Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Tanzania ni nchi hatari sanaKatika watu mil 50.kachagua watu 12 tu?
HANA UWEZOmaccm wanamtaka membe 2020 apeperushe bendera ya chama
jk na jiwe wana uwezo ganiHANA UWEZO
Tanzania inaweza kuongoza na mtu hata wa klasi seven, kwani kama kiongozi ni nadra sana kutumia jasho na akili. Ni kiasi cha kutoa amri kibashitebashite mambo yanajipa yenyewe.
Na kwakua hakuna uwajibikaji wa matendo yetu kama viongozi bali upo uwajibikaji wa wale wanaotofautiana na mwenye Power tu, na wanashughulikiwa kirahisi kama kuua panya kwa rungu moja. Hivyo, Mh.Membe anaweza kuongoza Tanzania bila matatizo. Sio kazi ngumu kuiongoza nchi.
Pamoja na kukiri sifa za Mh.Membe. Bado simshauri agombee uraisi. Maana urahisi wa kuongoza ndivyo ugumu wa kumtoa aliye madarakani ulivyo.
Magufuli ananguvu nyingi sana. Yule ni chuma cha reli ya std gauge. Mfupa wa membe laini utavunjikia hapo akileta kibri. Yeye na wafuasi wake watajutia.
Ccm ya leo ni ccm ya magufuli. Membe Akae pembeni ale kiinua mgongo chake. Kwani ni nini bwana?. haya maisha tu, yanapita. Uzee uleeeeeeee.
Hata uhandsome anamzidi mbali bwana kichaajk na jiwe wana uwezo gani
at least membe kawazidi kuongea kingreza
Wajinga ukiwaelimisha wanaelimika sasa sijui ulikua na maana nchi yampumbafu kama wewe au nchi ya wapumbafu,ambao hawawezi kuelimika.Nchi ya wajinga hii, yeyote anaweza kuwa Rais....huyu wa sasa ni mtupu lakini tupo nae tu.
Kweli kabisaYeye anadhani yule mzee mwingine alieamua kukaa kule Tukuyu milimani akifaidi hali ya hewa ya kule huku akipigapiga picha na kukesha mitandanoni, amependa vile!
Amerusharusha makombora kutoka huko milimani na vifaru vikaelekezwa hukuhuko.
Kiinua mgongo chao ni kizuri tu kinawatosha.
Umelewa wewe nani wa kusimamia huo mgogoro na ataanzia wapi? Hivi unawajua makada wa chama cha mapinduzi au wenye chama unawajua? Tegemea kutosikia mwanzilishi wa mgogoro ndani ya ccm.Nilishawahi kusema humu ndani kuwa Muogopeni Lowassa aliyekaa kimya kuliko kitu chochote.Ni bora wangemuacha akafanya mikutano kuliko hizi siasa za chini chini na fitna.The guy is more intelligent than nobody could ever imagine.Mgogoro unaokuja ndani ya CCM hauelezeki na ni fursa ya CDM kujijenga.Narudia tena,Lowassa mkimya ni hatari muno!
kwanini kikwete hakuitumia yake?
Nimemkumbuka kipindi.anasema akiwa rais watu 12 wajiandae pale airport kuhamia kenya