Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Yeah naelewa hilo na ndio maana utegemezi wenu wa kihisia kwa wanawake hauwezi kuisha, unajua sisi wanawake ni kawaida kabisa kukumbatiana na kubusiana mashavuni na kuitana majina kama mpenzi sijui nini na kusiwe na shida yoyote kitu ambacho ninyi wanaume hamuwezi, ndio maana mkizinguliwa tu na wapenzi wenu huwa mnapata stress maana hamna mbadala ila sisi wanawake tuna njia nyingi za kupata hiyo faraja nje ya mwanaumetunaoneshana upendo, ila kiroho ngumu(tough love)
sio kwamba tunaishi kiadui, hapana.