Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha awekewe si anajifanya hamnazo!!Membe mmemuwekea vijana wenu kila aendapo, asemacho mnaambiwa ila bado mwaogopa
Kwanza nianze kwa kukupa pole nakumbuka kipindi kilee wachina na baadhi ya watanzania wakijenga kwako ulitamka neno kama watania kumbe ulimaanisha ukisema
"Jenga vizuri mwaweza kuwa mnajenga ikulu hii, yaan ya rais nijaye"
Mkuu naomba utulie kama ambavyo lowassa kashajikatia tamaa,
Siyo kwamba huna uwezo wa.kuwa rais, la hasha, ni kwamba mchakato unaopitia kujiandaa ni mbovu,
Tunajua huyu aliyeko madarakani kashatuimbisha mpaka nyimbo za chekechekea (mpera una maua mpera unamaua, -sasa saaa ya kwenda kwetu kwaheri mwalim kwaheri tutaonanaaa)
Lakin sasa nina sababu nne za msingi ambazo zitakufanya usiwe rais wa nchi hii
1. Intelligence ya Rais wa sasa imeenea kila eneo, kabla hamjatekeleza mnalopanga anakuwa nalo nyumba nyu
nyeupe tiyari
2. Umri wako unaenda na kwa mikakati inaonekana Kuna mtu anaamdaliwa kuachiwa kiti mwaka 2025 na automatically siyo wewe maana anayeachiwa ana hulka za kimagufuli magufuli, (Magufulifier)
3. CCM mnamuogopa mwenyekiti hivyo hata mfanye nini mtatekeleza anachosema yeye, yaan ndani ya ccm hakuna wa kukemea lolote mtaishia kumtembelea na kumpa hai, nasikia kuna mwingine pamoja na kuwahi kushika nafasi kubwa kaenda pale feri akaomba camera zizimwe abembeleze vema watu wasigiswe, haha aisee,
4. Faili lako liko kwake ukileta fyoko choko, kitambi kitapungia muda si mrefu, huoni kina seth na Rugemalira??
Ushauri wangu mambo ya urais yasahau kama Kina Malechela na Lowassa au kama walivyoishia kuugulia maumivu kina Mwandosya,
Britannica
Yaani ni empty setNchi ya wajinga hii, yeyote anaweza kuwa Rais....huyu wa sasa ni mtupu lakini tupo nae tu.

Hilo waachiwe wanachama waamue,kisasi inategemea uliishije na wenzako uongozi ni zamuHapo vip!!
Membe hanasifa toshelevu za kuwa rais wa nchi hii, huyu mtu alikuwa anatembele njota Ya Kikwete na familia Ya Kikwete kutaka kuwa adaa watanzania, pia alikuwa akimtegemea vuvuzela la majungu lililopa ndani Ya CCM kipindi kile wanaotoka kanda mojo ili kumng'arishia nyota yake.. Huyu mtu hafai kabisa .
Kwanza hana uwezo binafsi wa kuweza kuongoza nchi hii, pili anaonekana atakuja kulipiza visasi ndani Ya nchi hii
Ni bora Magufuli aendelee.
i
Maslai yao yako hatarini wanufaika wa mfumoTimu jiwe mmepaniq vibaya Sana, hii nchi ni yetu wote,
Maslai yao yako hatarini wanufaika wa mfumo
well crafted propaganda, tena sio kutoka CCM bali ni kutoka ndani ya serikali, endeleeni kujipa moyo, kama "mwenyekiti" ananguvu sana ndani ya chama basi Membe angepeperusha bendera 2015!
Analeta mambo ya CHADEMA hajui sisi tuna demokrasia
Membe yupo kimyaaa ila kunawatu nadhani wanatamani awe rais ndio maana kila kukicha wanamtaja Membe ambaye aliamua kujikalia kimya tuu. It seems people need him more than he himself wanted to be a president. Tumwache aendelee na mambo yake. Rais yupo muda wake haujaisha maana kwa mfumo wa CCM ni hadi 2025. Mbona tunaanza muongelea Membe leo ni 2018 tu, je tumepungukiwa nini? Mbona kipindi cha JK haikua hivi?Kwanza nianze kwa kukupa pole nakumbuka kipindi kilee wachina na baadhi ya watanzania wakijenga kwako ulitamka neno kama watania kumbe ulimaanisha ukisema