Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

pia nashauri mods waiondoe thread hii kwa vile inapandikiza chuki kwa viongozi(Membe vs Magufuli) wakati hawa si maadui ,kama ni propaganda zenu "mumebugi men"

greenstar hivi unaweza kujieleza kwa umombo maana naona hata mada hujaielewa kabisa magufuli na membe kugonganishwa na hii mada wapi na wapi?...............au unataka tujenge utamaduni wa kusifiana tu kiunafikinafiki hivi?
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni January Makamba undercover. Hizi ni aina za speech mbofu mbofu alizokuwa anamwandikia JK; anatumia maneno ya ajabu ajabu ya kiingereza kunogesha hotuba bila kujali hoja ya hotuba yenyewe.

[MENTION]UgonjwaUkimwi[/MENTION]......hivi Makamba anaweza kuyaandika haya au basi hata anayaelewa? Huu ukimwi wako huo kaa nao tu ndugu yangu miye nauogopa hivi..............
 

Az 89..rural transformation? If you believe this nonsense then you will believe anything.................huo ni msamiati tu hauna uhusiano wowote ule na uwezo wa kuyatatua matatizo ya nchi hii. Kilichoshindikana kuwa na hiyo "rrural transformation" wakati huu ambao yeye ni waziri tena wa mambo ya kigeni ni nini? Kama siyo gheresha zake mbaya zaidi hata hakujibu maswali ya how, why, when....................and in particular why did he not initiate them in 2005? Zaidi ya kutetea ufisadi wa radar?
 
Last edited by a moderator:
By Rutashubanyuma


Vonix kutofaa haiamaanishi hatakuwa Raisi..............JK hafai lakini tuko naye na suti zake
At least umenifurahisha

Az 89 Kwa hiyo unachekelea bora liende? Au bora kiongozi kulikoni kiongozi bora?
 
Last edited by a moderator:
Az 89 Kwa hiyo unachekelea bora liende? Au bora kiongozi kulikoni kiongozi bora?

- Bro. Rais bora haamuliwi kwa Speech moja UDASA, halafu ungewataja unaowaona wanafaa kuliko Membe!!, Waziri wa Nje miaka 7 kama hafai kuwa Rais ina maana moja tu kwamba hakuna anayeafaa, and that is pathetic wapo na Membe ni mmojawapo!!

Es!
 
This Rutashubanyuma's post presents an opportunity for me to recirculate what I wrote about the same aspirant some years ago. Enjoy it!

 
- Bro. Rais bora haamuliwi kwa Speech moja UDASA, halafu ungewataja unaowaona wanafaa kuliko Membe!!, Waziri wa Nje miaka 7 kama hafai kuwa Rais ina maana moja tu kwamba hakuna anayeafaa, and that is pathetic wapo na Membe ni mmojawapo!!

Es!

ha ha...kwani kuwa waziri wa mamabo ya nje alikuwa akipitia chujio fulani?Membo ni uozo na amalindwa na huo uozo kwa muda mrefu,kwanza ni puppet.Atakuweje rais hakuweza kuw ana unasiri au kuona shida ya hel aya ghaddafi kw akiasi cha kufunika ukweli kuhusu maisha haramu ya Ghaddafi.

Membe keshatotuloea nchi moja ktk diplomasia yetu nayo ni Libya.Walibya hawana sabbu ya kuwa na sisi, tumewatosa kipindi walituhitaji, na hata kipindi tulipowatosa,wakajituma na kumuondoa ghaddafi hatukuwatambua,.Soon CCM nao wataingia ktk same path kama Ghaddafi.

HUyo Peppert wa Ghaddafi hana faida kwa nchi, atakuwa kibaraka wa watu wengi wa aian ya Ghaddafi.
 

Kuna mwanamke mmoja alitaka kujaribu ukweli wa mgaa gaa na upwa hali wali mkavu, hivyo akapika wali wake kisha akaenda zake pwani kugaa gaa kisha akarudi akitegemea kukuta mchuzi, kilicho mkuta unaweza kutabiri. Ndicho ulichokifanya hapa.
 
Kuna mwanamke mmoja alitaka kujaribu ukweli wa mgaa gaa na upwa hali wali mkavu, hivyo akapika wali wake kisha akaenda zake pwani kugaa gaa kisha akarudi akitegemea kukuta mchuzi, kilicho mkuta unaweza kutabiri. Ndicho ulichokifanya hapa.

sidhani kama hiki ndicho ulikuwa ukimaanisha.Sidhani kama utakuwa sahihi, mgaa gaa na napwanihali wali mkavu ni kwamba akigaa pwani basi hawezi kosa hata samaki fulani ambao wavuvi hawaoni shida mpatia, na kwa ajuaye hilo hawezi tegemea mchuzi ujitengeneze wakati anajua anahitajia kurudia na samaki aje tengeneza mchuzi.

Sasa umeanza na premises nzuri ila ukamalizia na wrong conlusion.Na wewe ni gamba nini?Sisi huwa hatupigi mawe miti yenye matunda, kwa vile hatupendi haribu matunda wata mti na eneo lililochini ya huo mti.Huwa tunachuma au kutumia miti au ngazi kuchuma.Nimekuwambia si kupiga mawe tuu hata kuwaweka wanyama alama wka moto hatufanyai kwa vile hatutaki haribu thamani ya ngozi.

Tunapiga miti yenye wanyama na wadudu hatarishi au waharibifu kama nyoka, nyani na ndege waharibifu.Una enjoy kuwa gamba mwenyewe..Sishangai kwanini CCM haiwezi saidia hii nchi kuendelea hata miaka 1000 ijayo.Sishangai kma kabila ulilotoka linaharibu vitu sana, pengine hawana food security kabisa au wakiwa nyuma kabisa.
 

Kweli ya haki husemwa, pano hitaji hekima,
Muungwana akibanwa, busara chini inama,
Kama chupi ikiporwa, si vyema wima simama,
Kwa mwenye zake hekima, huchagua kuchutama.
 
- Bro. Rais bora haamuliwi kwa Speech moja UDASA, halafu ungewataja unaowaona wanafaa kuliko Membe!!, Waziri wa Nje miaka 7 kama hafai kuwa Rais ina maana moja tu kwamba hakuna anayeafaa, and that is pathetic wapo na Membe ni mmojawapo!!

Es!

Field Marshall ES...........angalau unakiri ile hotuba imemwangusha......................na kuhusu uzoefu wa uwaziri wa nje.........jk miaka 10 ya mambo ya nje na 27 in total kwenye baraza la mawaziri kabla y kuwa raisi lakini karibu sote tunamwona ni kilaza.........kumbuka malecela aliikamata hiyo wizara kwa miaka mingi lakini aliishia kuangukia pua..............
 

Nicholas usichoke kutoa darasa la bwerere.......
 
Last edited by a moderator:
Nawatakia Mwaka Mpya Mwema na Wenye Mafanikio.

Omutwale kutoka Kanyigo.
[MENTION]
Omutwale[/MENTION]......................waitu amutwale nkhaaaaaa
 
despite hizo weakness huyu ndo rais wenu, wedha u like it or not, and the reason
is obvious, the president of URT is not elected by people/masses as such, but by a bunch of selfish party crooks with support of state apparatuses
 
Kwa kifup mi naona anafanana na mwenzake wa magogon. Kama kwel 2nataka uongoz mpya Ikulu, bas mjue huyu hatakuwa mpya pale, kiutendaji.
 
Kweli ya haki husemwa, pano hitaji hekima,
Muungwana akibanwa, busara chini inama,
Kama chupi ikiporwa, si vyema wima simama,
Kwa mwenye zake hekima, huchagua kuchutama.

n haya nayo unaanisha yalistahili hapa?Au yameponyoka?Sometimes uwe na courtesy ya kukubali kuwa hukuumia mfano vizuri.
 

ha ha..wanakukumbusha disasater ingine ktk CCM.Hivi kuna namna ya kuwaangalia hawa mawaziri wa nje wanafanya nini?Naona ni mabalozi wazuri wa ujinga duniani.
 
Nicholas usichoke kutoa darasa la bwerere.......

Tataizo la hawa jamaa ni kwamba huwa wanafanya mambo yawe ubishi na hivyo mjadala unakuwa hauna nafasi sana ya kuelimishana.Kiuhasilia watu wangekuwa wanajadili vitu bila ushabiki, kila mtu angeweza mfundisha mwenzie kitu fulami.Ila kuna watu wanaingia humu kilinda kambi zao.Kwa kuropoka au kudai picture.
 
Watu wameashaanza roho mbaya yaani point zote hamna hata yenye maelezo ya kueleweka zaidi ya kujificha nyuma ya misamiati mirefu tu....ukweli ni kuwa Membe au yoyote yule anahaki ya kujitutumua kwa makusudi au kwa kusingiziwa. Wacheni majungu na tusubiri 2015..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…