Mmhh!.Si bure mmetumwa nyinyi kumchafua Membe.Membe namfahamu sana anatakiwa kusoma alama za nyakati.
Uraisi hautafitwi kwa njia za kizamani anazotumia,ambazo zitamweka kwenye matatizo.
Siasa ya Rushwa kuhonga haina nafasi tena,.
Ye kwa sasa ni MTU mzima niaka,65 atulie tu alee wajukuu km kula amekula sana,amesahau nn serikalini?
Tunahitaji damu mpya 45-50 angalau sio 60+ hapana.
Naamini baba yangu Membe ni mdau wa jf kuwa makini,km ukiendelea na kampeni zako za siri utaishia sehemu mbaya sana,.
Washauri Wako wanakupotosha sana this z Africa.
PCCB wapo wanaona takecare.
Kiukweli CCM ya leo siyo ile CCM yenye pesa nje nje mzee kabanakwa sasa ndani ya ccm kuna makundi yasiyoonekana. liko kundi inaamini Magu yuko sahihi. lakini liko kundi inaamini Magu anaharibu chama chao
Hapana sio kweli. Hii nchi ni ya wazalendo! Wasio wazalendo hawataki hii nchi ilendelee ku-exist. Ndiyo maana wanapinga kila kitu.Timu jiwe mmepaniq vibaya Sana, hii nchi ni yetu wote,
Labda kwa nyie wavaa kanga na kofia!!Kiukweli CCM ya leo siyo ile CCM yenye pesa nje nje mzee kabana
Hilo ulilolitaja mwisho ndio kubwa zaidikwa sasa ndani ya ccm kuna makundi yasiyoonekana. liko kundi inaamini Magu yuko sahihi. lakini liko kundi inaamini Magu anaharibu chama chao
Membe wanamtaka ili arudishe ufisadi Tanzania.Membe anafaa kuwa raisi wa Mamba, sisi ni eidha Lissu au Maalim Seif
Wanahangaika na Tundu Lissu kumbe upinzani wanao nguoniHilo ulilolitaja mwisho ndio kubwa zaidi
Hatari sana mkuuWanahangaika na Tundu Lissu kumbe upinzani wanao nguoni
Mtukufu jiwe anatumia nguvu nyingi sana kubaki madarakani.Hii ccm ya kuchezea box la kura kimachomacho limemuibua Membe. Wanaccm wengi sasa wanaona fika Magu na genge lake wameshindwa kufanya siasa za ushindani bali wamebaki kuburuza wananchi bila ridhaa yao. Kitendo cha Magu kuhakikisha mgombea wa ccm tena aliyemtoa upinzani na kuhakiksha anatangazwa mshindi kimewaacha wanaccm asilia na donge moyoni, hivyo wameamua wamtoe mapema.
Na hivi viashiria vya magu kutaka kujiongezea muda wa kukaa madarakani kimemfanya jasusi Membe kutoka alipokuwa kwani wanajua kabisa wakikaa kimya jamaa atajiongezea muda maana haheshimu box la kura. Hivyo kuna kundi kubwa ndani ya ccm halikubaliani na mwenendo wa magu na wameapa 2020 kumpiga chini.
Niaminishe hata kidogo mkuu, kuwa Membe ana nguvu kuliko alizokuwa naxo Lowassa ndani ya ccm, make huku kanda ya ziwa hata hatumjui, kma tulivyomjua Lowassa.2020 ndio mwisho wa ccm kimeshapasuka