Why always Tundu Antiphas Mughwai Lissu?

Ndo ujue hata lisu kashakuwa mchafu mpaka kapata chawa
Si kweli, chawa hula kutokana na uchafu uliomgandamana bwana wake.

Sasa ukitegemea hela chafu kama za akina Abdul kutoka kwa Lissu njaa itakuua.

Ukiona mtu anamsapoti Lissu jua huyo anafanya voluntarily tu na ana akili inayofanya kazi.
 
Kitambo Sana mzee Tupa Tupa sijakusikia..
Asante Kwa Tafakuri hii
 
Uko masasi sehemu gani nije kukusalimu?
 
Si kweli, chawa hula kutokana na uchafu uliomgandamana bwana wake.

Sasa ukitegemea hela chafu kama za akina Abdul kutoka kwa Lissu njaa itakuua.

Ukiona mtu anamsapoti Lissu jua huyo anafanya voluntarily tu na ana akili inayofanya kazi.
Chawa chawa tu hayo mapambio yote hayo ni uchawa tu
 
Mi mawazo yangu yananiambia wewe unajua ila unatutega, ebu yamwage hapa ili tupate kujua.
 
Au ndo mpango wa Mbowe na Lissu kuwa wagombee nafasi moja ili CCM tuachane na hoja ya ukomo wa Mbowe?
 
Labda nikuulize wewe maswali kadhaa.
1. Una hakika Lissu akiwa bungeni alitaka.kurekebisha sheria ya mikataba au alipinga sheria mpya ya Magufuli kuvunja mikataba mibovu ya nishati na madini? Maana nakumbuka hoja ilianzia kilamatwa kwa Makinikia ya Acacia.
2. Isitoshe yanipa wasiwasi Mama Samia alipoingia madarakani akiwa Belgium.alienda kumtembea Tundu Lissu hospital. Wakaongea Je, unajua waliongea nini? Iweje Tundu Lissu alodai Usalama wa Taifa ulitaka kumuua ghafla arudi Tanzania bila kuhakikishiwa Usalama wake? Na kama alihakikishiwa usalama alipewa masharti gani? Je, Mhaini ambaye anatafutwa na TISS anaweza kurudi nchini kinyemela tu na asishughulikiwe? Na amewezaje kuishi toka 2021 hana Ubunge, hana biashara jana ajira yoyote inayojuikana kumletea kipato - Anaishije mjini?
3. Kwa nini Lissu ataje rushwa na ufisadi wa Mbowe sasa hivi? Akiwa Makamu Mwenyekiti hakuyaona haya wakati wote 2021, 2022,2023, 2024 mpaka leo hii 2025 imebakia miezi 10 tu kufikia Uchaguzi Mkuu wa Taifa ndio aje na tuhuma nzito zote hizo?
4. Tundu Lissu akiwa rais wa TLS alifanya kipi ambacho kilifanya Serikali itunge sheria mpya dhidi yake na sii kuimarisha utendaji wa TLS. Kuna mwiba wa serikali kuliko Mwambukusi?
 

Lissu ni special leader huo ndiyo ukweli kama Nyerere au Mandela tutake tusitake
 
LISSU sio mla RUSHWA.
Nenda makampuni ya madini nafikiri hutarudi tena hapa kutushuhudia ujinga wako hapa. Tangu lini mpagani TAL hali rushwa? Are you serious?!! Kitu gani kilimpata baada ya ujio wa EN Lowassa CDM na kupewa fursa ya kugombea wakati siku chache tu alitoka kumnanga lakini ndiye aliyemsafisha hadharani!! Rushwa sio lazima upewe pesa ni pana sana kigego!! Mbona yeye mwenyewe alishakiri kupelekewa pesa za kumpooza asisemeseme na kweli anachokiongea kwenye utawala huu sicho alichokuwa anakiongea leo amejaa uoga, uongo, kusema siri hadharani kwa kinga ya mazwazwa wake wasimshtukie.
 
Kwanini unazunguruka zunguruka wewe sema tu kuwa Lissu alipewa RUSHWA na fulani siku fulani halafu hilo swali tunalipeleka Club House.

Tunachotaka ni UWAZI...🙂
 
Kwanini unazunguruka zunguruka wewe sema tu kuwa Lissu alipewa RUSHWA na fulani siku fulani halafu hilo swali tunalipeleka Club House.

Tunachotaka ni UWAZI...🙂
Msukule wa Magufuli huo ulishalishwa matango pori na Magufuli kuwa Lissu alikuwa anatumika.

Kumbe dikteta uchwara wao alishindwa kumjibu Lissu kwa hoja akaishia kumtungia uongo. Alipoona uongo wake haufanyi kazi akataka kumuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…