Why apple?

Why apple?

Na mimi nahitaji kujua kwakweli, why Apple, nilishatumia huko nyumba kama ishara ya mapenzi but nilitumia kwa kuona wengine wanalitumia so I need to know Why Apple na ci tikiti maji au embe!
 
Katika lugha ya Kilatini, neno Apple maana yake ni malum, (evil) lakini baadaye, katika kuhalalisha apple kuwa alama ya mapenzi na thamani, matunda mengi yalijulikana kama apples, kwa mfano, nyanya (tomatoes) na matango (cucumbers) ziliitwa Love apples. What a coincidence of color and shape!

Lakini ilikuwaje lile tunda lililokuwa alama ya uasi na dhambi, ghafla likageuka kuwa alama ya mapenzi?
Sababu iko kwenye swali, uasi na dhambi za Adam na Eva ndizo zilizozaa mapenzi pale walipokula tunda lililokatazwa.
Na kuanzia wakati huo, tunda limekuwa alama ya yote mawili - mapenzi na dhambi, wema na uovu, yote ikitegemea vipi, muda gani [na hata nani na nani] tunda linaliwa.

Ni kwa kula tunda hilo, ndio maana wakazaliwa Abel na Cain - ishara za wema na uovu/uasi na dhammbi, mapenzi na chuki. Cain alipoasi ile amri ya nani amuoe nani kwa ajili ya mapenzi ndio ugomvi ulipoanza na mmoja kumuua mwenzake -dhambi.

Na tokea wakati huo, wana wa Adam na Eva tumekuwa tukiishi hivyo. Kutokana na utamu wa tunda, tunafumba macho na kuona utamu na matunda yake tu (taste, feelings, reprduction) bila ya kujali dhambi zinazotokana nalo pale tunapovunja amri za Muumba, kiasi kwamba leo tunda hili linachukuliwa kuwa ni alama ya mapenzi tu.

Mamamia, thanks a lot. Hivyo ndo kusema naweza kukupa apple nikiashiria ndani yangu kuwa na evil

intention? Na imethibitishwaje kwamba hawa wandugu wa kwanza walikula apple?

 
Mamamia, thanks a lot. Hivyo ndo kusema naweza kukupa apple nikiashiria ndani yangu kuwa na evil intention? Na imethibitishwaje kwamba hawa wandugu wa kwanza walikula apple?
Hilo la kwanza, intention ya mtu anaijua mwenyewe, mtu anaweza kupewa sumu hata kwenye asali. Na mara nyingi "bad intentions" huzikwa kwenye "utamu".
Hilo la pili wala sijalitaja hapa, ila nilisema Abel na Cain walizaliwa (ni matunda ya) wazazi wao waliokula tunda.


Pamoja na yote hayo, haya ni mawazo yangu, hata ukiniambia nithibitishe kwa "data na facts" sitoweza kuthibitisha.
 
Because it speaks volumes.
It is perfect in shape,
It is perfect in taste,
It is shiny and hard yet
wet and crisp in the inside,

It is something beautiful to
look at but you can not resist
eating it regardless it will dissapear...
and you still want it.

wow mpaka nimekuzimia ghafla! lol... so bravo.
 
Hilo la kwanza, intention ya mtu anaijua mwenyewe, mtu anaweza kupewa sumu hata kwenye asali. Na mara nyingi "bad intentions" huzikwa kwenye "utamu".
Hilo la pili wala sijalitaja hapa, ila nilisema Abel na Cain walizaliwa (ni matunda ya) wazazi wao waliokula tunda.


Pamoja na yote hayo, haya ni mawazo yangu, hata ukiniambia nithibitishe kwa "data na facts" sitoweza kuthibitisha.

Ah ok. Thats fyn. . . At least i ve got some insights
 
Inabidi tuache hayo mazoea na tuanze kupeana maparachichi sasa..
 
ni kugeza wazungu tu hakuna chochote kizito behind that......

Dah, kama kugeza tumegeza mengi. Kuanzia kuvaa, kula, kunywa and all that! Haya mambo ya cheers,toast, champagne,keki za unga, and all that ni yao 2! Thanks for us chagga people! Despite all the attacks we receive here at least we have maintained one thing. Ndafu na mbege!
 
Back
Top Bottom