Punnisher
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,169
- 1,376
#kwanza melanin n molecule inayotengenezwa na cell za ngozi zinazoitwa melanocytes
#melanin ndo inayo determine rangi ya ngozi na nywele bila kusahau iris ya jicho
#kwa haraka melenin zipo za aina mbili
#yakwanza na ambayo ipo kwa kiwango kikubwa n Eumelanin
#nyingne n Pheomelanin ambyo ipo kwa kiwango kidogo na inazalishwa na melanocytes za baadhi ya maeneo kwa body yako(lips,vagina,glans penis n.k)sasa hii ndo inafanya hayo maeneo yawe pink au red
#tukirud juu Eumelanin zimegawanyika into black and brown eumelanin.kwa maelezo hayo sasa mtu akiwa na kiwango kikibwa cha black eumelanin anakuwa mweusi na nywele pia na vile vile mtu akiwa na brown eumelanin bila black eumelanin anakuwa white(brownish)
SASA NN KINATUFANYA TUWE NA VIWANGO TOFAUTI VYA HIZI AINA ZA MELANIN
¥hii inatokana na information iliyopo kwenye DNA(vina saba)
ILA KWA NN DNA ZETU ZINA CODE TUWE WEUSI WENGINE WEUPE NDO CHA KUJADILI SASA.
. naruhusu kukosolewa