Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Naona uvivu kujibu post yako coz' uliyoandika yote ni irrelevant materials! Badala ya hoja yako kumwelekezea NasDaz naona unaanza personal attacks kwa kumuonesha NasDaz ndie Membe... !! Do you believe nina sababu ya kujibu post kama hii?
 
Last edited by a moderator:
Ukweli upi unaousimamia? Ninachokiona hapo umeenda kule Wikipedia ukasoma historia ya Membe then ukaingiza Umbea wako
Mi ni mtetezi wa wasema kweli na ukweli hupimwa kwa aina ya vyanzo vya habari na viambatanishi vya kuelezea ukweli wenyewe. Kwa mfano unatupatia taarifa zake za Nampa na Itaga na hakuna 'supporting documents' za kadi yake ya maendeleo kudhihirisha hilo ulilolisema. Kwa hivyo nahisi ni kama taarifa za kuungaunga au za kusikia bila kuwa na hakika nazo. Kwa Tanzania kama alikaa Ikulu miaka yote hiyo 12 na akichambua taarifa za kijasusi kama ulivyosema na akaifanya kwa ufanisi nadhani anaweza kuwa wa maana. Hivi mtu kupewa mission ni hiyo tu ya kwenda kuua NCCR kama mmoja alivyotueleza hapa? Mi nadhani mtu akifanya kazi aliyokabidhiwa kwa uagalifu na uaminifu na kuifanya kwa muda si mbaya kama tunavyotaka kudhani. Najua kipindi hiki cha kutafuta rais wa Tanzania tunapaswa kusikia mengi, ila tuwe wakweli na pale anapostahili mtu apewe iliyo stahili yake kama ni sifa au kinyume chake almradi ukweli ndo utawale kuliko fitna na propaganda za makundi ya wasaka tonge la urais. Kwa kutokueleza ukweli tunawanyima wana jamii uhalali na ukweli wa habari ili waweze kufanya uamzi sahihi juu ya nini kifanywe kuelekea uchaguzi wa mwaka huu.
 

Mkuu huyo unayebishana nae alishakula yamini ya kutetea ccm na uovu wake,
 
Yanafumuliwa na ambayo hayakujulikana,

Membe ametumia Pesa nyingi sana kuwachafua wenzake huku kijijini kwao ndugu zake na Ukoo wake wakitaabika kwa Ufukara wa kutisha, huduma za Jamii ni Duni sana Jimboni kwake, Membe ni mtu Mbinafsi na Mchoyo hata pesa za Gadafi kazichukuchia peke yake baada baada ya kumteketeza balozi wa Libya ili afiche ushahidi. Membe ni Fisadi mkubwa pesa za Viza pale Ubalozi wa UK anapewa Mgao ndiyo maana watu wengi wanakosa Viza na pesa zao zinaliwa bure, viza ya Uingereza ni mladi wa Membe na wenzake, Ufisadi mwingine upo kwenye Ununuzi wa nyumba za balozi huko nje Membe kaweka cha juu hata bei waliyonunulia hizo nyumba ni ya juu na inatia shaka, Membe ni mtu hatari hafai hata kuwa Mwenyekiti wa kitongoji.
 

mpaka sasa ccm,membe ni mtu mwenye rekodi safi iliyotukuka,ndo maana jamaa mnamchafua kabla hata hajatmka kuwa atagombea uraisi.Mnaposikia jina la membe tu,mavi yanaanza kugonga C.H.U.P.I yanarudi!
kama ndivyo leta concrete evidence! yeye ni mtu mwenye uwezo wa kupambana na UKAWA !
 

Chenge,tibaijuka,to mention few,hao ndio walipaswa wawe jela! Usalma wa taifa wako wapi?
 

Nani anamchafua Membe? Membe hachafuliwi bali Watu Wanasema Ukweli Mtupu! Yeye Membe ndiye anawachafua watu, Membe ni bingwa Mtetezi wa kuchafua watu ( mkuki kwa nguruwe) kumbe alidhani watu hawajui Madhambi yake? Wewe inaelekea umekunywa Mkojo wa Membe na kukariri kuwa Membe ni Mungu kila analikulisha linatoka Mbinguni.
 
Membe hata Akigombea Urais na KIVULI watu watakipigia KIVULI kura na kushangaza Ulimwengu, Membe hana mvuto hata Sauti yake huzungumza kama ananong'oneza mtu hana sauti ya Kiume, sauti ya kumtoa Cobra shimoni hana, ni mtu wa Visasi na fisadi mkubwa na Mnafki wa karne.
 
Angekuwa kilaza kama unavyotuaminisha asingekuwa mchambuzi wa mambo ya usalama au analyst kwa kimombo. Wanausalama wa kipindi hicho wanasifika kwa weledi. Hakuna hoja yoyote hapa.

Acha uongo miaka hiyo wasomi walikuwa wachache hivyo kazi zilikuwa nyingi kuliko wasomi waliokuwepo wakati huo.

Kwenye makala ya Mkumbo alisema Membe form six alipata matokeo hafifu lakini kumbuka Membe aliajiriwa na idara hiyo akiwa hajaanza masomo ya elimu ya juu. Maana yake alipata kazi kwenye idara hiyo na matokeo yake hafifu.

Kuwa mchambuzi wa masuala ya kijasusi ndo yalikuwa majukumu yake ambayo siyo lazima kuwa yalihitaji mtu mwenye uelewa wa hali ya juu sana.

Kwa wanaoelewa unaweza kujiita accountant kumbe kazi zako ni kuandika vocha ama kufanya kazi za cashier kitu ambacho hakihitaji ufahamu wa juu wa masuala ya uhasibu.

So inaweza kazi zake kama kwa nafasi ya mchambuzi ikawa ni kupanga mafail kulingana na nature ya cases presented ili kuwarahisishia na seniors kazi za uchambuzi, just mfano, usijenipiga mawe bure.
 

KWa hiyo unataka kusemaje?
 
KWa hiyo unataka kusemaje?


Kuwa acha uongo!
 
Ebu weka hiyo source ya matokeo ya Membe, maana nimeisoma ile ya Kitila kuhusu elimu anazungumzia kuwa Membe alitakiwa kubaki kufundisha chuo kikuu Dar es Salaam lakin akatakiwa na Serikali aende Canada Ubalozini.

Ebu weka hiyo source ya matokeo ya form 6 kabla hatujaendelea.
 

Mkuu rudia kusoma upya hiyo story ya Kitila, form four alifanya vizuri, form six alipata matokeo hafifu na chuo alifanya vizuri kiasi kwamba alipewa barua ya ajira kufundisha UDSM.
Source: Prof Kitila Mkumbo.
 
hilo la Membe kufukuzwa kazi Usalama wa Taifa limenitisha sana. sasa akiwa rais itabidi alipize kisasi kwa former spies au itakuwaje?

Tuoeni details zaidi za yeye kufukuzwa TISS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…