Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Yes dark skin favors sunny latitudes while pale skin suits polar latitudes,mkuu unapokaa sehem kama ulaya mwanga ni hafifu so ngozi ina adopt mazingira ya kule wakat Africa au south America dark skin ina faa kutokana na jua kali na pia usalama wa mwili
Kwanini wazungu wakija Afrika wakioana wenyewe kwa wenyewe wanazaa mzungu badala ya kuzaa mweusi.

The same na Waafrika wakienda Ulaya au Uhindini wakioana wenyewe kwa wenyewe wanazaa mweusi na sio mzungu
 
Very mediocre reasoning.You couldn't be worse than a STD VII pupil.Always remember that not everything you have been taught in school is correct.I would say 85% of it is indocrination if not all of it.Wake up man!
To be more accurate it is a matter of survival of the skin tones and mutations. In the european areas there isnt as much sun and there is a different climate. Those that migrated from africa and those would have survived would have had to prefer lighter pigmentation and would have bread with the lighter pigmented people causing the who demographic to change.

Wapo zeruzeru weupe wanatisha kweli
9fbd8f5bce28fee558e00e77953680ff.jpg
ac448035b4ace0f097a876363967ea0a.jpg
maji ya Ray Kigosi sio ya kuyajaribu
 
Hakuna kilichokosewa hakuna kilichopungua ni style tu ya uumbaji, kumbuka kuna watu wa njano pia...uumbaji una variety nyingi sana kutegemeana na hali ya hewa ya mahali husika, kila kitu kiko kwenye mahesabu yaliyokusudiwa na kutosheleza.

Kumbuka hii si kwa binadamu bali hata wanyama na vitu vingine vyote kama chakula nyumba nguo nk nk
Sasa uumbaji kivipi? Si nasikia waliumbwa watu wawili tu hapo mwanzo ambao ni Adam na Eva sasa hizi rangi zilikujaje???
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] nimeuliza tu ili nijue maana sielewiii
Waliumbwa wawili lakini leo duniani tuko karibia kabisa bilioni 7, ukipata chanzo cha hili ongezeko kutoka wawili mpaka bilioni saba utakuwa umepata na jibu hilo pia
 
MIE NAJUA HAKUNA MTU MWEUSI AU MWEUPE. NYEUPE NAJUA IKO KAMA KARATASI. KAMA KUNA MTU ANA RANGI YA KARATASI NIAMBIWE. LAKINI HATA KAMA ANGEKUWEPO BADO NI UUMBAJI WA MUNGU NOTHING MORE THAN THAT.
 
Hakuna kilichokosewa hakuna kilichopungua ni style tu ya uumbaji, kumbuka kuna watu wa njano pia...uumbaji una variety nyingi sana kutegemeana na hali ya hewa ya mahali husika, kila kitu kiko kwenye mahesabu yaliyokusudiwa na kutosheleza.

Kumbuka hii si kwa binadamu bali hata wanyama na vitu vingine vyote kama chakula nyumba nguo nk nk

Mzungu ndiyo amekwambia kwamba kuna watu wa njano na wewe kwa ujinga wako unakubali!
 
Waliumbwa wawili lakini leo duniani tuko karibia kabisa bilioni 7, ukipata chanzo cha hili ongezeko kutoka waliwi mpaka bilioni saba utakuwa umepata na jibu hilo pia
Hapo bado hujajibu swali, mbona ukoo wetu pia walianza wawili lakini mpaka leo bado sijaona wakizaliwa ndugu wazungu, wachina au wahindi bila kuchanganya damu??
Acha utani mshana hebu nijibu basiii[emoji134]
 
Jimena unataka kufananisha kikombe na pipa? Kwanza leo ni siku ya kuchill sitaki kabisa kuumiza kichwa...Leo ngoja niipe nafsi ile kitu napenda....tuonane jumataatuuuuuuu
 
Kuna wazungu husema wanapenda rangi nyeusi, je ni kweli wameshindwa kutengeneza mkorogo wakawa weusi na wao au tayari wametengeneza ila hawajaanza kutumia au tayari kuna waliowahi kutumia.
????
Karne hii,na umasikini huu bado tuna muda na akili za kufikiria haya ??? Then tunalalamika kwa nn hatuendelei ??
 
Back
Top Bottom