SawaNa ww acha huu ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNa ww acha huu ujinga
Hivi mkuu chanzo cha mungu ni nini?Usipo badilika utakufa ktk fikra zako potofu na hatimaye kuwa mmoja ya watu wenye hasara sana kwa kuingia ktk moto wa milele hivi unadhani hiyo nature ilijileta yenyewe??? Sasa ujue kuna nguvu ya ziada nyuma ya hiyo nature na nguvu hiyo ni ya Mungu muumbaji unavyoona jua linawaka, chemichem, mvua kunyesha na nguvu zote za asili zinashikiliwa na Mungu pekee na yeye ndie sababu ya kila kitu
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa vinginevyo utaangamia kwa kukosa maarifa ya Mungu kama sio leo utaangamia ktk moto wa milele kama kuna kitabu cha wakati wote na chenye mauzo makubwa biblia ni kimojawapo na hichi pekee ndicho chenye uzima wa milele nje ya biblia ni kujichimbia kaburi soma biblia ndugu ni kitabu muhimu kuliko unavyokidhania ukisoma utaipata elimu na furaha ya kweli kwa maisha ya sasa na ya baadae
Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza hayo maarifa yako yatakupeleka pabayaAcha upumb.avu ww. Ndo maana akili yako inakuwa kama kurasa za hiyo bibilia kwasababu hutaki kushuhulisha akili yako.
Soma na tumia akili yako vzr acha woga Wa kutafuta maaridfa
Yaliyofunuliwa ni kwa ajili ya wanadamu yaliyosirini ni ya Mungu jitahidi kumcha Mungu ukifika kwake majibu ya maswali yote utayapataHivi mkuu chanzo cha mungu ni nini?
Kwa nini black America and black colored people in Europe kama sissoko , pogba hawajaanza hata kubadilika na wamezaliwa ulaya?
Akili ya binadamu inapoishia ndipo akili ya Mungu inapoanzia. The theory of evolution is a scientific way of admitting that something is beyond human's comprehension! Just think about it: if human beings were once apes, thousands of years ago, why do we still have apes today? Why did these apes not evolve, alongside others that did, to become human beings? Better yet, how close are they to becoming human beings, compared to how they were thousands of years ago?
Exactly mkuu.... nafikir walimu hawakutoa darasa vizuri, somo la historia limewaharibu vijana, ila kwenye biology ndio unaipata vizuri hii mada.Hujawahi kuielewa evolution kumbe it doesn't work that way,we humans and apes had single parents we evolved in different ways/dimensions ma kwa taarifa yako homo sapiens ndio species ya binadam ilio survive zingine.kama Neanderthal has gone extinct.somo zaidi kuhusu evolution
If nobody cannot witness evolution is taking place, why claiming that varieties of people are a result of evolution? Are there any clear records about that?Evolution takes centuries and centuries as such you can not witness changes in the same century which you are living in!
Evolution is simply not testable or observable.If nobody cannot witness evolution is taking place, why claiming that varieties of people are a result of evolution? Are there any clear records about that?
Scientists are still saying that this phenomenon is still a mystery.
Evolution is simply not testable or observable.
That's precisely why I'm saying it's neither testable nor observable.If not observed, why do we still see chimps?
That's precisely why I'm saying it's neither testable nor observable.
Those who swear by it will tell you that it takes thousands, hundreds of thousands, and millions of years for it to take place.
Now...seriously?
Is it humanly possible to test and observe something for that long?
'Enyi watu, Kwa hakika tumewaumbeni kutoka mwanaume mmoja (Adamu) na mwanamke mmoja(Hawa/Eva) na tukawafanya muwe makabila na mataifa mbali mbali ili mjuane, (albino akingwe na jua, Muafrika nywele fupi na ngozi inayohimili jua, mzungu aweza kufa kwa mafua . . . .), Kwa hakika mbora wenu (Kwa mtazamo Muumbaji) ni Mchamungu. (Anayewafuata wawakilishi wa Mungu duniani(Mitume). Hope tumesaidiwa kujua lengo la kutofautishwa.Habari za Asubuhi Wadau....?
Ukiwa umebarikiwa kuiona siku Hii salama na umejiandaa na kupambana na umasikini kwa leo, Fanya yote hayo ila usisahau kunifafanulia "Kwanini Kuwe na Mtu MWEUSI na Mtu MWEUPE....
Na Kama Mtu mweusi anaweza kuwa Mweupe Je' Mtu mweupe hawezi kuwa Mweusi...!?
NINI KIMEKOSEWA AU NINI KIMEPUNGUA KWA RANGI HIZI 2...!?
Halafu hua najiuliza kwanini ni rahisi mweusi kua mweupe tena kwa haraka tu, kuliko mweupe kua mweusi?
Wataalamu msaada plz.[/QUO
Original ni rahisi kuwa fake kama itachakachuliwa but fake si rahisi kuwa original.