Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Ndg tunakualika karb sana.... kwakuwa maprofessor wetu tunawajua ni wale ambao hawajawaifanya tafiti hata kuandika article moja.

Tutakuhitaji sana porojo hatutaki. its a serious time kwa mwamsho wa mtu mweusi........
Nielekeze nitakuja sina porojo na sitataka porojo
 
melanini ndio inayosababisha mtu kuwa mweupe aumweusi pia ndo hivyo hakuna kingine
 
Never hawaipendi kihivyo bali wanapenda kuoa/kuolewa na weusi na wana sababu zao fulani za kijinga kwamba weusi ni so humble na kiukweli ni wazungu wachache, kama kweli wangeipenda nyeusi kihivyo tayari wangeshafanya mambo
kwn we ni mzungu mbona unawasemea wazungu utadhani Kama ulishawai kuwa mzungu au mtu mweupe.....we no mweusi kabisa nakujua maswali yanayowahusu wazungu acha yajibiwe na wazungu wenyewe
 
7a5cddf4eb9d076da725c754ba16cba3.jpg
a09f5db940b148732071198f15343a27.jpg
74717410786620dbcbe0bbf9a28e6fc1.jpg


"KWA UTAFITI TU MDOGO"

INAONESHA KUWA WATU WOTE NI WEUSI
ila mwili unapokosa baadhi ya Madini au vitu frani Ngozi ndo ya kwanza kuathirika.

Binafsi picha hapo juu zinaniaminisha niseme watu wa namna hiyo huwa hawasikii Maumivu. Zaidi ya kuathirika ki-saikrojia.

Ila mara baada ya madini kurejezwa tena katka miili yao huurejea tena U-orijino wao.

Therefore Hata Mweupe anaweza kuurejea tena U-weusi wake.

BINADAAM WOTE NI WEUSI by Originally

Vinavyo changia kuwa MWEUPE
NI
*Melanin
*Chemical
* Environment ( Tropically)


Mwenyewe Mawazo tofauti na Hayo Achangie hapo chini....
Sijawahi kuona taahira kama hili yani nimekua nikifuatilia michango yake yani ni utumbo mtupu......sijui una umri gani....kwa mfano nimeona unakomaa na neno "tropically" unajua maana yake??
 
Sijawahi kuona taahira kama hili yani nimekua nikifuatilia michango yake yani ni utumbo mtupu......sijui una umri gani....kwa mfano nimeona unakomaa na neno "tropically" unajua maana yake??

😛😛😛😛 Duh watu wanajifanya wanakijua kizungu kumbe 0....eti tropically, huwenda na yy ka-copi na kupaste
 
Sijawahi kuona taahira kama hili yani nimekua nikifuatilia michango yake yani ni utumbo mtupu......sijui una umri gani....kwa mfano nimeona unakomaa na neno "tropically" unajua maana yake??
Yaani wewe ukishindwa kutoa msaada badala yake ukashangaa, Sisi tunakushangaa kwanini Umeshangaa.

By theway, Tatizo ukilijua sio Tatizo.
Ila sasa ukilijua tatizo na ukashindwa kuliondoa WEWE ndo unakuwa TATIZO.
 
no. evolution is not a progress to perfection.

evolution through natural selection just allows the survival of organisms with characteristics that favour their survival.

circumstances might cause the same characteristics that enabled their survival to actually make them unfit for survival.

and some things are objective. a bird developed wings. a spider developed poison. which is "better" than the other!
I totally agree with you man wings suits birds and poison is a good wepon kwa Spider
 
Kwanini wazungu wakija Afrika wakioana wenyewe kwa wenyewe wanazaa mzungu badala ya kuzaa mweusi.

The same na Waafrika wakienda Ulaya au Uhindini wakioana wenyewe kwa wenyewe wanazaa mweusi na sio mzungu


Mkuu evolution si a slow process which takes thousands of years to notice so mzungu kaja africa miaka500 iliopita bado ni muda mfupi sana kuona changes hizo kutokea
 
Mkuu hao wahindi wamekaa miaka mia3 haifiki evolution is a slow process you can't notice in your lifetime it could take 10thousands years wakabadilika wakawa weusi
Mi hoja yangu sio rangi ya,ngozi! mbona hata pua , upana wa midomo na muundo wa ngozi ya kope tunatofautiana sana!

pua ya mwafrika ni pana wakati huo ya mzungu ni ndefu na nyembamba!

Hebu fikria na macho ya wachina au macho ya wajapani!

Nahitaji ufafanuzi zaidi mkuu!!
 
mtu mweupe hawez kuwa mweus labda mweusi kuwa mweupe hapa hakuna sababu ya mazingira wala nn hapa ni uumbaji tu kuna watu aina nne MWEUS NJANO ALBINO MZUNGU au MWEUPE.
hapa kuna kitu kinaitwa melanin haya ndo madin yanayoleta au sababisha langi kwa binadam mweusi ana melanin nyingi anafatiwa na mzungu mwupe then wa njano albino hyu ndo anaupungufu mkubwa wa hiz melanin ambazo huwa zipo kwenye layer ya juu ya ngoz
 
Back
Top Bottom