Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika lugha ya Kilatini, neno Apple maana yake ni malum, (evil) lakini baadaye, katika kuhalalisha apple kuwa alama ya mapenzi na thamani, matunda mengi yalijulikana kama apples, kwa mfano, nyanya (tomatoes) na matango (cucumbers) ziliitwa Love apples. What a coincidence of color and shape!
Lakini ilikuwaje lile tunda lililokuwa alama ya uasi na dhambi, ghafla likageuka kuwa alama ya mapenzi?
Sababu iko kwenye swali, uasi na dhambi za Adam na Eva ndizo zilizozaa mapenzi pale walipokula tunda lililokatazwa.
Na kuanzia wakati huo, tunda limekuwa alama ya yote mawili - mapenzi na dhambi, wema na uovu, yote ikitegemea vipi, muda gani [na hata nani na nani] tunda linaliwa.
Ni kwa kula tunda hilo, ndio maana wakazaliwa Abel na Cain - ishara za wema na uovu/uasi na dhammbi, mapenzi na chuki. Cain alipoasi ile amri ya nani amuoe nani kwa ajili ya mapenzi ndio ugomvi ulipoanza na mmoja kumuua mwenzake -dhambi.
Na tokea wakati huo, wana wa Adam na Eva tumekuwa tukiishi hivyo. Kutokana na utamu wa tunda, tunafumba macho na kuona utamu na matunda yake tu (taste, feelings, reprduction) bila ya kujali dhambi zinazotokana nalo pale tunapovunja amri za Muumba, kiasi kwamba leo tunda hili linachukuliwa kuwa ni alama ya mapenzi tu.
Hilo la kwanza, intention ya mtu anaijua mwenyewe, mtu anaweza kupewa sumu hata kwenye asali. Na mara nyingi "bad intentions" huzikwa kwenye "utamu".Mamamia, thanks a lot. Hivyo ndo kusema naweza kukupa apple nikiashiria ndani yangu kuwa na evil intention? Na imethibitishwaje kwamba hawa wandugu wa kwanza walikula apple?
Because it speaks volumes.
It is perfect in shape,
It is perfect in taste,
It is shiny and hard yet
wet and crisp in the inside,
It is something beautiful to
look at but you can not resist
eating it regardless it will dissapear...
and you still want it.
Hilo la kwanza, intention ya mtu anaijua mwenyewe, mtu anaweza kupewa sumu hata kwenye asali. Na mara nyingi "bad intentions" huzikwa kwenye "utamu".
Hilo la pili wala sijalitaja hapa, ila nilisema Abel na Cain walizaliwa (ni matunda ya) wazazi wao waliokula tunda.
Pamoja na yote hayo, haya ni mawazo yangu, hata ukiniambia nithibitishe kwa "data na facts" sitoweza kuthibitisha.
Hata tango, peas, pera vyaliwa na maganda
ni kugeza wazungu tu hakuna chochote kizito behind that......