Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

halafu mbona tunasikia alibadilisha dini na kuwa mwislam??
 
Umeongea kiusahihi kabisa, nobody should waste his or her precious time in responding to a post posted by a bipolar or a character of the like.
Let's put the fact that Yericko may be working for someone and concentrate on his thread. On what grounds are you disagreeing with what his thread has pointed out?
 
Huo ndio ukweli mkuu

Una uhakika na unayoyasema mkuu..... Kama hujui jaribu kufanya udadisi, acha kuropoka.......

Ningejuaje kuwa wewe ni miongoni mwa waajiriwa wa mtandaoni?Membe kwa nafasi yake angeweza kabisa kununua magazeti na kuwanunua waandishi na kuajiri watu kama mlivyoajiriwa nyie kupiga debe, lakini hafanyi hivyo.Na hiyo ni heshima sana kwake na ni ishara kuwa yawezekana anafahamu kuwa sio sahihi kuutafuta uraisi kwa uhalifu.
 

Sasa huenda hujaelewa logic ya makala yangu, hebu soma tena mkuu, utaona
 

Yawezekana we ni mgeni au hujui yanayoendelea humu ndani.... Vijana wa Membe wako tele kuna wakina Lizaboni, Chabruma Hotlady, kasesela, nk....... Jaribu kuperuz post za nyuma mkuu.....
 
Mimi binafsi nilisha mdiskolifai yericko nyerere kama mwandishi wa habari.

Nimesoma makala zake nyingi sana mwishowe nikahitimisha kua hakuna jipya zaidi ya uzushi na mambo ya kutunga tunga.

Unahitaji kua huna akili timamu kumchukulia yericko kama mwandishi wa habari.
 
Huo ndio ukweli mkuu

Ni kuchanganya tu, alimaanisha Membe... Kwa wanaoelewa haraka tulimwelewa....

Sio kuelewa haraka, mliopewa hilo desa...tatizo wenzenu kichwa chake kizito.

Nimekumbuka enzi za utoto tunatumwa kwenda dukani, unaambiwa kanunue chumvi sasa ili usisahau..unaenda dukani huku ukiimba chumvi...chumvi...chumvi...mara umehamia chungwa....unaenda dukani unaulizia chungwa...ndicho kilichompa mwenzenu, kaambiwa Memmbe basi kaimbaaa Membe...Membe...Membe kaishia Mengi...taabu kwelikweli.

Mtatumika sana vijana.
 
usipoteze muda kumjibu Yericko! Ni mpika uongo aliye kubuhu ana julikana.
 
mbona umejumuisha migogoro ambayo ipo tangu enzi za mwalimu? ni heri ungesema membe ameshindwa itatua migogoro hiyo kama mawaziri waliopita...

Kabla ya yeye kushika wizara hatukuona mitafaruku hii
Hii kazi Yericko leo imekushinda, lakini hopeful waajiri wako watakupa next chance.

Maana kama Membe ndio kaanzisha mgogoro wa mpaka wa Tanzania na Malawi basi unahitaji kwenda Mirembe haraka sana.

Au nikupe kidogo benefit of doubt..ebu sema kwa maoni yako kwenye mgogoro ule wa Tanzania na Malawi, Tanzania imekosea kitu gani kwa jinsi ilivyodeal na mgogoro ule??tuanzie hapa.
 
Trust, trust trust....ndio gundi inayounganisha watu kwenye maisha
 
hii ndo shida ya kupiga voroba tangu asubuhi..........madhara yake zinakuja thread za mazingaombwe kama hizi
 
Sasa huenda hujaelewa logic ya makala yangu, hebu soma tena mkuu, utaona

Labda kama hujaandika wewe hili bandiko hivyo hujalisoma mwenyewe na kulielewa.

Kwa kukusaidia kwa kuweka hoja ya alivyokuwa darasani kimasomo maana yake unajenga hoja kuwa Membe darasani alikuwa na uwezo mdogo sana, aka kilaza, kama ulivyosema wewe hapo
" .

Hivyo kwa hoja hiyo ndio maana nimekuuliza "HIVI MTU HUYO MWENYE UWEZO MDOGO SANA DARASANI KULINGANA NA WENZAKE YET YEYE HUYO DHAIFU ATAKIWE ABAKI CHUO AFUNDISHE?", kwa tuliopitia pale tunatambua nafasi hiyo upewa wanafunzi walio juu zaidi kimasomo katika darasa husika.

 
halafu mbona tunasikia alibadilisha dini na kuwa mwislam??

Hii kama niliishawahi kuikia before, the same old trick, wakati ule walisema Mzee Malechela amesilimu na kuwa na jina la Jumanne.
 
Yawezekana we ni mgeni au hujui yanayoendelea humu ndani.... Vijana wa Membe wako tele kuna wakina Lizaboni, Chabruma Hotlady, kasesela, nk....... Jaribu kuperuz post za nyuma mkuu.....

Na vijana wa Lowassa ni akina nani Mkuu?ebu tuwajue basi hao wote ili post zozote ikitoka tupuuze tu tukijua watu walio tayari kwenye KUNDI hawana moral authority ya kujadili maana wataongozwa tu na chuki binafsi.

Nilikuweka kundi hilo kwa sababu kila palipo na Lowassa hukosekani, lazima uwepo kukandamizia walio tishio au kufagilia mhusika...; otherwise peace mkuu.
 

Ndugu yangu YERIKO NYERERE
kadiri unavyozidi kuleta thread zako ndivyo unavyoharibu image yako hapa JF. mimi ni mwenzako kiitikadi lakini,kuna vitu huwa sikukubali hata kidogo,Lengo la andiko lako kumkashifu Membe halina maana,Namupa Seminary yenyewe huijui,unasikia tu,aliyeanzisha Namupa Seminary humfahamu una depend kwenye hearsay oh ! mara dawati la tatu toka wapi? kwa nani? kwa nani? halafu huyo padre unayemtaja Mariano sijui wa wapi Lindi hatuna padre huyo wala kama alikuwa ni Mbenediktini mmisionari hayupo tena,Kifupi wewe ni muongo hujui chochote kuhusu membe hasa maisha yake ya Useminari Namupa! Fanya tafiti kwanza halafu uje na data za maana.

Matamko aliyoyatoa Membe juu ya mgogoro wa Rwanda,Malawi ziwa nyasa ni sawa,angenyamaza kimyaa ungekuwa wa kwanza kupiga kelele,mimi sifurahii kuona rais wa nchi anatukanwa na Nchi fulani,hata kama rais huyo anatoka chama tofauti na nachokipenda,Rais ni wa wote kama taifa bila kujali chama.

Kifupi ulichoandika kuhusu mheshimiwa Benard Membe ni upuuzi uliopitiliza.Membe ndani ya chama chake ni mmoja ya watu wenye rekodi safi kabisa.

Angekuwa hana uwezo asingeweza kudumu usalama kwa miaka mingi hivyo.Asingepewa wizara nyeti kama hiyo.Tupende tusipende Membe ni kachero na Mwanadiplomasia Mbobezi hapa TZ.

Siku nyingine jaribu kushirikisha ubongo wako unaporusha uzi hapa.
 

Mkuu wangu balozi wa heshima wa NBC bado unatutwa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…