Calnde
JF-Expert Member
- Oct 7, 2008
- 1,373
- 278
Hellow MMU.
Katika maeneo mengi nimeona apple likitumika kama ishara ya upendo/mapenzi. Wakati fulani
niliona katika engagement pete imefichwa kati kati ya apple. Shemeji yangu wakati anaolewa
wakati wa send off yake alimtafuta mumewe akiwa na mshumaa na apple. Wengine wanafikia
hatua ya kusema apple ndilo walilokula wakina Adam na Eva? Hivi kwanini limekuwa likitumika
kwenye maswala ya mapenzi? Kuna mwenye infor? Source? We unalitumiaje katika mahusiano yako?
Thanks