Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za Asubuhi Wadau....?
Ukiwa umebarikiwa kuiona siku Hii salama na umejiandaa na kupambana na umasikini kwa leo, Fanya yote hayo ila usisahau kunifafanulia "Kwanini Kuwe na Mtu MWEUSI na Mtu MWEUPE....
Na Kama Mtu mweusi anaweza kuwa Mweupe Je' Mtu mweupe hawezi kuwa Mweusi...!?
NINI KIMEKOSEWA AU NINI KIMEPUNGUA KWA RANGI HIZI 2...!?
Asante Ndg.Kwa uelewa wangu, mtu kua mweupo au mweusi inatokana na kemikal/pigment iitwayo MELANIN inayopatikana katika ngozi ya juu ya mwanadam/dermis. hii kemikal/pigment ikimwagwa kwa wingi kwenye ngozi yako ndio weusi unaongezeka na ikimwagwa kwa uchache ndio weupe unatokea, na isipokuwepo kabisa ndio mtu anakua ALBINO, kumwagika/kusambazwa kwa kemikali hii hutegemea mambo mbalimbali ikiwemo kiwango cha jua mtu kinapomchoma, watu wa tropical wengi ni weusi kwa sababu melanini hutolewa kwa wingi katika ngozi zao wakati wale wa ulaya ni weupe kwa sababu jua ni dogo na melanin hutolewa kwa uchache katika ngozi zao.
lakini sababu nyingine ni ya kibaiologia, yaan kama ulizaliwa ukiwa na wazazi weupe, hata utolewaji wa melanin utafuatana na kizazi chako hata ukae ulaya milele bado kemikali hii itatolewa kulingana na ukoo wako. pia kama katiak ukoo wenu/generation kuliwahi kua na albinism traits, waweza kuzaa mtu asiye na melanin.
asanteni
You are what you eat
Yes dark skin favors sunny latitudes while pale skin suits polar latitudes,mkuu unapokaa sehem kama ulaya mwanga ni hafifu so ngozi ina adopt mazingira ya kule wakat Africa au south America dark skin ina faa kutokana na jua kali na pia usalama wa mwili
Darwinism,he he heee.....unasemaje kuhusu uwepo wa sokwe?Mbona bado wapo?Sokwe wameanza lini kukoma kufanya evolution na kuwa binadamu?au evolution ndio imekoma kwa sokwe?
All in all,ukubali ukatae,unatakiwa kujua kwamba tumedanganywa katika nyanja nyingi sana za elimu.Wanaotawala dunia hii wana kusudi kubwa sana la kutudanganya katika nyanja hizo,fahamu kwamba kile tunachofundishwa sisi katika nyanja fulani fulani ni tofauti kabisa na kile wanachowafundisha watoto wao au watu wao muhimu,sina maana ya 2+2=4,la hasha,ni zaidi ya hapo.
Mfano;Najua kwamba wewe unajua kwamba Marekani wamefika kwenye mwezi,lakini mtoto wa Obama au Bush anajua kwamba marekani hawajawahi kufika mwezini,na huo ndio ukweli.
Pia najua kwamba unajua kwamba bangi ni haramu,lakini nakupa 'home work' utafute sehemu yoyote ile ambayo inakataza matumizi ya bangi,iwe sheria ama kitabu chochote cha dini,ukipata lete hicho kifungu cha maandishi kinachosema kwamba bangi haramu.Hapa ndipo utajua kwamba hakuna kiumbe mnafiki kama mwanadamu,eti hata taasisi za dini zinasema kwamba mungu ameharamisha bangi wakati hakuna mahali popote pale kwenye vitabu vyao ambapo panathibitisha hilo.
Kuna mambo mengi sana tumedanganywa likiwemo na hili la race,watu ni wavivu tu wa kusoma vyanzo mbalimbali,wanang'ang'ania kukariri mambo yaleyale hata kama hayana mantiki/sense.
Soma origin of race,soma kitabu cha enoch(hapa usichanganye na biblia,ninamaanisha kitabu cha enoch),fuatilia historia na rikodi zinazoendana na piramidi kama vile za Misri,Sudani nk,baada ya hapo utaunganisha wewe mwenyewe ili upate jibu sahihi lenye uhakika kabisa.
Hapana mkuu,mtu mweupe hawezi kua mweusi hata kidogo sababu weupe wote unaowaona wamepungukiwa na melanin pigment(kama albinos) inayofanya weusi kuwa weusi.mweusi akiwA mweupe ujue kaondoa melanin kwa mkorogo.Yote yanawezekana ila ni kwa vile tu weupe ndio unapendwa sana hivyo hakuna anayejihangaisha kutengeneza mkorogo wa kuwa mweusi
Habari za Asubuhi Wadau....?
Ukiwa umebarikiwa kuiona siku Hii salama na umejiandaa na kupambana na umasikini kwa leo, Fanya yote hayo ila usisahau kunifafanulia "Kwanini Kuwe na Mtu MWEUSI na Mtu MWEUPE....
Na Kama Mtu mweusi anaweza kuwa Mweupe Je' Mtu mweupe hawezi kuwa Mweusi...!?
NINI KIMEKOSEWA AU NINI KIMEPUNGUA KWA RANGI HIZI 2...!?
Mkuu hao wahindi wamekaa miaka mia3 haifiki evolution is a slow process you can't notice in your lifetime it could take 10thousands years wakabadilika wakawa weusi
mmhm si dhani kama kuna watu weupe, binafsi bado sijakutana nao ila wapo watu ambao ni (pale) au pink hao wapo wengi na asili yao ni bara la ulaya.Habari za Asubuhi Wadau....?
Ukiwa umebarikiwa kuiona siku Hii salama na umejiandaa na kupambana na umasikini kwa leo, Fanya yote hayo ila usisahau kunifafanulia "Kwanini Kuwe na Mtu MWEUSI na Mtu MWEUPE....
Na Kama Mtu mweusi anaweza kuwa Mweupe Je' Mtu mweupe hawezi kuwa Mweusi...!?
NINI KIMEKOSEWA AU NINI KIMEPUNGUA KWA RANGI HIZI 2...!?
mkuu hao wahindi huko India wapo weusi na weupe mazingira yanahusikaje hapaMkuu hao wahindi wamekaa miaka mia3 haifiki evolution is a slow process you can't notice in your lifetime it could take 10thousands years wakabadilika wakawa weusi
Soma Mwanzo 25:24-34 then Mwanzo27:1-40. Hapo ndiyo penye asili ya mweupe na mweusi na ndiyo chanzo cha mweupe kumchukia mweusi hadi ishu aya utumwa na kuibiana rasilimali ipo hapo. Ila ni wachache sana wanalijua hili!Ngoja nami niwasubiri wataalamu maana huyu Vera Sidika ananichanganya sana.
Maana kawa mzungu pure....au kuna surgery ya kubadili rangi ya ngozi?
Zile ni rangi za rainbow. Actually tunayemuita mtu mweusi ni rangi ya zambarau,kama ambavyo sometimes umewaona watu wa West Africa ni weusi halafu wanakuwa kama vile zambarau. It is a long story. Actually it is a short story.In a far distant universe hawa purple people walileta space ship huku for exploration. Ndipo wakaiona Solar System ilivyoanza. Wakasubiri tu ipoe,halafu wakaweka watu. Watu waliowekwa hapa wametoka wapi? Wametoka kwenye maabara zao,wametengeza watu,wamewaleta hapa. Sisi labda siku moja proficiency yetu itaongezeka tutamtengeneza mtu na kumpeleka kwenye sayari mpya.
Mkuu wahindi weupe wannnakaa upande wa kaskaxini mwa india na Pakistan na wale weusi wanakaa.upande wakusini na Sri Lanka sasa kusini kuna joto na kaskazini baridimkuu hao wahindi huko India wapo weusi na weupe mazingira yanahusikaje hapa
mmhm si dhani kama kuna watu weupe, binafsi bado sijakutana nao ila wapo watu ambao ni (pale) au pink hao wapo wengi na asili yao ni bara la ulaya.
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
Ndg, Nakushukuru sana kuwa ufafanuzi ulipo rejea sehemu zote 2 muhimu.Elimu ya Ki-dunia na Ya-Kimungu.Watu wangu nimejaribu kufwatilia kwa ukaribu sana jamvi letu. kabla sijaanza kuwaelewesha napenda kuwahimiza kwamba tusiwe wavivu tufanye utafiji juu yetu sisi watu weusi. tuna umuhimu mkubwa sana hapa duniani kuliko kiumbe chochote.
naungana na wale ambao waliosema tumedanganywa sana. karibu kila kitu tunachodhania tunakifahamu sivyo kilivyo.
kwanza hili swali lina majibu ya aina tatu.
kwanza tunasoma kuwa giza lilikuwapo kabla ya mwanga. na MUNGU hakuumba Giza bali kaumba Mwanga Maana Giza lilikuwa na Mungu rejea maandiko. kwahio chanzo cha uhai ni giza. Mfano. mtu anakaa kwenye tumbo la mama kuliko giza kabla ya kuzaliwa. kifaranga cha kuku kinakaa kwenye giza ndani ya gamba la yai kabla kutotolewa. Mbegu yeyote ili iote lazima izikwe kwenye udongo kwanza kunako giza ndipo iote. hivyo giza ndio mwanzo na chanzo cha uhai wowote. hivyo baasi. mtu mweusi alikuwapo kwanza kabla ya hawa wanaoitwa weupe.
Pia tufahamu kuwa Mungu alipoumba Mifumo yote ya uhai katika anga yetu alikuwa anaelewa kuwa Jua ndio nyota ambayo italeta miale ambayo itatoa nguvu (Energy). ili viumbe vipate Vitamin D unahitaji chemikali yenye kusharabu hii nguvu bila kupotea ndipo akaumba binaadamu mwenye Melanin ktk ngozi yake ili aweze kudumu kuwepo bila kupata athari yeyote.
Hii ikapelekea vitu vingi kama vyakula kuwa na carbon ambayo ni nyeusi. ndio maana protein, fat, starch na carbonhydrate, chlorophyĺl zote zina carbon ambayo nyeusi. kwahio uweusi ndio mpango mzima na ndio viumbe vyenye urithi halali wa dunia hii ndio maana wanachukiwa kila mahali. Dini zote zilianzishwa na weusi lakini leo ndio wahanga. Wao ndio waanzalishi wa kila kitu lakini wameachwa nyuma. Kwanini yametokea haya.......
Hakuna kitu kinaitwa evolution. maana weusi wapo hapa na hamna mtu yeyote mwenye record ya mwanzo wa uwepo wetu. miaka inayokadiriwa ni makadirio sio ukweli. lakini Hawa weupe wana mwanzo unaojulikana ambao hauzidi miaka 6000 na ni sisi tuliowaumba katika milima ya Caucaus (around Georgia).
Blacks people are diverse people. makabila yote yaliotapaka duniani yametokana na sisi ndio maana weusi tunazaa zeruzeru lakini weupe hawawezi kuzaa weusi kwa sababu kisayansi black is dominant na white is recessive. lumbuka Mendel Law inasema u can get recessive feom dominant but u cant get dominant from recessive.
Rejea sayansi: u can get all colours from black but u cant get black from other colours. we are the builder of any civilization u can imagine.
Ni mda wa kuamka na kujitathimini kuwa ni wapi tulipoteza control ya uhalali wetu wakuwa vinara wakila kitu.......
Sahihi kabisa mkuu, kuongezea hapo wale wanaotumia mkorogo huwa kinachofanyika ni kwamba zile kemikali zilizopo kwenye mkorogo zinazuia utengenezwaji wa melanin hivyo ndo maana wanakuwa weupe. Kuna sehemu za mwili kama magoti, pingili za vidole na miguu, viwiko na ankle maeneo hayo Melanin huwa zinatengenezwa kwa wingi sana ndo maana hata mtu ajichubue na kujikoroga vipi hizo sehemu daima zinabakigi na weusiKwa uelewa wangu, mtu kua mweupo au mweusi inatokana na kemikal/pigment iitwayo MELANIN inayopatikana katika ngozi ya juu ya mwanadam/dermis. hii kemikal/pigment ikimwagwa kwa wingi kwenye ngozi yako ndio weusi unaongezeka na ikimwagwa kwa uchache ndio weupe unatokea, na isipokuwepo kabisa ndio mtu anakua ALBINO, kumwagika/kusambazwa kwa kemikali hii hutegemea mambo mbalimbali ikiwemo kiwango cha jua mtu kinapomchoma, watu wa tropical wengi ni weusi kwa sababu melanini hutolewa kwa wingi katika ngozi zao wakati wale wa ulaya ni weupe kwa sababu jua ni dogo na melanin hutolewa kwa uchache katika ngozi zao.
lakini sababu nyingine ni ya kibaiologia, yaan kama ulizaliwa ukiwa na wazazi weupe, hata utolewaji wa melanin utafuatana na kizazi chako hata ukae ulaya milele bado kemikali hii itatolewa kulingana na ukoo wako. pia kama katiak ukoo wenu/generation kuliwahi kua na albinism traits, waweza kuzaa mtu asiye na melanin.
asanteni