Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowasa Adui wake Mkubwa ni Membe ambaye ameamua kumchafua sana kwa kumpakazia maradhi na kila aina ya Ubaya, Membe anatumia mapesa ya marehemu Gadafi kuwanunua watu kuwachafua wale wote wenye nia ya kugombea Urais hata kusikia mtu anang'ara kwenye mbio za Urais, Membe ni mtu mwenye Roho mbaya hakuna Mfano ikitokea akawa Rais atawaua na kuwafunga jela watu wengi sana hafai hata chembe.Tulia wewe mama Lowasa level nyngne kazi za kuhangaika na.makaratas ni za kna membe na kna January ....lowasa asubiri kuapishwa kua rais 2015 tutampa urais ata kuptia tketi ya familia yake ata ccm itafia mbali ismpomptsha......our president is lowasa. .porojo za afya hzo ni propaganda za team mdmu a.k.a waftn au waweza kuwaita wazee wa wama
YERICKO
Nenda tena kwa chanzo chako muulize kwa nini Membe alifukuzwa kazi Usalama wa Taifa?
Umejenga hoja mhimu sana na nzito, sidhani wapambe wake wataweza kujibu
Membe Hotel uliojenga pale Mtwara pesa umepata?...hela za Gadafi zimekwenda wapi?...
Naona unamuunga mkono kwa vile kampiga za uso adui wa bosi wako. Sisi tupo pembeni tunawachora tu
Leo Yericko yuko katika ubora wake..... Ingawa ni jambo la wazi Membe ni failure na mbumbumbu wa kisiasa...... Akaongoze WAMA organization, kuongoza nchi hasahau kabisa
Hakuna diplomasia pasipo na utatuzi wa migogoro! Je, wakati wa Mwalimu mgogoro wa Ziwa Nyasa ulitatuliwa? je, palishapata kufanyika vikao vyovyote, ama baina ya nchi hizi mbili au kwa kushirikisha nch zingine katika kutatua mgogoro huo? Marhaba, mwenendo wa diplomasia TULI ni mujarab kabisa... je, hayo mashambulizi ya ndege ndiyo diplomasia TULI?1. Mgogoro wa Ziwa Nyasa ni wa Tangu kabla ya Uhuru,
Serikali zilizopita zilitumia kwa kiwango kikubwa diplomasia tuli kuutatua ndiomaana hatukuona sauti za juu za utatuzi wake zaidi lile shambulizi la kijeshi la Julius Nyerere dhidi ya boti za kijeshi za Kamuzu Banda 1970+.
Mwenendo wa diplomasia TULI ulikuwa ni mjarabu zaidi kuli hizi diplomasia kichaa za Bernard Membe (Radical Diplomatic)
Unaweza kutaja hizo taratibu? Ushauri wa JK aliutoa kwenye Kikao halali cha AU na sio barabarani au kwenue bunge la Tanzania! Kama hiyo haikuwa sahii, kuna maana gani basi ya kuitisha vikao vya AU na hata vile vya UN kuelezea masuala ya usalama? Ni kwanini vingozi husika wasiwe wanashauriana au kupeana mapendekeso huko huko kwao badala ya kwenye vikao vya AU? Hivi ni nini cha siri pale au kisichofaa kutolewa hadharani? Hivi ni kweli PK alikasirika kwa kuwa ushauri umetolewa hadharani au kwa kuwa hataki suluhu na FDLR?2.Suala la Rwanda kimsingi kama ni ushauri ulitakiwa utoleww kuwakufuata utaratibu wa kidiplomasia na sio kuutolea popote tu na na mkuu wa nchi, Membe alitakiwa kuufikisha kwa waziri mwenzie wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda na sio Jk kukurupuka na kusema hadharani tu,hiyo sio diplomasia bali ni uchochezi. By the way, unasema JK ndie alikurupuka kuongelea suala hilo AU... nilitarajia ungesema Membe! Je, ikiwa JK alishaamua aongee hadharani unadhani Membe alikuwa au ana ubavu wa kumkataza? All in all, kwa jinsi suala la FDLR lilivyo hot for decades now, unataka kuniambia PK hajawahi kushauriwa huko chumbani mnakotaka nyinyi?
Hapa nita-assume ( si kwamba nayakubali) kwamba maelezo yako ni sahihi kuhusu kiini cha mgogoro! pamoja na maelezo yako, bado umemtaja tena JK na sijaona unapomuhusisha Membe hata kama yeye ndie Waziri wa Mambo ya Nje lakini bila kusahau kwamba, mwenye maamuzi ya mwisho ya nini kisemwe au kifanyike ni JK mwenyewe! Haya sasa, unahusisha vipi maelezo yako na Membe?3. Suala la Kenya kwakiasi kikubwa mgogoro wetu unatokana na chembe za mgogoro na Rwanda, Wenzetu Wanyarwanda wameweza kuubadili mgogoro huu kuwa wa Afrika Mashariki badala ya Tz na Rw, ijapokuwa kiini halisi cha mgogoro wa Tanzania na Rwanda au Jk na PK ni mkataba wa Lemera wa kuimega na kuiuza Kongo nakuunda taifa imara la Watusi uliosainiwa kati ya Laurant, Yower Mseven na Paul Kagame.
Full kuchafuana kwenye mbio za urais lakini kwanin umchafue Membe? Hebu jenga hoja ya msingi bila kumchafua mtu mkuu
Membe hakufukuzwa Usalama wa Taifa bali, kwavile ilitakiwa kwenda Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje, akalazimika kurudi UDSM kusomea masuala ya uhusiano wa kimataifa na baada ya hapo, akapelekwa Canada! Na hata alipokuwa Canada bado aliendelea kushughulika na masuala ya kiusalama na ndio maana alikuwa kwenye team iliyokuwa imechunguza uhalali wa matibabu ya mke wa Dr. Kitine! Kule ubalozi, hata watu wa usalama wanaenda pale na vyeo vya kiraia! Aidha, hili suala la mtu kutakiwa kupigwa brush anapoingia mambo ya nje hadi leo yanafanyika! Hata kama ni ofisa wa chini, assume mtu anafanyia kazi Wizara ya Kazi, lakini anatakiwa kupelekwa Ubalozini say, UK... hawamtoi tu moja kwa moja toka Wizara ya Kazi hadi Ubalozi... kama sio sensitive post, basi angalau atahamishia kwanza Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje pale Dar es salaam na atahudumu pale kwa miezi kadhaa ili kujifunza mambo ya uhusiano wa kimataifa yanavyoenda kabla ya kupelekwa ubalozini rasmi... hili linafanyika hadi kesho!YERICKO
Nenda tena kwa chanzo chako muulize kwa nini Membe alifukuzwa kazi Usalama wa Taifa?
Cheo anacho ringia Yericko
Groupie:The term originates from the female attaching herself to a band. A groupie is considered more intense about her adored celebrities than a fan and tends to follow them from place to place. A groupie will attempt to have a connection with the band and may seek sexual or intimate contact. Obsessive groupies will almost certainly involve themselves sexually with any members of the band
Sio full kuchafuana , Tambua kuwa watu wanamjibu Membe kwani ndiye alibuni na kuasisi njia za kuwachafua wale wote wanaowania Urais, mkuki kwa nguruwe lakini kwa binadamu mchungu, nenda kamwambie boss wako Membe kuwa madhambi yake watu wanayajua licha ya kuwa busy kuwachafua wengine.
YERICKO
Nenda tena kwa chanzo chako muulize kwa nini Membe alifukuzwa kazi Usalama wa Taifa?
Membe alibuni na kuasisi mbinu za kuwachafua wengine na alifanikiwa sana kabla watu hawajamjua cha Ajabu eti baada ya kusomewa madhambi yake wapambe wake wanaanza kuchachawa ! Tulieni boss wenu Membe na nyie wenyewe mchomwe Sindano za kuwatibu maradhi ya kukariri kuwa Membe ni MUNGU hana Dhambi na kila analosema linatoka Mbinguni. Nendeni mkamwambie Membe pesa za Gadafi na Laana ya marehemu balozi wa Libya Vinatosha kumnyima sifa na nafasi ya kugombea Urais , Ufisadi pesa za Viza Ubalozi wa UK , pesa za Ununuzi nyumba za balozi nje ya Nchi, chenji ya Rada, BAE, pesa za Kasima Wizara ya mambo ya nje na madili mengine kibao ambayo yanawekwa Kiporo kama Siraha za Akiba pindi Membe akiendelea na Tabia yake Mbovu ya kuwachafua wenzake.
Lowasa Adui wake Mkubwa ni Membe ambaye ameamua kumchafua sana kwa kumpakazia maradhi na kila aina ya Ubaya, Membe anatumia mapesa ya marehemu Gadafi kuwanunua watu kuwachafua wale wote wenye nia ya kugombea Urais hata kusikia mtu anang'ara kwenye mbio za Urais, Membe ni mtu mwenye Roho mbaya hakuna Mfano ikitokea akawa Rais atawaua na kuwafunga jela watu wengi sana hafai hata chembe.
Mini natoka jimbo la Mchinga, jimbo ambalo Mudhihir alikuwa anahudumu! Ni kichekesho mtu kusema kwamba eti Membe alim-fitini Mudhihiri! Anyway, sehemu ninayotoka wanamuheshimu sana Membe... usiniulize kwanini! Nina uhakika kwa 100% kwamba sehemu ninayotoka walikuwa wanampigia kura Mudhihiri kwa sababu ya Membe tu, nothing else... Mudhihiri kama Mudhihir alikuwa hapendwi kabisa! Mtu kama Marehemu Mama wa Tondowa alikuwa anapendwa kuliko Mudhiri lakini nadhani CCM wilaya ama mkoa walikuwa wanambeba tu Mudhihir kuwakilisha chama hadi pale ilipoonekana habebeki tena!
Uhasama wa Mudhiri na Membe, ambao RockSpider anataka kuaminisha watu ulitokana na fitina za Membe ulisbabishwa na ujenzi wa kiwanda cha saruji! Kutokana na ubinafsi, Mudhiri alitaka kiwanda kijengwe Mchinga... kijiji anachotoka Mudhihir! Membe hakukubaliana na jambo hili badala yake akataka kijengwe Lindi! Anayeufahamu Mkoa wa Lindi, kijiji cha Mchinga kimekaa kushoto sana! Membe kwa kuona kwamba Mkoa wa Lindi hakuna kiwanda chochote, akaona busara kiwanda hicho kijengwe Lindi ambayo ni rahisi kufikika kutoka kila sehemu ya mkoa tofauti na Mchinga! Hata busara ya kawaida inashawishi best location ingekuwa Lindi na sio Mchinga! Tusisahau... watu wengi huwa hawapendi kufanya kazi mikoa ya kusini... sasa ikiwa watu wanaenda kwa shingo upande au kukataa kwenda mahali kama Lindi Mjini au Mtwara, sijui huko Mchinga ingekuwaje... Mchinga ni kijiji... narudia, ni kijiji! Idadi ya wakazi wake haifikii hata ile ya wakazi wa kijiji chetu.. lakini Mudhihir akataka kiwanda kiwe huko kwa sababu tu ni kijijini kwao!
Kutokana na hilo, ndipo Mudhihiri akaibuka bungeni na msamiati wa Joka La Mdimu... kwa maana kwamba, Membe kutoka jimbo la Mtama yanamuhusu vipi mambo ya Jimbo la Mchinga huku akisahau kwamba Mtama na Mchinga ni mkoa mmoja na ni wilaya moja! Wakati Lindi inafikika kirahisi kutoka Mtama na Mchinga, Mchinga inafikika kirahisi kutoka Kilwa kuliko kutoka sehemu zingine za wilaya ya Lindi! Wapenda kurukia mada, wakachukua nahau za kichuki za Mudhihir bila kufahamu chanzo cha mzozo ni ubinafsi wa Mudhiri... wa kutaka kiwanda kikajengwe kijijini kwao!