Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Attachments

  • IMG-20160403-WA0019.jpg
    IMG-20160403-WA0019.jpg
    18.5 KB · Views: 72
Karne hii,na umasikini huu bado tuna muda na akili za kufikiria haya ??? Then tunalalamika kwa nn hatuendelei ??

Kuzaliwa maskini si kosa lako, ila kuendelea kua maskini ni ujinga wako,

#Dont Quote Me.
 
Do you know that the word NOTHING is practically not valid?You should know that evolution is just a theory and not principle.By the way,do you know the difference between theory and principle?
I suggest YOU be the one to educate yourself on the scientific uses of the word theory.

"evolution is just a theory" is a silly argument by people who know NOTHING about evolution.

I do not intend to debate about this topic.

just stop pretending you know much about things you've never read a line about.
 
Jimena unataka kufananisha kikombe na pipa? Kwanza leo ni siku ya kuchill sitaki kabisa kuumiza kichwa...Leo ngoja niipe nafsi ile kitu napenda....tuonane jumataatuuuuuuu

Kaka naona elimu ya kiuzushi ndio maana unakwama.
siku hizi watu wako conscious sana na mambo yanayowahusu na ktk ukweli tuu watakuelewa Ukianza majibu ya vichochoro utaishia kumpiga mwanao akakushangaa pia kwa nin unempiga.

Nakualita katika kikundi cha Utafiti wakujitegemea wa kuutafuta ukweli ambao umevirigwa kwa malengo maalumu.

Ni mda wa kuandika stories zetu na kuziacha tulizoandikiwa na watu waliokuja jana tu hapa duniani.
 
Kaka naona elimu ya kiuzushi ndio maana unakwama.
siku hizi watu wako conscious sana na mambo yanayowahusu na ktk ukweli tuu watakuelewa Ukianza majibu ya vichochoro utaishia kumpiga mwanao akakushangaa pia kwa nin unempiga.

Nakualita katika kikundi cha Utafiti wakujitegemea wa kuutafuta ukweli ambao umevirigwa kwa malengo maalumu.

Ni mda wa kuandika stories zetu na kuziacha tulizoandikiwa na watu waliokuja jana tu hapa duniani.
mnepha wewe ni mgeni kwenye haya mambo na una mzuka ndio maana unasema hivi, mimi kwenye hicho kikundi chenu naweza kuwa prof kwakuwa niko kwenye fani for more than 20 years
 
Hahahahahaha basi sawaaaa..... Enjoy your weekend

Naona mjadala umekwama. Hakika kazi ipo.
Lakini kwa sababu ndio kazi iliotuleta hapa duniani acha tueleweshane.

Kwanza napenda kueleza kuwa hatukuzaliwa na kitabu chochote. tulizaliwa tukiwa safi na huru. ni viumbe wa roho sio wa dini.

Kwa maana hio ulipokuwa wazazi ukawakuta na ustaarabu, mila, desturi na utamaduni wao.

Dini ni kipengele kimojawapo cha utamaduni. hivyo hapa ndipo masimulizi ya kuchanganya akili za watu ndipo zikaanza.

Ni kitabu gani kinasema waliumbwa wawili?
naomba jibu.......
 
Kwanini wazungu wakija Afrika wakioana wenyewe kwa wenyewe wanazaa mzungu badala ya kuzaa mweusi.

The same na Waafrika wakienda Ulaya au Uhindini wakioana wenyewe kwa wenyewe wanazaa mweusi na sio mzungu
ingia Google mkuu evolution is a slow change from primitive to more advanced stage,it takea milions of years hao wazungu Africa wana moaka 500 au 400 bado sana mutation kutokea
 
mnepha wewe ni mgeni kwenye haya mambo na una mzuka ndio maana unasema hivi, mimi kwenye hicho kikundi chenu naweza kuwa prof kwakuwa niko kwenye fani for more than 20 years

Ndg tunakualika karb sana.... kwakuwa maprofessor wetu tunawajua ni wale ambao hawajawaifanya tafiti hata kuandika article moja.

Tutakuhitaji sana porojo hatutaki. its a serious time kwa mwamsho wa mtu mweusi........
 
evolution is a slow change from primitive to more advanced stage,
no. evolution is not a progress to perfection.

evolution through natural selection just allows the survival of organisms with characteristics that favour their survival.

circumstances might cause the same characteristics that enabled their survival to actually make them unfit for survival.

and some things are objective. a bird developed wings. a spider developed poison. which is "better" than the other!
 
Evolution is not only very bad science but not science at all.It is an extreme form of indocrination and deception by the Illuminati meant to lure away humanity from the true God who is the true creator of humanity.Remember that the Illuminati do not want you to worship the true God,they want you to worship their god who is Lucifer.
ingia Google mkuu evolution is a slow change from primitive to more advanced stage,it takea milions of years hao wazungu Africa wana moaka 500 au 400 bado sana mutation kutokea
 
I suggest YOU be the one to educate yourself on the scientific uses of the word theory.

"evolution is just a theory" is a silly argument by people who know NOTHING about evolution.

I do not intend to debate about this topic.

just stop pretending you know much about things you've never read a line about.

Wewe inawezekana ni mmoja wa wale wanaoamini kwamba;
-Marekani waliwahi kufika mwezini,
-HIV/AIDS is real na hauna dawa,
-Cancer haina dawa,
-Kisukari hakina dawa,
-Ebola is real,
-ZIKA is real,
-Bangi ni haram,

na uongo mwingine mwingi kama huo hapo juu.Nakushauri ubadilike na ujifunze ku 'UNLEARN',hii itakusaidia katika mambo mengi sana,utaweza kujitambua wewe ni nani,utaweza kuishi bila woga na kuondokana na utumwa wa muda mrefu katika mambo mengi sana ambayo sasa unayaona ni hatari kwako,utaweza kujua kwanini unaishi.

Najua una hasira na mimi,lakini itakuwa vyema sana ukifuata ushauri huu,mimi sitajali hasira zako kwangu kwakua najua binadamu ndivyo tulivyo.

Fanya hivyo nilivyokushauri ili urudishe haki yako iliyopotea kwa kunyang'anywa na wale tunaowasujudia leo hii tukiwaona wao ndio wa maana sana.Pigania haki yako ili ujitambue sasa.
 
Kutumia neno black au white kwa binadamu ni mojawapo ya dhana za kigabuzi
tulizopandikizwa hapo zamani.
Kiuhalisia hakuna binadamu black au white,biandamu wote asili yao ni udongo na
hali ya hewa ya mazingira wanayoishi.
Kulingana na ushaidi wa kimazingira na historia ya kweli ya binadamu chimbuko halisi la
binadamu ni kusini mwa jangwa la sahara palipo na:-
1.Jua kali sana la utosi
2.Bustani ya viumbe vya kale vinavyoishi pamoja.
3.Binadamu wa kale zaidi ambao wengi wao ni pure tangu kuumbwa ulimwengu.
4.Binadamu wanaoamini katika ukale na kuhisi/kudhani kuwa weupe ni ushetani
na weusi ni ukaribu wa kuwa na Muumbaji wa ulimwengu.
5.Point Nr.4 hapo juu ni kwa kutumia mantiki ya kuwa chochote kizuri cha kistaarabu na
ustawi kilikwisha badilishwa kinyume/upside down theory/inverted pyramid theory.
6.Kuna wanaoamini ya kuwa hata dini ni part of illuminant theory of reverse races
to acquire power and wealth of the blessed brown peoples.(kwa kufanya michoro ya shetani
kwa kutumia rangi nyeusi na michoro ya malaika kwa michoro myeupe/colored)
7.Binadamu wanaoamini ya kuwa weusi ndio moto/fire wa kuwanguza chochote artificial kwani hakuna
carbon materials yeyote iliyo white inayoweza kuunguza kitu zaidi ya mkaa ambao inayotokana
na living organisms/ancestors,hapa walibadilisha kwa kutumia karatasi/elimu-rastaman theory.
8.Binadamu wanaoamini ya kuwa Mwenyezi Mungu ndiye anawasaidia kuishi na wana uwezo wa
kulala popote pale pasi na shaka yeyote ya udhalimu kwani ni nini hasa kitakachowaangamiza mbele
ya macho ya Muumba wao pasipo kuwasaidia.
9.Binadamu wanaoamini ya kuwa weupe ni uoga ndio maana wakapewa maarifa mengi ili waweze
kukabiliana na mazingira yao na kunyimwa utukufu wa kuishi na wanyama pori na kuwa mbali katika
kuuzoea moto wa milele.Hata pale wapojaribu kuukaribia ni lazima wawe karibu na maji au baridi kali.

Kwa ufupi ni kuwa binadamu wote ni sawa kinachoonekana ni kuwa
1.weusi wamepewa utukufu wa kuishi milele/spiritually kizazi kwa kizazi hata kama wakifa.(ndio maana maisha
yao ni ya mateso na huzuni kubwa.
2.Weupe wamepewa utukufu wa kukamata vitu vilivyomo ndani ya sayari/materials na kumiliki mamlaka chini ya jua.
Kwa kumalizia ni kuwa binadamu mweusi/brown ana uwezo wa kujibadisha na kuishi kama binadamu mweupe popote pale kuliko binadamu mweupe.Ushaidi huu unatoa picha ya kuwa chimbuko la binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa
anafanana na udongo/brown/ au black kama wengine wanavyoita ambavyo ni lugha ya kibaguzi.
 
Wewe inawezekana ni mmoja wa wale wanaoamini kwamba;

-Marekani waliwahi kufika mwezini,

Najua una hasira na mimi,lakini itakuwa vyema sana ukifuata ushauri huu,mimi sitajali hasira zako kwangu kwakua najua binadamu ndivyo tulivyo.
.
LOL you're a mental case.
bye
 
Evolution iko very slow Asee ikiwa human being hafikishi ata karne kwa sasa ni ngumu kunotice changes ambazo hutokea baada ata ya millennium yani 1000Yrs ahead cheki zamani watu walivyokuwa na nywele nyingi sambamba na kuwa giant miili mikubwa but now je? inshu ya color ni evolution tu ndo inatake place

Ikiwa wewe mwenyewe umesema kuwa binadamu mwenyewe hafikishi hata karne [jambo ambalo si kweli], hizo changes unazozizungumzia zitakuwa observed [kwa usahihi] na nani sasa baada ya hiyo miaka 1,000?
 
Kuna mijitu ambao ni watu (waafrica) na binadamu (ngozi nyeupe
 
ukweli utabaki kuwa watu weupe ndo wanapendwa sana! Ndio maana wanawake wazuri ambao wanakimbiza kitaa kizima weupe 2 ndo unao wabeba!
 
Back
Top Bottom