiti.
Kwanini Lissu anaogopwa kwa kiasi hiki na CCM na Serikali yake? Ana upekee gani? Kwanini upekee huo wa Lissu usitumike kwa manufaa ya taifa letu la Tanzania?
Why always Tundu Antiphas Mughwai Lissu?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Masasi, Mtwara)
AbsolutelyLisu sio sio hapokei wala kutoa rushwa, Lisu sio mwanasiasa na hajui kusifia sifia ili kubembeleza na nimsema ukweli, hiyo inatosha kumpa crediti
Chawa chawa tu hayo mapambio yote hayo ni uchawa tuSi kweli, chawa hula kutokana na uchafu uliomgandamana bwana wake.
Sasa ukitegemea hela chafu kama za akina Abdul kutoka kwa Lissu njaa itakuua.
Ukiona mtu anamsapoti Lissu jua huyo anafanya voluntarily tu na ana akili inayofanya kazi.
Mbona umepaniki?Chawa chawa tu hayo mapambio yote ni uchawa tu
Hapana Mimi ni mpinga machawaMbona umepaniki?
Na wewe ni mnufaika wa mapesa ya mama abdul?
100% perfectLisu sio mla rushwa, ni muwazi na muadilifu
Mi mawazo yangu yananiambia wewe unajua ila unatutega, ebu yamwage hapa ili tupate kujua.Mwaka 2010, Tundu Lissu aligombea kwa mara ya kwanza nafasi ya ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 42. Mgombea wa Urais wa CHADEMA alikuwa Dr. Wilbrod Slaa na huku wa CCM akiwa ni Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwa kauli yake mwenyewe, tena akiwa anatetea urais wake, Kikwete alikaririwa akisema kuwa ni heri dr. Slaa awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuliko Lissu kuwa Mbunge. Lissu akatoboa. Akauwasha moto mkali sana Bungeni. Why always Lissu?
Mwaka 2017, Lissu alitangaza kugombea urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS). Ikawa nongwa. CCM na Serikali tukajipanga na kupangika katika kumzuia asishinde Urais wa TLS. Tukawasukumia makada wakuda kwenye kugombea naye. Uwekezaji na nguvu kubwa vilitumika kumzuia. Akatoboa. Lakini hakumaliza uongozi wake.
Katika kumzuia Lissu na yeyote wa aina yake kuwa Rais wa TLS, yakafanyika mabadiliko ya sheria zinazoratibu TLS. Wanasiasa na watumishi wa umma wakazuiwa kisheria kugombea. Wakiwa wa CCM, huwa wanagombea lakini kutoboa huwa ngumu kama njumu.
Mwaka huo huo 2017, mwezi Septemba, Lissu alitoa hoja za haja Bungeni akipinga na kukosoa kwa ajili ya kurekebishwa mikataba mbalimbali ya kimataifa na sheria zinazohusu rasilimali asili za Tanzania. Hoja zake hazikupendwa. Alipotoka tu Bungeni wakati wa mapumziko ya mchana, akashambuliwa kwa nia ya kuuliwa. Akatoboa na amezidi 'kupoa'.
Mwaka huu, Lissu ametangaza na ameshajaza fomu za kugombea Uenyekiti wa CHADEMA. CCM na Serikali yetu imetubidi tubadili gia angani. Tumeugeuka msimamo na masimango yetu kwa Mbowe kubaki Mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20. Waziwazi, tunamuunga mkono Mbowe ili aendelee kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Kisa ni Lissu. Lazima azuiliwe asiwe Mwenyekiti.
Kwanini Lissu anaogopwa kwa kiasi hiki na CCM na Serikali yake? Ana upekee gani? Kwanini upekee huo wa Lissu usitumike kwa manufaa ya taifa letu la Tanzania?
Why always Tundu Antiphas Mughwai Lissu?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Masasi, Mtwara)
Labda nikuulize wewe maswali kadhaa.Mwaka 2010, Tundu Lissu aligombea kwa mara ya kwanza nafasi ya ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 42. Mgombea wa Urais wa CHADEMA alikuwa Dr. Wilbrod Slaa na huku wa CCM akiwa ni Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwa kauli yake mwenyewe, tena akiwa anatetea urais wake, Kikwete alikaririwa akisema kuwa ni heri dr. Slaa awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuliko Lissu kuwa Mbunge. Lissu akatoboa. Akauwasha moto mkali sana Bungeni. Why always Lissu?
Mwaka 2017, Lissu alitangaza kugombea urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS). Ikawa nongwa. CCM na Serikali tukajipanga na kupangika katika kumzuia asishinde Urais wa TLS. Tukawasukumia makada wakuda kwenye kugombea naye. Uwekezaji na nguvu kubwa vilitumika kumzuia. Akatoboa. Lakini hakumaliza uongozi wake.
Katika kumzuia Lissu na yeyote wa aina yake kuwa Rais wa TLS, yakafanyika mabadiliko ya sheria zinazoratibu TLS. Wanasiasa na watumishi wa umma wakazuiwa kisheria kugombea. Wakiwa wa CCM, huwa wanagombea lakini kutoboa huwa ngumu kama njumu.
Mwaka huo huo 2017, mwezi Septemba, Lissu alitoa hoja za haja Bungeni akipinga na kukosoa kwa ajili ya kurekebishwa mikataba mbalimbali ya kimataifa na sheria zinazohusu rasilimali asili za Tanzania. Hoja zake hazikupendwa. Alipotoka tu Bungeni wakati wa mapumziko ya mchana, akashambuliwa kwa nia ya kuuliwa. Akatoboa na amezidi 'kupoa'.
Mwaka huu, Lissu ametangaza na ameshajaza fomu za kugombea Uenyekiti wa CHADEMA. CCM na Serikali yetu imetubidi tubadili gia angani. Tumeugeuka msimamo na masimango yetu kwa Mbowe kubaki Mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20. Waziwazi, tunamuunga mkono Mbowe ili aendelee kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Kisa ni Lissu. Lazima azuiliwe asiwe Mwenyekiti.
Kwanini Lissu anaogopwa kwa kiasi hiki na CCM na Serikali yake? Ana upekee gani? Kwanini upekee huo wa Lissu usitumike kwa manufaa ya taifa letu la Tanzania?
Why always Tundu Antiphas Mughwai Lissu?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Masasi, Mtwara)
Mwaka 2010, Tundu Lissu aligombea kwa mara ya kwanza nafasi ya ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 42. Mgombea wa Urais wa CHADEMA alikuwa Dr. Wilbrod Slaa na huku wa CCM akiwa ni Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwa kauli yake mwenyewe, tena akiwa anatetea urais wake, Kikwete alikaririwa akisema kuwa ni heri dr. Slaa awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuliko Lissu kuwa Mbunge. Lissu akatoboa. Akauwasha moto mkali sana Bungeni. Why always Lissu?
Mwaka 2017, Lissu alitangaza kugombea urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS). Ikawa nongwa. CCM na Serikali tukajipanga na kupangika katika kumzuia asishinde Urais wa TLS. Tukawasukumia makada wakuda kwenye kugombea naye. Uwekezaji na nguvu kubwa vilitumika kumzuia. Akatoboa. Lakini hakumaliza uongozi wake.
Katika kumzuia Lissu na yeyote wa aina yake kuwa Rais wa TLS, yakafanyika mabadiliko ya sheria zinazoratibu TLS. Wanasiasa na watumishi wa umma wakazuiwa kisheria kugombea. Wakiwa wa CCM, huwa wanagombea lakini kutoboa huwa ngumu kama njumu.
Mwaka huo huo 2017, mwezi Septemba, Lissu alitoa hoja za haja Bungeni akipinga na kukosoa kwa ajili ya kurekebishwa mikataba mbalimbali ya kimataifa na sheria zinazohusu rasilimali asili za Tanzania. Hoja zake hazikupendwa. Alipotoka tu Bungeni wakati wa mapumziko ya mchana, akashambuliwa kwa nia ya kuuliwa. Akatoboa na amezidi 'kupoa'.
Mwaka huu, Lissu ametangaza na ameshajaza fomu za kugombea Uenyekiti wa CHADEMA. CCM na Serikali yetu imetubidi tubadili gia angani. Tumeugeuka msimamo na masimango yetu kwa Mbowe kubaki Mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20. Waziwazi, tunamuunga mkono Mbowe ili aendelee kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Kisa ni Lissu. Lazima azuiliwe asiwe Mwenyekiti.
Kwanini Lissu anaogopwa kwa kiasi hiki na CCM na Serikali yake? Ana upekee gani? Kwanini upekee huo wa Lissu usitumike kwa manufaa ya taifa letu la Tanzania?
Why always Tundu Antiphas Mughwai Lissu?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Masasi, Mtwara)
Nenda makampuni ya madini nafikiri hutarudi tena hapa kutushuhudia ujinga wako hapa. Tangu lini mpagani TAL hali rushwa? Are you serious?!! Kitu gani kilimpata baada ya ujio wa EN Lowassa CDM na kupewa fursa ya kugombea wakati siku chache tu alitoka kumnanga lakini ndiye aliyemsafisha hadharani!! Rushwa sio lazima upewe pesa ni pana sana kigego!! Mbona yeye mwenyewe alishakiri kupelekewa pesa za kumpooza asisemeseme na kweli anachokiongea kwenye utawala huu sicho alichokuwa anakiongea leo amejaa uoga, uongo, kusema siri hadharani kwa kinga ya mazwazwa wake wasimshtukie.LISSU sio mla RUSHWA.
Kwanini unazunguruka zunguruka wewe sema tu kuwa Lissu alipewa RUSHWA na fulani siku fulani halafu hilo swali tunalipeleka Club House.Nenda makampuni ya madini nafikiri hutarudi tena hapa kutushuhudia ujinga wako hapa. Tangu lini mpagani TAL hali rushwa? Are you serious?!! Kitu gani kilimpata baada ya ujio wa EN Lowassa CDM na kupewa fursa ya kugombea wakati siku chache tu alitoka kumnanga lakini ndiye aliyemsafisha hadharani!! Rushwa sio lazima upewe pesa ni pana sana kigego!! Mbona yeye mwenyewe alishakiri kupelekewa pesa za kumpooza asisemeseme na kweli anachokiongea kwenye utawala huu sicho alichokuwa anakiongea leo amejaa uoga, uongo, kusema siri hadharani kwa kinga ya mazwazwa wake wasimshtukie.
Msukule wa Magufuli huo ulishalishwa matango pori na Magufuli kuwa Lissu alikuwa anatumika.Kwanini unazunguruka zunguruka wewe sema tu kuwa Lissu alipewa RUSHWA na fulani siku fulani halafu hilo swali tunalipeleka Club House.
Tunachotaka ni UWAZI...🙂