Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unamtisha sana. Kutumia fursa ya kidemokrasia ndani ya Chama ni 'uhaini' na kosa la 'jinai' au?Kwanza nianze kwa kukupa pole nakumbuka kipindi kilee wachina na baadhi ya watanzania wakijenga kwako ulitamka neno kama watania kumbe ulimaanisha ukisema
"Jenga vizuri mwaweza kuwa mnajenga ikulu hii, yaan ya rais nijaye"
Mkuu naomba utulie kama ambavyo lowassa kashajikatia tamaa,
Siyo kwamba huna uwezo wa.kuwa rais, la hasha, ni kwamba mchakato unaopitia kujiandaa ni mbovu,
Tunajua huyu aliyeko madarakani kashatuimbisha mpaka nyimbo za chekechekea (mpera una maua mpera unamaua, -sasa saaa ya kwenda kwetu kwaheri mwalim kwaheri tutaonanaaa)
Lakin sasa nina sababu nne za msingi ambazo zitakufanya usiwe rais wa nchi hii
1. Intelligence ya Rais wa sasa imeenea kila eneo, kabla hamjatekeleza mnalopanga anakuwa nalo nyumba nyu
nyeupe tiyari
2. Umri wako unaenda na kwa mikakati inaonekana Kuna mtu anaamdaliwa kuachiwa kiti mwaka 2025 na automatically siyo wewe maana anayeachiwa ana hulka za kimagufuli magufuli, (Magufulifier)
3. CCM mnamuogopa mwenyekiti hivyo hata mfanye nini mtatekeleza anachosema yeye, yaan ndani ya ccm hakuna wa kukemea lolote mtaishia kumtembelea na kumpa hai, nasikia kuna mwingine pamoja na kuwahi kushika nafasi kubwa kaenda pale feri akaomba camera zizimwe abembeleze vema watu wasigiswe, haha aisee,
4. Faili lako liko kwake ukileta fyoko choko, kitambi kitapungia muda si mrefu, huoni kina seth na Rugemalira??
Ushauri wangu mambo ya urais yasahau kama Kina Malechela na Lowassa au kama walivyoishia kuugulia maumivu kina Mwandosya,
Britannica
Analeta mambo ya CHADEMA hajui sisi tuna demokrasiaMbona unamtisha sana. Kutumia fursa ya kidemokrasia ndani ya Chama ni 'uhaini' na kosa la 'jinai' au?
Ndiyo ana nguvu bwanawell crafted propaganda, tena sio kutoka CCM bali ni kutoka ndani ya serikali, endeleeni kujipa moyo, kama "mwenyekiti" ananguvu sana ndani ya chama basi Membe angepeperusha bendera 2015!
Anything can happen at any time..Kwanza nianze kwa kukupa pole nakumbuka kipindi kilee wachina na baadhi ya watanzania wakijenga kwako ulitamka neno kama watania kumbe ulimaanisha ukisema
"Jenga vizuri mwaweza kuwa mnajenga ikulu hii, yaan ya rais nijaye"
Mkuu naomba utulie kama ambavyo lowassa kashajikatia tamaa,
Siyo kwamba huna uwezo wa.kuwa rais, la hasha, ni kwamba mchakato unaopitia kujiandaa ni mbovu,
Tunajua huyu aliyeko madarakani kashatuimbisha mpaka nyimbo za chekechekea (mpera una maua mpera unamaua, -sasa saaa ya kwenda kwetu kwaheri mwalim kwaheri tutaonanaaa)
Lakin sasa nina sababu nne za msingi ambazo zitakufanya usiwe rais wa nchi hii
1. Intelligence ya Rais wa sasa imeenea kila eneo, kabla hamjatekeleza mnalopanga anakuwa nalo nyumba nyu
nyeupe tiyari
2. Umri wako unaenda na kwa mikakati inaonekana Kuna mtu anaamdaliwa kuachiwa kiti mwaka 2025 na automatically siyo wewe maana anayeachiwa ana hulka za kimagufuli magufuli, (Magufulifier)
3. CCM mnamuogopa mwenyekiti hivyo hata mfanye nini mtatekeleza anachosema yeye, yaan ndani ya ccm hakuna wa kukemea lolote mtaishia kumtembelea na kumpa hai, nasikia kuna mwingine pamoja na kuwahi kushika nafasi kubwa kaenda pale feri akaomba camera zizimwe abembeleze vema watu wasigiswe, haha aisee,
4. Faili lako liko kwake ukileta fyoko choko, kitambi kitapungia muda si mrefu, huoni kina seth na Rugemalira??
Ushauri wangu mambo ya urais yasahau kama Kina Malechela na Lowassa au kama walivyoishia kuugulia maumivu kina Mwandosya,
Britannica
Hapo vip!!
Membe hanasifa toshelevu za kuwa rais wa nchi hii, huyu mtu alikuwa anatembele njota Ya Kikwete na familia Ya Kikwete kutaka kuwa adaa watanzania, pia alikuwa akimtegemea vuvuzela la majungu lililopa ndani Ya CCM kipindi kile wanaotoka kanda mojo ili kumng'arishia nyota yake.. Huyu mtu hafai kabisa .
Kwanza hana uwezo binafsi wa kuweza kuongoza nchi hii, pili anaonekana atakuja kulipiza visasi ndani Ya nchi hii
Ni bora Magufuli aendelee.
i
Kwa wewe, kwa yule anayeugulia risasi, mtakuwa na mtazamo tofauti!Hapo vip!!
Membe hanasifa toshelevu za kuwa rais wa nchi hii, huyu mtu alikuwa anatembele njota Ya Kikwete na familia Ya Kikwete kutaka kuwa adaa watanzania, pia alikuwa akimtegemea vuvuzela la majungu lililopa ndani Ya CCM kipindi kile wanaotoka kanda mojo ili kumng'arishia nyota yake.. Huyu mtu hafai kabisa .
Kwanza hana uwezo binafsi wa kuweza kuongoza nchi hii, pili anaonekana atakuja kulipiza visasi ndani Ya nchi hii
Ni bora Magufuli aendelee.
i
Wewe kama nani umwambie afute ndoto ya Uraisi? Mwacheni atumie haki yakeKwanza nianze kwa kukupa pole nakumbuka kipindi kilee wachina na baadhi ya watanzania wakijenga kwako ulitamka neno kama watania kumbe ulimaanisha ukisema
"Jenga vizuri mwaweza kuwa mnajenga ikulu hii, yaan ya rais nijaye"
Mkuu naomba utulie kama ambavyo lowassa kashajikatia tamaa,
Siyo kwamba huna uwezo wa.kuwa rais, la hasha, ni kwamba mchakato unaopitia kujiandaa ni mbovu,
Tunajua huyu aliyeko madarakani kashatuimbisha mpaka nyimbo za chekechekea (mpera una maua mpera unamaua, -sasa saaa ya kwenda kwetu kwaheri mwalim kwaheri tutaonanaaa)
Lakin sasa nina sababu nne za msingi ambazo zitakufanya usiwe rais wa nchi hii
1. Intelligence ya Rais wa sasa imeenea kila eneo, kabla hamjatekeleza mnalopanga anakuwa nalo nyumba nyu
nyeupe tiyari
2. Umri wako unaenda na kwa mikakati inaonekana Kuna mtu anaamdaliwa kuachiwa kiti mwaka 2025 na automatically siyo wewe maana anayeachiwa ana hulka za kimagufuli magufuli, (Magufulifier)
3. CCM mnamuogopa mwenyekiti hivyo hata mfanye nini mtatekeleza anachosema yeye, yaan ndani ya ccm hakuna wa kukemea lolote mtaishia kumtembelea na kumpa hai, nasikia kuna mwingine pamoja na kuwahi kushika nafasi kubwa kaenda pale feri akaomba camera zizimwe abembeleze vema watu wasigiswe, haha aisee,
4. Faili lako liko kwake ukileta fyoko choko, kitambi kitapungia muda si mrefu, huoni kina seth na Rugemalira??
Ushauri wangu mambo ya urais yasahau kama Kina Malechela na Lowassa au kama walivyoishia kuugulia maumivu kina Mwandosya,
Britannica
wameshatumwa kuja kumwaga propaganda hum ndani maana huu ni uzi wa pili kuhusu membe siku ya leoHaya kachukue buku7 kutoka kwa makonda