Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Exactly mkuu.... nafikir walimu hawakutoa darasa vizuri, somo la historia limewaharibu vijana, ila kwenye biology ndio unaipata vizuri hii mada.

History iligusia juu juu issue ya evolution kabisa mkuu biology inamaliza kila kitu pia kama mtu mdadisi angesoma Darwin's theory(origin)of species
Hata binadamu tulikuwa na aina zaidi ya 5 wa mwisho katoweka ni Neanderthals miaka20000iliopita baada ya kushindwa na homo sapiens kutahimili mabadiliko ya mazingira
 
Kinachosababisha tabaka flani la watu kuwa na rangi flani na lingine kiwa na rangi tofauti ni SUBSTANCE MOJA AMBAYO INAITWA MELANIN.
Kimsingi matabaka ya watu hupangwa kwa kutumia kiwango cha MELANIN ambacho tabaka hilo husika huwanacho.
Katika bimadamu wote watu weusi ndo huwa na kiwango kikubwa sana cha MELANIN wakifuatiwa na watu wa mashariko ya mbali na asia huku wazungu wakiwa wa mwisho.
MELANIN ndo msingi wa kila kitu katika maisha ya mwanadamu. MELANIN haiishii tu kwenye kuupa mwili rangi bali huja mbaka kwenye milango yote ya fahamu na kupitia MELANIN ndo milango hiyo huweza kuganya kazi.
Kwa mfano wazungu hawana uwezo wa kubadilisha mwanga wa jua kiwa vitamin d lakini watu weusi wanaweza,wazungu hawana uwezo wa kuangalia jua lakin watu weusi wanaweza,hata kupata harufu ya chakula au radha waafrika huwa na uwezo zaidi wa kufanya hivyo kuliko wazungu.
MELANIN huzalishwa na tezi muhimu sana katika mwili wa mwanadamu ambayo huitwa PINEAL GLAND.
Katika maana nyepesi hiyo tezi ndo huitwa jicho la tatu na watu wanaofanya meditation huwa wanaelewa hapo nazungumzia kitu gani.
Nimalize kwa kusema kuwa MELANIN ndo kitu muhimu katika mwili wa mwanadamu hata kuliko seli za mwili.

Asante mkubwa
 
Habari za Asubuhi Wadau....?

Ukiwa umebarikiwa kuiona siku Hii salama na umejiandaa na kupambana na umasikini kwa leo, Fanya yote hayo ila usisahau kunifafanulia "Kwanini Kuwe na Mtu MWEUSI na Mtu MWEUPE....

Na Kama Mtu mweusi anaweza kuwa Mweupe Je' Mtu mweupe hawezi kuwa Mweusi...!?

NINI KIMEKOSEWA AU NINI KIMEPUNGUA KWA RANGI HIZI 2...!?
Hakuna kilichokosewa wala kilichopungua au kuzidi.Mola aliyeumba kila kitu amekiumba kwa makusudio yake.Na Mola haulizwi kwa yale afanyayo.
 
Habari za Asubuhi Wadau....?

Ukiwa umebarikiwa kuiona siku Hii salama na umejiandaa na kupambana na umasikini kwa leo, Fanya yote hayo ila usisahau kunifafanulia "Kwanini Kuwe na Mtu MWEUSI na Mtu MWEUPE....

Na Kama Mtu mweusi anaweza kuwa Mweupe Je' Mtu mweupe hawezi kuwa Mweusi...!?

NINI KIMEKOSEWA AU NINI KIMEPUNGUA KWA RANGI HIZI 2...!?
Mola wetu aliyetukuka,ametuumba mataifa mbali mbali na makabila mbali mbali lengo na shabaha ni kuweza kufahamiana wala si mmoja kujiona bora zaidi ya mwenzake.Mwanadamu ameumbwa katika umbile lililo kamili,awe mweupe au mweusi na mfano wake.

Wanao diriki kubadilisha maumbile kwa namna yoyote ile,wanatia dosari katika uumbaji wa Mola mlezi na ni makosa sana.Kwani aliyekuumba ameepukana na makosa.
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
Duuh ! Hizi elimu nyingine mtihani sana.
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
Watu kama nyie ndio mtakao kuja kuulizwa kwanini mlipewa akili na hamkuzitumia vizuri ? Sijui mtajibuje hili swali.
 
Back
Top Bottom