Membe namfahamu sana anatakiwa kusoma alama za nyakati.
Uraisi hautafitwi kwa njia za kizamani anazotumia,ambazo zitamweka kwenye matatizo.
Siasa ya Rushwa kuhonga haina nafasi tena,.
Ye kwa sasa ni MTU mzima niaka,65 atulie tu alee wajukuu km kula amekula sana,amesahau nn serikalini?
Tunahitaji damu mpya 45-50 angalau sio 60+ hapana.
Naamini baba yangu Membe ni mdau wa jf kuwa makini,km ukiendelea na kampeni zako za siri utaishia sehemu mbaya sana,.
Washauri Wako wanakupotosha sana this z Africa.
PCCB wapo wanaona takecare.