Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

.

Sasa angalia.umemuuliza kuhusu suala la mtu kwenda mwezini,yeye kakuletea siasa,ndio maana nikasema huyu jamaa ni dhaifu kiuelewa.Kama atakujibu swali ulilomuuliza naomba uniite,hapa ndipo utajionea wewe mwenyewe nani ni mental case kati ya mimi na yeye.

.
Ulitaka nibadilishe topic tuanze mambo ya mwezini?

We we from nowhere ndo ulileta conspiracies zako, na mie nikaHighligt Hiyo ya kwenda mwezini ambayo Nina uhakika nayo kuku rule out as a mental case.

Wewe unapenda kusoma. Watu wanakuona unajua vitu kwa sababu sio wasomaji. Utadanganya wengi.

Hapa akija Mtu anayeamini flat earth na secret alien bases naye atazoa wengi..

Nikipata muda nitakuja kukuprove wrong kuhusu moon landing.

Siwezi nikakubaliana na wewe juu juu bila kusoma mwenyewe.

Siwezi kukubishia wala kukubalia kuhusu HIV au cancer kwasababu nilisoma juu juu tu. sio topic ngeni kwangu.

Ya evolution ndo kabisa achana nayo. Hujui kitu kabisa. Ukisikia Mtu anasema "its just a theory" au "mbona nyani hawabadiliki" ujue HAJUI KITU.

Anzs na The Origin Of Species cha Charles Darwin.

Misconceptions about evolution

(I'm too lazy for serious debates right now)
 
Mkuu angalia tusije kuharibu dhima ya uzi huu,lakini nitakujibu kwa ufupi tu.Inaonekana hujamaliza kusoma post zangu zilizopita,swali hili nilishalijibu.Ni hivi,....

HIV/AIDS si ugonjwa,si tatizo,si hatari kama wajuavyo wengi.HIV/AIDS ni kasumba tu,hivyo ukiambiwa kwamba umeathirika chukulia kama vile hujaambiwa kitu.Cha msingi,kama unaumwa malaria tibu malaria.kama unaumwa TB tibu TB,kama una kisukari tibu kisukari,kama una cancer tibu cancer nk....hayo ndio magonjwa halisi na yote yana tiba zake,KWISHA!!

Vinginevyo unatakiwa kufuata utaratibu mzuri wa maisha ikiwemo ulaji wa chakula bora na mazoezi.Usithubutu kamwe kutumia ARVs,hili ndilo kosa wanalofanya wengi wakidhani kwamba ARVs ndio mkombozi bila kujua kwamba mwisho wa siku hizihizi ARVs ndizo huwasababishia dalili/magonjwa ambayo ndio yanayowaua(ambayo ndio ukimwi wenyewe) huku wakidhani kwamba HIV ndio chanzo wakati sivyo.

Ukiona mtu anatumia ARVs halafu ana nywele dhaifu/zimenyonyoka au ana vipele kwenye ngozi/anajikuna au amepata kisukari au amepata cancer au ana matatizo ya moyo,figo au ini,au anakuwa na upungufu wa damu/anaemia inabidi ufahamu kwamba matatizo haya yote yanasababishwa na ARVs na si HIV,SAWASAWA?Baadhi ya matatizo haya yameandikwa hata kwenye karatasi iliyowekwa ndani ya kikopo cha dawa za ARVs,soma karatasi ile ya ndani ya kikopo utanielewa ninachozungumza,watu wengi wanaotumia ARVs huwa hawasomi karatasi ile hivyo wengi hawajui wanakula dawa zenye madhara gani.Udhaifu huu wa kutopenda kusoma/kudadisi ndio unaotuua na ndio unaofanya wengi wawe na tabia ya kupinga tu wanapoambiwa mambo kama haya bila kujua hata wanapinga nini.

Kuhusu CD4,ha ha haaaa...ndugu yangu,kuna vitu vingi sana mtaani vinaongeza CD4 ingawa CD4 si ishu ya maana sana.CD4 ni propaganda,soma post zangu utajua tu.Fanya uchunguzi wako utangundua kwamba kuna miti hapo mtaani kwenu au jirani huwa mnaikata/mnaipunguza mkiwa mnafanya usafi,inaitwa milonge.Mbegu za miti hii pia huongeza CD4,nani anapinga?Chunguza mwenyewe utajua tu,kumbe CD4 sio ishu,ha ha haaaaa.Sasa kama ishu ni CD4,halafu mbegu za mlonge zinaongeza CD4 pia,sasa kwanini serikali yetu inaingia gharama kubwa kulipa fedha nyingi kwa kila kikopo kimoja cha ARVs???Jibu la hili swali liko wazi kabisa....

Kuhusu kuacha ARVs ni process kidogo,lakini nilishaeleza kwenye zile post zangu,fuatilia.

Tusiharibu uzi huu,wewe nenda kamalizie post zangu utajua mengi sana.
Asante sana Kaka.
Nashukuru binafsi sio mvivu wa kusoma ,hivyo naenda kucheq nyuzi zilizo ongezeka palee.
 
Habari za Asubuhi Wadau....?

Ukiwa umebarikiwa kuiona siku Hii salama na umejiandaa na kupambana na umasikini kwa leo, Fanya yote hayo ila usisahau kunifafanulia "Kwanini Kuwe na Mtu MWEUSI na Mtu MWEUPE....

Na Kama Mtu mweusi anaweza kuwa Mweupe Je' Mtu mweupe hawezi kuwa Mweusi...!?

NINI KIMEKOSEWA AU NINI KIMEPUNGUA KWA RANGI HIZI 2...!?
Hakuna majibu.
 
Uncle, Red Indians their skin is about Melanin , what if the melanin of them are less then white Indians.?

What you should note is
'Is only a Dark people who their melanin is perfect.
The same to Mongolians , if not melanin is Tropical of their country which is located west of Asia boundaried China .

Downward am going to give you what I have been Researching....

Africans is Original Mama of the World.

Kaka Unaweza kukosa kabisa mwelekeo wa Maisha
Ila ukiamua kujiuliza MASWALI 5 MAGUMU
Na ukaamua kufatialia Maijibu yake

Unaweza kujikuta Upo kwenye Mwelekeo wa Maisha mpya kabisa.

Ungana nami hapa.......
 
0737a1eb49df4922884683e4d1c0bfc4.jpg

Mother land.
Hata pale wanapopaita kuwa ni BUSTANI YA Edeni Si ajabu pakawa ni Afrika.
Kuna yeyote ajuae kuhusu hili .....
 
Okay, mbona huwa unakuwa mkali mtu akikosoa evolution...?!
mkali au mbishi?

many are misinformed about evolution. its annoying kuona the same lies against evolution over and over again... "its just a theory" "we cannot observe it" "mbona nyani hawawi binadamu".

nipoteza ari ya kuongelea evolution sikuhizi....siku nitarudi lakini...

naangaliaga wakristo walioelewa evolution wanavyojaribu kuiintergrate kwenye imani yao. nachekaga tu...
 
Siku hizi wewe sio mkristo...?!
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
Naweza kukubaliana na nadharia hii.
Ndiyo maana binadamu wa Kwanza inaaminika alianzia hapa TZ!
 
.....
Nikipata muda nitakuja kukuprove wrong kuhusu moon landing.

Siwezi nikakubaliana na wewe juu juu bila kusoma mwenyewe.

Siwezi kukubishia wala kukubalia kuhusu HIV au cancer kwasababu nilisoma juu juu tu. sio topic ngeni kwangu.....

Kwa mtu ambaye ni smart upstairs akisoma maneno yako hapo juu lazima ahitimishe kwamba wewe ni mental case kwa kuwa hujui hata unachokiongea wewe mwenyewe kina maana gani.

eti ukipata muda utakuja kuni prove wrong kuhusu moon landing,halafu wakati huohuo unakiri kwamba hujasoma hivyo huwezi kukubaliana na mimi bila kujisomea.Sasa kama hujasoma kuhusu suala hili utawahakikishiaje watu kwamba utaniprove wrong ilihali hujasoma jambo hili?Je,kama ukijisomea ukakuta kwamba niko sahihi itakuwaje?Bado utakuja kuniprove wrong?

Hapo kwenye HIV na cancer ni bora hujapinga,hivyo siwezi kukukanya kwenye hili.Halafu ninachokiona kwenye maelezo yako ni kwamba unapenda kusoma vitu juu juu pia ni mwepesi wa kupinga kabla hujajiuliza,yaani unakumbuka shuka wakati kumekucha.

Halafu unasema kwamba wewe ni mzembe katika kufanya serious debates kama hizi.Kumbe nilikuwa sahihi nilipomjibu mtu mmoja humu kwamba wewe ni dhaifu kiuelewa,na hii inaweza ikawa imesababishwa na tabia yako ya kupenda kusoma vitu juu juu na uvivu wa kujadiliana na watu smart kama sisi kwenye masuala muhimu kama haya.

By the way,haya ni majadiliano tu,hatuwezi wote tukawa na mtazamo/uelewa sawa kwa kila jambo,hii inatokana na juhudi za mtu binafsi katika kuitafuta elimu.Hivyo basi,kama utahitaji msaada wangu(kwa vitendo) hasa kwenye masuala muhimu kama Cancer na HIV niko tayari,sisi sote ni ndugu,sitajali tofauti zetu katika mijadala,naweka utu mbele kwanza,karibu sana.
 
sababu kuu ni Melanin. ni pigment (rangi)

kwenye ngozi kuna cells ambazo zikipigwa na mwanga wa jua zinatoa hiyo melanin. kadri zinavyopata jua ndivyo rangi inakuwa nyeusi na nyingi.

hii adaptation imemsaidia mwanadamu kujilinda na mwanga wa jua ambao unaweza kuharibu DNA.

lakini pia kuna aina mbili za melanin. moja hupatikana kwa wingi kwa watu weupe (wazungu) na nyingine zaidi kwa watu weusi. nafikiri baada ya mwanadamu kutoka afrika ndo mazingira yakapelekea kutengenezeka aina ya pili ya melanin

Hivi ni kiasi cha melanin au ni aina za melanin ndio zinasababisha tofauti za rangi ya ngozi. Maana kunamzungu alishawai kutumia melanin mpaka akawa mweusi kabisa
 
.
eti ukipata muda utakuja kuni prove wrong kuhusu moon landing,halafu wakati huohuo unakiri kwamba hujasoma hivyo huwezi kukubaliana na mimi bila kujisomea.Sasa kama hujasoma kuhusu suala hili utawahakikishiaje watu kwamba utaniprove wrong ilihali hujasoma jambo hili?Je,kama ukijisomea ukakuta kwamba niko sahihi itakuwaje?Bado utakuja kuniprove wrong?
ujifuze kusoma na kuelewa. labda kosa ni langu kwa kuweka paragraph vibaya. nimesema what i wont argue about ni story zako za HIV na cancer (na kwangu ushapoteza credibility ndomana hata nahisi na hizo zitakuwa conspiracies tu)

the moon landing is as real as it gets. debates za moon landing hazijaanza Leo na wanasayansi walishajibu hoja za wabishi zote. wanaosema moon landing ilikuwa staged wanaonekana mamental case. utawapata humu wasiopenda kusoma.

. Hapo kwenye HIV na cancer ni bora hujapinga, kwenye maelezo yako ni kwamba unapenda kusoma vitu juu juu pia ni mwepesi wa kupinga kabla hujajiuliza
aliyesoma juu juu ni wewe mpenda conspiracies. ukarudi usome evolution upya bro. hujui kitu. nimekupa lik hapo ujifanye hujaiona.

na mambo ya moon landing is a matter of googling. don't know why I have to bother writing paragraphs about it.

.
Halafu unasema kwamba wewe ni mzembe katika kufanya serious debates kama hizi.
English nayo hujui bro.

nimesema
(I'm too lazy for serious debates right now)

ulivyotafsiri sicho nilichosema. nowonder utadanganya wengi humu. watu wangejifunza kiingereza wakajisomee wenyewe tu.

Kumbe nilikuwa sahihi nilipomjibu mtu mmoja humu kwamba wewe ni dhaifu kiuelewa,na hii inaweza ikawa imesababishwa na tabia yako ya kupenda kusoma vitu juu juu na uvivu
wavivu ni wafuasi wako uliopata humu. wewe mwenyewe mvivu. hutosoma kitabu chochote kuhusu evolution na hutosoma link niliyokupa. utaendelea kuhubiri upotoshaji kwa wavivu wenzio.

debates za evolution nimefanya, Nimechoka. nitarudi siku.

BTW I'm currently reading Oblomov by Goncharov, Ivan Aleksandrovich. hapo nimekatisha kusoma Justine cha somebody de Sade. nothing serious. just lazy us!

kujadiliana na watu smart kama sisi
LOL. joke of the day.

.,kama utahitaji msaada wangu(kwa vitendo) hasa kwenye masuala muhimu kama Cancer na HIV niko tayari,sisi sote ni ndugu,
nipe sababu moja kwa nini niache kugoogle nikutane na makala millioni, debates elfu, mawazo ya mamia, nije nikuulize wewe conspiracy theorist.
asante kwa offer, no offence but you'll be of too little help and a waste of time.

bye.
 
Hivi ni kiasi cha melanin au ni aina za melanin ndio zinasababisha tofauti za rangi ya ngozi. Maana kunamzungu alishawai kutumia melanin mpaka akawa mweusi kabisa

mh huyo mzungu wa wapi? alikuwa mweusi au dark brown? huwa wanafanya tanning na jua wanakuwa brown.

vyote, aina na kiwango cha melanin vinasababisha. unazaliwa na aina Fulani kwa kiwango Fulani.. ukikaa juani melanin inaongezeka.

baadae ukikaa muda mrefu bila kuona jua, unakuwa mweupe (lighter), ambayo ndo rangi yako ya asili. kwa kuwa mamilioni ya seli za kwenye ngozi hufa kila siku, basi zile mpya zinavyokosa jua, hazihitaji kutengeneza melanin zaidi.
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
Sasa mbona black wapo huko kwenye balidi hawa change colour
 
Kumbe hujifanya wanaipenda kinafki,
Na wakizaa na mweusi, mtoto anatoka na colour flan hv amaizing,

Ila me najiuliza pia, hawa wazungu hawana vinasaba vya albinism kweli! Maana weupe wao hua siuelewi kbs.
Mweupe ni fake na black ni genuine katika uumbaji wapo creators kama wachina vile upo
 
It's variation brought by evolution finally leads to inheritance...
 
Ina maana hata
Binadamu wa kwanza ni Nabii Adam. Yeye aliumbwa kwa kutumia udongo wa duniani wa ufinyanzi...huu ulikuwa mweupe , mweusi na manjano.
Nabii Adam alipo shushwa duniani na Mama hawa walikua wakizaa watoto tofauti kwa rangi na sura. Hii inatokana na wao kuwa dna zote za binadamu....
Hawa wato walishi pamoja, wakahasimiana na kubaguana kwa rangi zao na maumbo yao....hivyo wakakimbiana kuhamia sehemu mbali mbali duniani....
Lakini suala gumu zaidi ni lugha ilikuaje waongee lugha nyingi hivi ? Lugha zaidi ya laki zinaongewa duniani.
Hapa inawezekana adan na hawa hawakua na lugha...hivyo walijifunza kuongea na duniani.....lakini Adam alifunzwa kufahamu kila kitu duniani na kuvijua majina ila kwa lugha gani .haiko wazi....
Hivyo mazingira ya walipo ishi na wenyewe wakatengeneza lugha zao
Wapo walokuja afrika weusi, walokwenda ulaya weudi, walokwenda far east manjano, nk nk
Pia huu ulimwengu wapo majini.....hawa majini ni werevu zaidi na wao ni viumbe.
Majini hupenda kufanya mapenzi na binadamu......inasemekana hawa wazungu waliathirika zaidi na genes za majini ..ni watoto chotara wa binadamu na majini nfo maana unawaona akili zao..zina chagi zaidi , hawaogopi ni majabari kweli..... Wababe...hio damu ya jini...macho yao blue, nywele wengine nyeupe....dna za kijini jini......

Ina maana hata h

Ina maana hata habari za mnara wa babeli huiui?? Basi kasome ktk kitabu cha mwanzo utaelewa kwamba lugha nyingi zililetwa na Mungu baada ya Mungu kuona lugha moja inawafanya wanadamu kusikilizana hivyo kuwa na umoja yaani muunganiko mkubwa sana ambao haumtukuzi Mungu ila umoja huo unawapelekea ktk uasi dhidi yake
Hlf kuhusu swala la rangi ya Adam kwa mujibu wa vitabu vya rejea Adam alikuwa na rangi ya kipekee ambayo inasemwa ni mchanganyiko wa zile rangi zote za upinde wa mvua ndio unaipata rangi aliyokuwa Adam, mkewe na uzao wao ila
 
Back
Top Bottom