Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

YERICKO

Nenda tena kwa chanzo chako muulize kwa nini Membe alifukuzwa kazi Usalama wa Taifa?
 
Lowasa Adui wake Mkubwa ni Membe ambaye ameamua kumchafua sana kwa kumpakazia maradhi na kila aina ya Ubaya, Membe anatumia mapesa ya marehemu Gadafi kuwanunua watu kuwachafua wale wote wenye nia ya kugombea Urais hata kusikia mtu anang'ara kwenye mbio za Urais, Membe ni mtu mwenye Roho mbaya hakuna Mfano ikitokea akawa Rais atawaua na kuwafunga jela watu wengi sana hafai hata chembe.
 
YERICKO

Nenda tena kwa chanzo chako muulize kwa nini Membe alifukuzwa kazi Usalama wa Taifa?

Sababu mojawapo ya kufukuzwa ni Roho mbaya, Ubinafsi na mbinu mbaya alizokuwa amebuni wafanyiwe wapinzani wa Serikali.
 
Umejenga hoja mhimu sana na nzito, sidhani wapambe wake wataweza kujibu

Hiyo pesa ya BAE system Membe kaipiga, pesa za Gadafi kapiga, pesa kununua nyumba za balozi nje ya Nchi kapiga, pesa za Viza kwenye Ubalozi wa UK nazo anazipiga ana percent zake kila balozi hapa Nchini, Membe ni bonge la mwizi hafai hata kidogo, Wakiletwa FBI toka USA wamchunguze nina hakika atafungwa jela hata miaka 100 kwani ana Madhambi Mengi hakuna mfano.
 
Kwa Serikali makini leo Hii Membe alipaswa kuwa Jela tena kifungo cha miaka mingi au cha maisha kutokana na Maovu na Ufisadi wake.
 
Membe Hotel uliojenga pale Mtwara pesa umepata?...hela za Gadafi zimekwenda wapi?...

Pesa za Gadafi kazificha kwenye Mahandaki Nyumbani kwake aliogopa kuziweka Bank anahofia kutaifishwa, hizo Pesa ndizo anazitumia kununua njia ya kuelekea ikulu na kuwachafua wenye nia ya kugombea Urais.
 
Full kuchafuana kwenye mbio za urais lakini kwanin umchafue Membe? Hebu jenga hoja ya msingi bila kumchafua mtu mkuu
 
Leo Yericko yuko katika ubora wake..... Ingawa ni jambo la wazi Membe ni failure na mbumbumbu wa kisiasa...... Akaongoze WAMA organization, kuongoza nchi hasahau kabisa

WAMA hawamtaki tena Membe Walishamtosa kitambo baada ya kugundua kuwa Membe alitusua Pesa za Gadafi peke yake na Dili za percent kwenye Ununuzi wa nyumba za Ubalozi huko nje sanjari na Ufisadi kwenye pesa za kununa Viza Ubalozi wa UK ambapo kaweka mtu wake pale kila anayekosa Viza pesa zinaliwa na Membe na Timu yake ndiyo maana wakosa viza wameongezeka huku pesa zikiliwa pasipo kuludishwa.
 
Hakuna diplomasia pasipo na utatuzi wa migogoro! Je, wakati wa Mwalimu mgogoro wa Ziwa Nyasa ulitatuliwa? je, palishapata kufanyika vikao vyovyote, ama baina ya nchi hizi mbili au kwa kushirikisha nch zingine katika kutatua mgogoro huo? Marhaba, mwenendo wa diplomasia TULI ni mujarab kabisa... je, hayo mashambulizi ya ndege ndiyo diplomasia TULI?
Unaweza kutaja hizo taratibu? Ushauri wa JK aliutoa kwenye Kikao halali cha AU na sio barabarani au kwenue bunge la Tanzania! Kama hiyo haikuwa sahii, kuna maana gani basi ya kuitisha vikao vya AU na hata vile vya UN kuelezea masuala ya usalama? Ni kwanini vingozi husika wasiwe wanashauriana au kupeana mapendekeso huko huko kwao badala ya kwenye vikao vya AU? Hivi ni nini cha siri pale au kisichofaa kutolewa hadharani? Hivi ni kweli PK alikasirika kwa kuwa ushauri umetolewa hadharani au kwa kuwa hataki suluhu na FDLR?
Hapa nita-assume ( si kwamba nayakubali) kwamba maelezo yako ni sahihi kuhusu kiini cha mgogoro! pamoja na maelezo yako, bado umemtaja tena JK na sijaona unapomuhusisha Membe hata kama yeye ndie Waziri wa Mambo ya Nje lakini bila kusahau kwamba, mwenye maamuzi ya mwisho ya nini kisemwe au kifanyike ni JK mwenyewe! Haya sasa, unahusisha vipi maelezo yako na Membe?
 
Full kuchafuana kwenye mbio za urais lakini kwanin umchafue Membe? Hebu jenga hoja ya msingi bila kumchafua mtu mkuu

Sio full kuchafuana , Tambua kuwa watu wanamjibu Membe kwani ndiye alibuni na kuasisi njia za kuwachafua wale wote wanaowania Urais, mkuki kwa nguruwe lakini kwa binadamu mchungu, nenda kamwambie boss wako Membe kuwa madhambi yake watu wanayajua licha ya kuwa busy kuwachafua wengine.
 
YERICKO

Nenda tena kwa chanzo chako muulize kwa nini Membe alifukuzwa kazi Usalama wa Taifa?
Membe hakufukuzwa Usalama wa Taifa bali, kwavile ilitakiwa kwenda Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje, akalazimika kurudi UDSM kusomea masuala ya uhusiano wa kimataifa na baada ya hapo, akapelekwa Canada! Na hata alipokuwa Canada bado aliendelea kushughulika na masuala ya kiusalama na ndio maana alikuwa kwenye team iliyokuwa imechunguza uhalali wa matibabu ya mke wa Dr. Kitine! Kule ubalozi, hata watu wa usalama wanaenda pale na vyeo vya kiraia! Aidha, hili suala la mtu kutakiwa kupigwa brush anapoingia mambo ya nje hadi leo yanafanyika! Hata kama ni ofisa wa chini, assume mtu anafanyia kazi Wizara ya Kazi, lakini anatakiwa kupelekwa Ubalozini say, UK... hawamtoi tu moja kwa moja toka Wizara ya Kazi hadi Ubalozi... kama sio sensitive post, basi angalau atahamishia kwanza Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje pale Dar es salaam na atahudumu pale kwa miezi kadhaa ili kujifunza mambo ya uhusiano wa kimataifa yanavyoenda kabla ya kupelekwa ubalozini rasmi... hili linafanyika hadi kesho!
 

Muraa photi mimi ni riingie cheoo?? Uthakhuja khujutaa mraa!
 

Nimekupata mkuu
 
YERICKO

Nenda tena kwa chanzo chako muulize kwa nini Membe alifukuzwa kazi Usalama wa Taifa?

Hahahaa mkuu mambo mengine sio yakusema, kuna maisha nje ya siasa,

Ninafahamu vema undani wa kisa hicho lakini tuache mkuu
 
Membe alibuni na kuasisi mbinu za kuwachafua wengine na alifanikiwa sana kabla watu hawajamjua cha Ajabu eti baada ya kusomewa madhambi yake wapambe wake wanaanza kuchachawa ! Tulieni boss wenu Membe na nyie wenyewe mchomwe Sindano za kuwatibu maradhi ya kukariri kuwa Membe ni MUNGU hana Dhambi na kila analosema linatoka Mbinguni. Nendeni mkamwambie Membe pesa za Gadafi na Laana ya marehemu balozi wa Libya Vinatosha kumnyima sifa na nafasi ya kugombea Urais , Ufisadi pesa za Viza Ubalozi wa UK , pesa za Ununuzi nyumba za balozi nje ya Nchi, chenji ya Rada, BAE, pesa za Kasima Wizara ya mambo ya nje na madili mengine kibao ambayo yanawekwa Kiporo kama Siraha za Akiba pindi Membe akiendelea na Tabia yake Mbovu ya kuwachafua wenzake.
 

Kimsingi hatupambani na udharimu wake bali tunapambana kumpata kiongozi bora asiye na mawaa
 

Hivi huwa mnaota? Au Membe naye akili hazimtoshi basi.

Ujumbe tu wa Nec kaupata kwa msaada mkubwa wa familia ya Kikwete huyu ndio anawaza kupimana ubavu na Lowasa? Hizi ni ndoto.
 
Afadhali umekuja mwenyewe Membe aka NasDaz! Joka la Mdimu ameweza kuwafitinisha hadi wabunge wa Mtwara! Ilikuwaje Investment zake hazikuguswa wakati ule wa vurugu za wanamtwara? Ulimsikia Anna Abdallah alivyoweka bayana Fitna zako Membe? Abuazizi aliekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa mlikosana kwa sababu gani? Hivi fitna za Kiwanda ni Unafiq mwingine unaojaribu kuwapandikizia watanzania! Wote tunajua jinsi ambavyo Mudhihir alivyokuwa anapigania mkoa wa Lindi kiasi cha kutoa hata tafsi ya CCM kuhusiana na Lindi kuwa ni Tundu la Choo !!! Haukuishia hapo bali ulifanikiwa kumuandalia ajali iliyopelekea kukatwa mkono! R.I.P Salome Mbatia... Hakika Damu za Watanzania zitakurudi tu ... R.I.P Mvungi et al ... Jitihada zako za kuwania urais kwa kuwafitini wenzako haitafanikiwa! Ungekuwa smart ungeanza kwanza kupata uungwaji mkono kutoka kwa wanakusini wenzako badala ya kuwafitinisha... Kumbuka maneno ya Anna Abdallah kuwa 'Watanzania si wajinga eti katika kipindi kifupi Rais atoke kanda moja" ... Fedha za Ghadafi zitaisha, Fitna zako ziko hadharani sasa, JK amekushtukia, soon familia yake nayo itakutosa tu... Kwenye medani za kimataifa umeshindwa kabisa ku-deliver!! Tunapigwa mkwara kila upande wa nchi! Wakenya sasa wanalazimisha kufanya utalii Serengeti bila tozo, tulipowakatalia wamekuja na mbinu nyingine ya kuua Precision Air na sasa wanatoza nauli kubwa Dar - Nairobi. PK ana nguruma ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…