OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Nilisoma pia kwenye makala ya Kitila Nkumbo akimuelzea kwamba hata mtihani wa kidato cha sita alipata ufaulu hafifu
Huo ndiyo ukweli mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisoma pia kwenye makala ya Kitila Nkumbo akimuelzea kwamba hata mtihani wa kidato cha sita alipata ufaulu hafifu
Naona Membe kafura huku akijifichia kwenye kichaka cha madiliko,ndo maana tunasema Membe sio jasiri!anabwata tuuuh ameshindwa kujibu hoja kabisa.Kelele kibao ameshindwa kudhibitisha uongo wa YN Amebakwi kubwata.Hongera Yericko umepiga pin ya nguvu na wengine tumeshuhudia udhaifuEndelea kukenua meno na kusambaza uzandiki. Uongo hautakufikisha mbali katika uwanja huu wa siasa. Utabaki hapo hapo ukipiga kwata. Kuna mambo mengi huyajui katika jamii zaidi ya kusimuliwa. Unachofanya ni kudhoofisha na kufanya upinzani uonekane umejaa mbumbumbu kama wewe. Hii ni hatari sana kwa vuguvugu la mabadiliko nchini.
Kati ya vitu naanza kumkubali Membe ni kwa kuwa anaonekana hayupo obsessed sana na urais na anataka kama kuupata aupate kwa njia sahihi ndio maana ata ahangaiki kununua watu kwa pesa na wala ahangaiki kuyanunua magazeti wala kununua watu wa kumpigia debe kama afanyavyo mwajiri wa Ocampo Four, Lowassa.
Maana katika nchi iliyokosa maadili kama inavyoelekea yetu, kwenye nchi ambayo uongozi unatafutwa na pesa, yet ahangaiki kuhonga wala kununua vyombo vya habari?wa hili atajijengea heshima sana maana ni nadra sana kufanyika.
Bernard Kamilius Membe ni waziri wa Mashauri ya Kigeni nchini Tanzania, ni mwanachama wa chama cha mapinduzi,
Historia ya Membe inaanzia mbali kidogo toka kusini mwa Tanzania katika mikono salama ya upadre, chini ya ukasisi wa Namupa Seminari.
Bernard Kamilius Membe kijana wa kati mwenye uso angavu akiketi dawati la Tatu kutoka kulia, alikuwa mtoto mwenye akili ya kawaida akiwa nyuma ya watoto wenye vipaji shuleni hapo, Kasisi Mariano anamueleza kama Bernard mvivu wakusimamiwa kila jambo,
Hayo ni ya Namupa Seminari na Itaga Seminari katika mapito yake kielimu. Bernard Membe kutoka Darasa la awali hadi High School yani kidato cha sita, hakuna mahali panapotaja uimara wake kiakili darasani wala hakuna tukio lolote la kishujaa la kukumbukwa, iwe katika mitiahani, michezo, uongozi shuleni ama sifa yoyote toka kwa wakufunzi wake.
Kwaujumla alikuwa ni mwanafunzi wa kawaida kabisa ambae hawezi kusonga mbele bila usimamizi wa walimu wake kinyume na wanafunzi wengine,
Mwaka 1978 Membe aliingia kwenye ajira ya serikali akihudumu Ofisi ya Rais Idara ya Usalama wa Taifa kitengo cha uchambuzi wa taarifa za kijasusi, Kazi hiyo amehudumu kwa mika kumi na mbili tu akahamishiwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni na kwenda Ottawa Canada kuwa mshauri wa Kibalozi kutoka 1992-2000,
Utumishi wake ndani ya Idara ya Usalama haukuwa wa kutukuka na hakuna kumbukumbu lake na la mfano ndani ya idara kwa ujumla zaidi ya kuwa mmoja ya majasusi wa Tanzania waliopata mafunzo ya mda kuke Scotland Uk, Hakuna mission yoyote aliyowahi kupewa na akaifanya kwa ufanisi wenye kukubalika ndani ya Idara, anamshinda hata Eliamkim Maswi yule wa Escrow ambae yeye alipewa mission ya kuiua NCCR ya Mrema na akafanikiwa kwakujipenyeza mpaka kuwa mbeba mikoba wa Mrema enzi zile na kuizika NCCR MAGEUZI kabisa,
Mwaka 2000 aliingia kwenye siasa akawa Mbunge wa Jimbo la Mtama, nakisha tarehe 17/10/2006 hadi 1/11/2007 aliteuliwa kuwa naibu Waziri wa Nishati na Madini, na kisha 1/12/2007 mpaka sasa ni Waziri kamili wa Mashauri ya Kigeni,
Kulegalega kwa Diplomasia ya Tanzania kunatokana na udhaifu wa Bernard Membe katika wizara hii ya mashaiuri ya Kigeni, Diplomasia ya nchi imeshuka na sasa sio Tanzania ile yenye sauti ya UTU.
Katika kipiti cha utmishi wa Bernard Membe ndani ya Wizara taifa limeshuhudia migogoro mikubwa ya Kidiplomasia na mataifa ya kigeni, ambayo kimsingi ni ufinyu wa maarifa wa Bernard Membe katika kukabiliana nayo,
Mathalani Mgogoro na Malawi wa Ziwa Nyasa, Mgogoro na Rwanda, Mgogoro na Kenya, Mgorogoro na Uingeraza, Mgogoro na ummoja wa nchi wa Hisani wa Maendeleo za Ulaya,
Haya yote yametukia katika uongozi wa Bernard Membe katika wizara inayohusika na mashauri ya Kigeni, lakini hili linatokana na historia ya mtumishi huyu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wala hajawahi kujiongoza yeye mwenyewe,
Je dhamana kubwa kabisa ya Urais wa Jamhuri anaweza ikiwa Wizara tu imemshinda?
Zingatia, Bernard Membe hajawahi kuwa kiongozi wa umma tangu AZALIWE 1953 mpaka 2000 alipoingia kwenye siasa, hivyo uongozi sio kipaji chake!

Acha papara. Umedai hapo awali kuwa "...hivyo uongozi sio kipaji chake (Membe)". Ulikuwa unamaanisha nini hapo? Kubali tu kuwa huna ufahamu wa kitu unachoongelea. Si wote humu ni watoto wa jana kama ulivyo.
Mengi ni mtu hatari sana alikula njama na balozi wa Libya wakakomba pesa zote za Gadafi na kwenda kuzichimbia kwenye Mahandaki akijiandaa kuzitumia kuhonga aje kuwa Rais wa Tz, na baada ya kuzificha hizo pesa akala njama balozi akauawa kisha wakamshikisha bunguki na kuzuga kuwa kajiua huu Unyama aliufanya ili kuficha Ushahidi na iwe rahisi kuchukuchia pesa za Gadafi.
Mkuu Minyoo edit hapo kdg, ni Membe not MengiMembe ni mtu hatari sana alikula njama na balozi wa Libya wakakomba pesa zote za Gadafi na kwenda kuzichimbia kwenye Mahandaki akijiandaa kuzitumia kuhonga aje kuwa Rais wa Tz, na baada ya kuzificha hizo pesa akala njama balozi akauawa kisha wakamshikisha bunguki na kuzuga kuwa kajiua huu Unyama aliufanya ili kuficha Ushahidi na iwe rahisi kuchukuchia pesa za Gadafi.
Mkuu Minyoo edit hapo kdg, ni Membe not Mengi
Mengi ni mtu hatari sana alikula njama na balozi wa Libya wakakomba pesa zote za Gadafi na kwenda kuzichimbia kwenye Mahandaki akijiandaa kuzitumia kuhonga aje kuwa Rais wa Tz, na baada ya kuzificha hizo pesa akala njama balozi akauawa kisha wakamshikisha bunguki na kuzuga kuwa kajiua huu Unyama aliufanya ili kuficha Ushahidi na iwe rahisi kuchukuchia pesa za Gadafi.
Mengi au Membe? Nani ni nani? Mmejichanga au mnafanya kwa makusudi?
Nilikusudia Membe samahani mkuu