Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Hivi siyo kwamba mtu mweupe akitoka sehemu ya joto akahamia sehemu ya baridi rangi yake ubadilika na kuwa mweusi?
kwani wewe hujiulizi kwanini sie weusi hatujianiki juani kama wazungu beach.
 
Exactly mkuu.... nafikir walimu hawakutoa darasa vizuri, somo la historia limewaharibu vijana, ila kwenye biology ndio unaipata vizuri hii mada.



History iligusia juu juu issue ya evolution kabisa mkuu biology inamaliza kila kitu pia kama mtu mdadisi angesoma Darwin's theory(origin)of species
Hata binadamu tulikuwa na aina zaidi ya 5 wa mwisho katoweka ni Neanderthals miaka20000iliopita baada ya kushindwa na homo sapiens kutahimili mabadiliko ya mazingira
 



Asante mkubwa
 
Hakuna kilichokosewa wala kilichopungua au kuzidi.Mola aliyeumba kila kitu amekiumba kwa makusudio yake.Na Mola haulizwi kwa yale afanyayo.
 
Mola wetu aliyetukuka,ametuumba mataifa mbali mbali na makabila mbali mbali lengo na shabaha ni kuweza kufahamiana wala si mmoja kujiona bora zaidi ya mwenzake.Mwanadamu ameumbwa katika umbile lililo kamili,awe mweupe au mweusi na mfano wake.

Wanao diriki kubadilisha maumbile kwa namna yoyote ile,wanatia dosari katika uumbaji wa Mola mlezi na ni makosa sana.Kwani aliyekuumba ameepukana na makosa.
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
Duuh ! Hizi elimu nyingine mtihani sana.
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
Watu kama nyie ndio mtakao kuja kuulizwa kwanini mlipewa akili na hamkuzitumia vizuri ? Sijui mtajibuje hili swali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…