ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
OK ndg, 10th Thousands years ni sawa na (10000 miaka)
Kwahiyo nchi kama #Libya Argeria Tunisia nk. Zilizo na miaka 2016 sasa baada ya kufikisha 10000+ Wananchi wake watakuwa Kama Wajaruo ..(weusi)
Ziko AFRICA
Mkuu zingatia maelezo ya kisayansi zaidi libya,tunisia Algeria,morocco zipo kaskazini beyond the tropic of cancer as u move north ward ur skin will be more ligther ndio mana wahispania sio weupe kama wa Norway,libya ipo karibu na ulaya kuliko equatorial au tropical Africa mkuu umenisoma bila shaka