Why can't guys be like this when they sleep together in one bed?

Why can't guys be like this when they sleep together in one bed?

Ungetumia picha yako umelala na jitu hivyo ndio ungeutumia kuuliza swali
 
Yeah naelewa hilo na ndio maana utegemezi wenu wa kihisia kwa wanawake hauwezi kuisha, unajua sisi wanawake ni kawaida kabisa kukumbatiana na kubusiana mashavuni na kuitana majina kama mpenzi sijui nini na kusiwe na shida yoyote kitu ambacho ninyi wanaume hamuwezi, ndio maana mkizinguliwa tu na wapenzi wenu huwa mnapata stress maana hamna mbadala ila sisi wanawake tuna njia nyingi za kupata hiyo faraja nje ya mwanaume
Ndo maana there are more queer women than men.

It makes sense.
 
Yeah naelewa hilo mkuu nilikuwa nazingua tu, binafsi mwenyewe naamini kuna vitu mwanaume hatakiwi hata kuvifikiria achilia mbali kuvifanya ikiwemo na hilo la mtoa mada, mimi hata mwanaume kusuka au kuvaa hereni bado inanipa ukakasi japo naona kwenye jamii yetu ishaanza kuchukuliwa kawaida tu
Au mwanaume kusafishwa kucha za miguu na mwanaume mwenzako haijakaa poa, naona dar na miji mingine tabia hii imeenea sana, wanaume sijui tunaelekea wapi!!
 
Yeah naelewa hilo mkuu nilikuwa nazingua tu, binafsi mwenyewe naamini kuna vitu mwanaume hatakiwi hata kuvifikiria achilia mbali kuvifanya ikiwemo na hilo la mtoa mada, mimi hata mwanaume kusuka au kuvaa hereni bado inanipa ukakasi japo naona kwenye jamii yetu ishaanza kuchukuliwa kawaida tu
Mimi sioni mbaya, unajua kuna elements za feminine kwenye masculine na vise versa? Ingawa personally siwezi kifanya hivyo. It's not about kuwa bold sana na kuzipinga elements za kunurture ambazo zipo kiasi, na pia sio kuegemea elements za kike mpk mtu anakua lgbtq, ni ile balance. Sema swala la sexuality liko fluid sana kutokana na utandawazi na malezi mabaya.
 
Mtoa mada lazima atakuwa anasuguliwa shimo la choo
 
Kama kwako mapenzi ni ngono tu basi sidhani kama unaweza kunielewa kuna wakati mtu anaweza kuwa anapitia hali ngumu na anahitaji faraja ambayo si lazima ihusishe romantic gestures, wanaume faraja ya namna hiyo huwa wanataka waipate kutoka kwa wanawake tu ila wanawake wana njia nyingi, ujue kuna wakati mwanamke anaweza akafarijika kwa kuwaona tu watoto wake na kuwa karibu nao ila mwanaume hata kama ana watoto mke wake akimzingua tu kidogo lazima atafute mchepuko
Gatyuuu
 
Etii wanashindwa nini kulala hivyo kama siyo akili zao tu ndio mbovu, umenikumbusha shule niliyosoma mimi boarding wanaume ilikuwa hata kuambiana usiku mwema baada ya prep ni mtihani, mwanaume akiinama utaona mwenzie akitaka kupita nyuma yake anamuambia ainuke kwanza ndio apite basi utasikia "oyaa pozi gani hilo mwanangu"
Jada una akili mbovu sana kweli kabisa unaona sawa wanaume kulala ivyo
 
Kama kwako mapenzi ni ngono tu basi sidhani kama unaweza kunielewa kuna wakati mtu anaweza kuwa anapitia hali ngumu na anahitaji faraja ambayo si lazima ihusishe romantic gestures, wanaume faraja ya namna hiyo huwa wanataka waipate kutoka kwa wanawake tu ila wanawake wana njia nyingi, ujue kuna wakati mwanamke anaweza akafarijika kwa kuwaona tu watoto wake na kuwa karibu nao ila mwanaume hata kama ana watoto mke wake akimzingua tu kidogo lazima atafute mchepuko
Kama ni rating uko 8/10 Jadda, stay blessed madam .
 
Back
Top Bottom