Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Naona Membe kafura huku akijifichia kwenye kichaka cha madiliko,ndo maana tunasema Membe sio jasiri!anabwata tuuuh ameshindwa kujibu hoja kabisa.Kelele kibao ameshindwa kudhibitisha uongo wa YN Amebakwi kubwata.Hongera Yericko umepiga pin ya nguvu na wengine tumeshuhudia udhaifu
 

Una uhakika na unayoyasema mkuu..... Kama hujui jaribu kufanya udadisi, acha kuropoka.......
 
Kazi anayojua Membe ni fitna na kuchafuana kwenye Mitandao lakini kazi yake aliyopewa jukumu hafanyi ndiyo maana balozi wa UK wamemnunua kwa kumpa Ganji ya zile pesa za kuuza Viza kisha watu hawapati viza na pesa hailudi na inaliwa na wajanja wakigawana na Membe.
 

Nimesoma maelezo yako yooote, sijaona mahali umesema amechukua rushwa, amefilisi shirika, ameshindwa kutimiza wajibu. Hebu nyoosha maelezo AMEFELI KIVIPI?
 

Mhemishimwa Bernad MEMBE tafadhali njoo hapa umjibu ndugu Nyerere. Hizi hoja ni nzito,zinahitaji ufafanusi wako ili watanzania tufanye maamuzi sahihi October 2015,
 
Last edited by a moderator:

- Chini ya uwaziri wake Tanzania kwa mara ya kwanza tumefanikiwa kununua majengo yetu wenyewe ya ubalozi, katika nchi kama za USA, UN New York, Lusaka, Malawi na France kitendo ambacho kimelipunguzia taifa mzigo mkubwa wa gharama za kuendesha hizo ofisi, hizi siasa za urais zinakuwa na makengeza mpaka hata ukweli unauruka makusudi, hivi mkuu wewe si UKAWA sasa wagombea wa Urais CCM wanakuhusu vipi?

Le Mutuz
 
Acha papara. Umedai hapo awali kuwa "...hivyo uongozi sio kipaji chake (Membe)". Ulikuwa unamaanisha nini hapo? Kubali tu kuwa huna ufahamu wa kitu unachoongelea. Si wote humu ni watoto wa jana kama ulivyo.

Membe ni mtu hatari sana alikula njama na balozi wa Libya wakakomba pesa zote za Gadafi na kwenda kuzichimbia kwenye Mahandaki akijiandaa kuzitumia kuhonga aje kuwa Rais wa Tz, na baada ya kuzificha hizo pesa akala njama balozi akauawa kisha wakamshikisha bunguki na kuzuga kuwa kajiua huu Unyama aliufanya ili kuficha Ushahidi na iwe rahisi kuchukuchia pesa za Gadafi.
 

- Source ya huu umbeya wa siasa za majitaka? Duh!!

Le Mutuz
 
Mkuu Minyoo edit hapo kdg, ni Membe not Mengi
 
Kiukweli ccm kiujumla haina kwa sasa viongozi ambao waataaminika kwa wtz mwenyewe uwezo wa kuona na kutambua chukua chako mapema mh
 
Eee bhana mkuu sijawahi kutilia shaka andiko lako hata siku moja , asante sana kwa kuendelea kuwaibua hawa jamaa .
 
Mkuu una haki ya kutoa mwazo yako kama bwana Nyerere. Ila uelewe kuwa pale kukosea kuhusu Uwaziri mdogo wa mambo ya nje badara ya ndani siyo issue kubwa. Hata serikali ukosea wakati inatoa baadhi ya taarifa zake.

Cha msingi ni kufanya arguments zenye mshiko katika mambo unayaona siyo ya kweli kuhusu Mhs Membe.
 
Mkuu Minyoo edit hapo kdg, ni Membe not Mengi

Aminia pole nina Usongo na Membe hadi nimejisahau kwa kweli Membe ni janga la kitaifa, Ufisadi wake juu ya pesa za Viza pale Ubalozi wa UK upo wazi sasa, kumbe ile pesa ambazo watu hulipia kuomba viza ilitakiwa iwe inaludishwa pindi mtu akikosa Viza, lakini wamesema Membe hupewa mgao wake ndiyo maana wakosa viza kwenda UK wameongezeka na pesa zao zimekwenda Tumboni kwa Membe.
 

Mengi au Membe? Nani ni nani? Mmejichanga au mnafanya kwa makusudi?
 
Wapambe wa MEMBE mapovu yanawatoka ovyoo midomoni mwenu.

Mtu wenu hauziki.
Ushahidi upo,Kizota Dodoma ni familia ya Kikwete ndio ilimnusuru na Aibu ya Karne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…