Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Yani hichi ulichokiandika hapa Membe akisoma yeye mwenyewe atachukia badala ya kufurahi kama ulivyotarajia wewe.
Umejibu hoja too shallow,
Bandiko la yericko halijasema kuwa elimu ya membe ni batili,
Membe amesemwa kuwa hana tabia ya kufaulu kuanzia shule hadi kazini, sasa wewe ili kumpinga yeriko ungekuja may be na matokeo yake yenye alama za high performance, au ungeleta hapa valid certificates of acceptance na mengineyo ya kisiasa aliyowahi kufaulu.
Hivi Paul Makonda mbona unaacha joka la mdimu linaaibishwa namna hii?
 
Last edited by a moderator:
- Sasa Mengi toka lini anagombea Urais unajichanganya ndio matatizo ya kubebeshwa uzushi bila kuchuja kichwani ubongo mzito sana kijana mwembamba hahahahahaha

Le Mutuz

Ni kuchanganya tu, alimaanisha Membe... Kwa wanaoelewa haraka tulimwelewa....
 
Hongera kwa kuzidi kuipa mashiko thread ya Yericko, Hamna cha maana ulichosema hapo mpaka najilaumu kwa kupoteza muda wangu kusoma hii thread yako

Hujatoa hoja yoyote ya msingi ya kwanini alichosema mwenzio ni uongo. Umeng'ang'ania tu kuwa Yeriko kapotosha lkn hujaeleza na kutoa uthibitisho ya kudhihirisha uongo wake

Nyie ndio mnafanya Tanzania izidi kuwa masikini kwa kujali matumbo yenu yaendeshwe na wanasiasa. Nenda kawaambie umeshindwa kutupotosha na tume muelewa sana Yericko. Ovyoooo kabisa

Ngoja nikusaidie wewe kilaza ili ukienda huko ulipotumwa urudi na majibu

1. Membe alishawahi kuwa hata class monitor kabla hajawa mbunge na waziri?
2. Ameshapata award yoyote ya uchapakazi mzuri toka aanze chekechea?

3. Tuelezee ubora wa Membe kwa kutumia mifano ya migogoro na mataifa Mengine ambayo Tanzania imeingia katika kipindi ambacho Membe ni waziri wa mambo ya nje

5. Tupe mafanikio japo matatu ya Membe katika utumishi wake wa uma

Nendeni mkajipange mje na majibu
 

Hahahaha huyo jamaa mafuta ya kwenye ubongo wake umehamia mwilini. Maranyingi anatumia masaburi kufikiri...... Na alivyo mnene najua kuna watu wanalifaidi litakoreee....
 

Kwa vigezo vyako binafsi na kwa mtizamo wako wenyewe utaona Hizi ni tuhuma tu, lakini wajanja na welevu wanajua kuwa Membe alipora pesa ya Gadafi kisha akamteketeza balozi ili kuficha Ushahidi wa idadi ya mapesa ya Gadafi aliyopora, inaelekea wewe umepata Mgao ndiyo maana umeamua kumtetea kwa nguvu zako zote japo wee ni bonge ( tipwa tipwa) lakini subirini kidogo hilo Bomu la pesa za Gadafi na pesa za Ununuzi wa nyumba za mabalozi litalipuka mda si mrefu na sijui utajificha wapi na Unene wako kama wa mzee wa Msituni cpt John komba.
 

- Hivi kweli mkuu ulihitaji kumjibu mtu anayetumwa tumwa kila siku kuchafua wanasiasa kwenye mitandao? Alisema Bunge la katiba linavunjwa na halikuvunjwa toka pale huwa siamini anything anachosema huwa anatumwa na wanasiasa kumjibu ni kumpa ujiko wa bure mkuu nex time ni kumjibu kwenye thread yake, kumjibu like this unampa ujiko wa bure mkuu sasa kweli gazeti la mawio unaweza kulihesabu kuwa ni gazeti ofisi zake zipo wapi kama sio mtaani, please!!

Le Mutuz
 
Hahahaha huyo jamaa mafuta ya kwenye ubongo wake umehamia mwilini. Maranyingi anatumia masaburi kufikiri...... Na alivyo mnene najua kuna watu wanalifaidi litakoreee....

- Kama kawaida yenu huwa mnajisema wenyewe kuhusu tabia zenu kumbe na wewe una hizi tabia duh hahahahahahahah pole sana hapa sio Mombasa mkuu, vipi kile kikao chako cha kumtoa Pinda kazi mlichofanyia Ikulu au bado kunaendelea? hahahahahahaha

Le Mutuz
 

- Sijaona ukitoa evidence zaidi tu ya uzushi juu ya uzushi mkuu weka evidence hapa kama huna wacha tu maana ni aibu

Le Mutuz
 

mbona umejumuisha migogoro ambayo ipo tangu enzi za mwalimu? ni heri ungesema membe ameshindwa itatua migogoro hiyo kama mawaziri waliopita...
 

Usijitoe ufahamu wenye tabia hiyo wanajulikana chief. Ni Nyalandu, Wewe, Makonda, na Membe anahisiwa......
 

Ingekuwa busara kama na wewe ungetoa sababu za kwanini Yericko sio credible kwa kutumia hiyo thread yake ya Membe
 
Usijitoe ufahamu wenye tabia hiyo wanajulikana chief. Ni Nyalandu, Wewe, Makonda, na Membe anahisiwa......

- hapana huwezi kuisema njia ambayo hujaipitia maana tunaongea uwezo wa Membe wewee from nowhere unaleta tabia zako binafsi ndio nakwambia hapa sio mahali pake, pole sana wapelekeee huko huko hapa tunajadili hoja hahahahahaha

- Halafu si ulisema Ikulu kumefanyika kikao cha kumfukuza kazi Pinda au bado hakijaisha? hahahahahaha

Le Mutuz
 

Hayo ndio mafanikio? Unafahamu kabla ya 2007 tulikuwa na majengo mangapi ya kibalozi duniani??
 


Nilisoma pia kwenye makala ya Kitila Nkumbo akimuelzea kwamba hata mtihani wa kidato cha sita alipata ufaulu hafifu

Huo ndio ukweli mkuu

SEHEMU YA MAKALA YA PROF KITILA...https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mafanikio-na-utata-wa-membe-kidiplomasia.html
..........................................................................................................................................................
Kikazi, tunaweza kusema Membe ni mtu aliyekulia katika ushoroba wa madaraka (power corridors).

Mara baada ya kumaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa, Membe aliajiriwa kufanya kazi katika ofisi ‘nyeti' ya Rais. Na hata baada ya kuhitimu masomo yake ya shahada ya kwanza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alirudi kuendelea na kazi yake ya ukachero
na hivyo kushindwa kuchukua kazi aliyokuwa amepewa ya uhadhiri msaidizi katika Chuo hicho.

Membe alipanda ngazi na hata kuwa msaidizi wa waliopata kuwa wakurugenzi wakuu wa Idara nyeti ya Usalama wa Taifa, Dk. Hans Kitine na Apson Mwang'onda.

Baada ya kumaliza masomo ya Shahada ya Uzamiri katika Chuo Kikuu cha John Hopkins nchini Marekani, Membe hakurudi tena kufanya kazi Ikulu bali alipelekwa ubalozi wa Tanzania nchini Canada kama Mwambata wa Ubalozi (Minister Plenipotentiary), akichukua nafasi ya Dk. Augustine Mahiga akiyekuwa amehamishiwa Umoja wa Mataifa.
.............................................................................................................................................................

MyTake: Sasa bahati mbaya yawezekana Yericko huko chuo kikuu labda hujafika,
ebu ulizia hapo Mlimani ni wanafunzi gani amabo uwa wanapewa nafasi ya kubakia chuo kuwa Wahadhiri Wasaidizi??kwa hatua hiyo ya chuo kikuu cha Dar es Salaam kutaka kumbakiza abaki chuo kufundisha ni wazi kuwa alikuwa anajiweza sana darasani kwake.
 
Ww Ndo wakupuuzwa. Huna hoja unashabikia kimeo
 

Umeongea kiusahihi kabisa, nobody should waste his or her precious time in responding to a post posted by a bipolar or a character of the like.
 

Unaposema "Nina imani tumeeleeweka" je ni wewe na na kina nani hao?

Au hii ID ni taasisi?
 
mbona umejumuisha migogoro ambayo ipo tangu enzi za mwalimu? ni heri ungesema membe ameshindwa itatua migogoro hiyo kama mawaziri waliopita...

Kabla ya yeye kushika wizara hatukuona mitafaruku hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…