Darwinism,he he heee.....unasemaje kuhusu uwepo wa sokwe?Mbona bado wapo?Sokwe wameanza lini kukoma kufanya evolution na kuwa binadamu?au evolution ndio imekoma kwa sokwe?
All in all,ukubali ukatae,unatakiwa kujua kwamba tumedanganywa katika nyanja nyingi sana za elimu.Wanaotawala dunia hii wana kusudi kubwa sana la kutudanganya katika nyanja hizo,fahamu kwamba kile tunachofundishwa sisi katika nyanja fulani fulani ni tofauti kabisa na kile wanachowafundisha watoto wao au watu wao muhimu,sina maana ya 2+2=4,la hasha,ni zaidi ya hapo.
Mfano;Najua kwamba wewe unajua kwamba Marekani wamefika kwenye mwezi,lakini mtoto wa Obama au Bush anajua kwamba marekani hawajawahi kufika mwezini,na huo ndio ukweli.
Pia najua kwamba unajua kwamba bangi ni haramu,lakini nakupa 'home work' utafute sehemu yoyote ile ambayo inakataza matumizi ya bangi,iwe sheria ama kitabu chochote cha dini,ukipata lete hicho kifungu cha maandishi kinachosema kwamba bangi haramu.Hapa ndipo utajua kwamba hakuna kiumbe mnafiki kama mwanadamu,eti hata taasisi za dini zinasema kwamba mungu ameharamisha bangi wakati hakuna mahali popote pale kwenye vitabu vyao ambapo panathibitisha hilo.
Kuna mambo mengi sana tumedanganywa likiwemo na hili la race,watu ni wavivu tu wa kusoma vyanzo mbalimbali,wanang'ang'ania kukariri mambo yaleyale hata kama hayana mantiki/sense.
Soma origin of race,soma kitabu cha enoch(hapa usichanganye na biblia,ninamaanisha kitabu cha enoch),fuatilia historia na rikodi zinazoendana na piramidi kama vile za Misri,Sudani nk,baada ya hapo utaunganisha wewe mwenyewe ili upate jibu sahihi lenye uhakika kabisa.