Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Mbona unamtisha sana. Kutumia fursa ya kidemokrasia ndani ya Chama ni 'uhaini' na kosa la 'jinai' au?
 
well crafted propaganda, tena sio kutoka CCM bali ni kutoka ndani ya serikali, endeleeni kujipa moyo, kama "mwenyekiti" ananguvu sana ndani ya chama basi Membe angepeperusha bendera 2015!
Ndiyo ana nguvu bwana
 
Hapo vip!!
Membe hanasifa toshelevu za kuwa rais wa nchi hii, huyu mtu alikuwa anatembele njota Ya Kikwete na familia Ya Kikwete kutaka kuwa adaa watanzania, pia alikuwa akimtegemea vuvuzela la majungu lililopa ndani Ya CCM kipindi kile wanaotoka kanda mojo ili kumng'arishia nyota yake.. Huyu mtu hafai kabisa .

Kwanza hana uwezo binafsi wa kuweza kuongoza nchi hii, pili anaonekana atakuja kulipiza visasi ndani Ya nchi hii

Ni bora Magufuli aendelee.
i
 
Anything can happen at any time..
Btw,kuna mtu aliota ... Kafa [emoji859]️
 
Mmh!!!!! ni kweli?
 
Kwa wewe, kwa yule anayeugulia risasi, mtakuwa na mtazamo tofauti!
 
Wewe kama nani umwambie afute ndoto ya Uraisi? Mwacheni atumie haki yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…