Why can't guys be like this when they sleep together in one bed?

Etii wanashindwa nini kulala hivyo kama siyo akili zao tu ndio mbovu, umenikumbusha shule niliyosoma mimi boarding wanaume ilikuwa hata kuambiana usiku mwema baada ya prep ni mtihani, mwanaume akiinama utaona mwenzie akitaka kupita nyuma yake anamuambia ainuke kwanza ndio apite basi utasikia "oyaa pozi gani hilo mwanangu"
 
tunaoneshana upendo, ila kiroho ngumu(tough love)

sio kwamba tunaishi kiadui, hapana.
 
serious kabisa unauliza hili ukilenga nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…