Why apple?

Why apple?

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Posts
1,373
Reaction score
278
Hellow MMU.

Katika maeneo mengi nimeona apple likitumika kama ishara ya upendo/mapenzi. Wakati fulani

niliona katika engagement pete imefichwa kati kati ya apple. Shemeji yangu wakati anaolewa

wakati wa send off yake alimtafuta mumewe akiwa na mshumaa na apple. Wengine wanafikia

hatua ya kusema apple ndilo walilokula wakina Adam na Eva? Hivi kwanini limekuwa likitumika

kwenye maswala ya mapenzi? Kuna mwenye infor? Source? We unalitumiaje katika mahusiano yako?

Thanks
 
Hapa hata mimi nahitaji kujulishwa aisee....
 
Tunda la kati.......BTW lile koromelo kwa kizungu laitwa Adam's Apple.....maana Adamu alipokula lile tunda la kati lilimshinda kumeza likabakia kooni

1096662954597.adams_apple.jpg;pv1517a68521e7f6fa
 
Tunda la kati.......BTW lile koromelo kwa kizungu laitwa Adam's Apple.....maana Adamu alipokula lile tunda la kati lilimshinda kumeza likabakia kooni

1096662954597.adams_apple.jpg;pv1517a68521e7f6fa

Sasa hapa naona maana itakuwa mbaya sasa, maana kama lilimshinda Adam halafu wewe unanipa

maana yake si kama vile hatutafika popote? Si ntakushindwa tuu kama Adam alivyoshindwa?
 
Sie kwetu tunatumia 'nhundwa'
mkuu kongosho hapo kwenye "nhundwa" hapo, umenikumbusha kijijini kwetu busega - ng'wamisangu. huko kuna nhundwa za kufa mtu. wakulya ubhutundwa mpaka umuna-nomo wa yuzazanila....! tafsiri: yaani kuna "nhundwa" nyingi kiasi unakula hadi mdomo unaanza kuwasha.
 
Tuambie zinafananaje basi na kwanini mnazitumia. .
 
Nini apple mie nimeona blackberry
OTIS
 
Because it speaks volumes.
It is perfect in shape,
It is perfect in taste,
It is shiny and hard yet
wet and crisp in the inside,

It is something beautiful to
look at but you can not resist
eating it regardless it will dissapear...
and you still want it.
 
1. Kama wewe ni mwanaume, Mb**o yako ikidinda iangalie kupitia kioo, utaona Korod*ani zimetengeneza alama ya apple lililochumwa.
2. Sababu ya pili ambayo wengi wanaitambua ni kwamba, apple lina muonekano wa Moyo. Alama au picha ya moyo inaashiria upendo.

KWA HAYO MAWILI NADHANI UMEFAHAMU KWA NINI WATU WANATUMIA APPLE KUWAONYESHA MAPENZI!
 
and you still want it
.

Yeap apple kwelikweli
 
1. Kama wewe ni mwanaume, Mb**o yako ikidinda iangalie kupitia kioo, utaona Korod*ani zimetengeneza alama ya apple lililochumwa.
2. Sababu ya pili ambayo wengi wanaitambua ni kwamba, apple lina muonekano wa Moyo. Alama au picha ya moyo inaashiria upendo.

KWA HAYO MAWILI NADHANI UMEFAHAMU KWA NINI WATU WANATUMIA APPLE KUWAONYESHA MAPENZI!

Papa D kumbe mtu mzima unaweza simama kwenye kioo unajichungulia eenh? Duh hiyo ya shape ya

moyo sounds convincing

Katika lugha ya Kilatini, neno Apple maana yake ni malum, (evil) lakini baadaye, katika kuhalalisha apple kuwa alama ya mapenzi na thamani, matunda mengi yalijulikana kama apples, kwa mfano, nyanya (tomatoes) na matango (cucumbers) ziliitwa Love apples. What a coincidence of color and shape!

Lakini ilikuwaje lile tunda lililokuwa alama ya uasi na dhambi, ghafla likageuka kuwa alama ya mapenzi?
Sababu iko kwenye swali, uasi na dhambi za Adam na Eva ndizo zilizozaa mapenzi pale walipokula tunda lililokatazwa.
Na kuanzia wakati huo, tunda limekuwa alama ya yote mawili - mapenzi na dhambi, wema na uovu, yote ikitegemea vipi, muda gani [na hata nani na nani] tunda linaliwa.

Ni kwa kula tunda hilo, ndio maana wakazaliwa Abel na Cain - ishara za wema na uovu/uasi na dhammbi, mapenzi na chuki. Cain alipoasi ile amri ya nani amuoe nani kwa ajili ya mapenzi ndio ugomvi ulipoanza na mmoja kumuua mwenzake -dhambi.

Na tokea wakati huo, wana wa Adam na Eva tumekuwa tukiishi hivyo. Kutokana na utamu wa tunda, tunafumba macho na kuona utamu na matunda yake tu (taste, feelings, reprduction) bila ya kujali dhambi zinazotokana nalo pale tunapovunja amri za Muumba, kiasi kwamba leo tunda hili linachukuliwa kuwa ni alama ya mapenzi tu.
 
kongosho umeingiza mjadara mwingine humu, sasa watu wanataka kufahamu "bhutundwa" ili na wao wakautumie....!

haya waelezeee ili waelewe.....!
 
Back
Top Bottom