Why always Tundu Antiphas Mughwai Lissu?

Kwanini Lissu anaogopwa kwa kiasi hiki na CCM na Serikali yake? Ana upekee gani? Kwanini upekee huo wa Lissu usitumike kwa manufaa ya taifa letu la Tanzania?

Why always Tundu Antiphas Mughwai Lissu?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Masasi, Mtwara)
Tundu Lissu anaogopwa kama ukoma, kutokana na mgombea urais wa CCM 2025, Lissu akigombea, ni anamaliza kazi saa 4 asubuhi!. Kile kilichokea uchaguzi wa Marekani, kinakwenda kutokea uchaguzi wa Tanzania!. Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao? Hivyo hizi juhudi kubwa kumzuia TL ni kuzuia Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?
P
 
Kitu kimoja wanachofanana Lissu na Marehemu Magufuli. Wote sio wanasiasa. Hawajui kupindisha maneno kwenye wanachoamini.
Usimfananishe Magufuli na huyo mlevi wa makonyagi.
 


Huo ni ule mti wa matunda usipopigwa mawe twashangaa?
 
Tundu Lissu anaendelea kuandikiwa Historia na Mwenyezi Mungu.

Bado mbili kutimia. Naamini zitakuwa

Moja kuipatia Katiba Bora kabisa Tanzania na nyngine kuwa Rais wa JMT Insha Allah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…