Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mwenzie agry katubu bado yeyeMwachiluwi unasalimiwa na BICHWA KOMWE -
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzie agry katubu bado yeyeMwachiluwi unasalimiwa na BICHWA KOMWE -
Mbowe amekuwa kama mfalme pale Chadema. Kwa sasa chadema si ya kuiamini tena, niliwapenda sana ila uchu wa madaraka aliouonyesha bwana Mboye ni wakutisha, mfano chama chake kikikamata dola si atang'ang'ania madarakani kama mfalme.Watu wamekatishwa tamaa ukweli umejulikana , Mbowe ni puppet wa CCM , Hivyo changes kupitia Chadema ni uongo
Lini wataanza kazi?Wapinzani wa kweli wako ndani ya CCM.
Kama ni kweli hakuna haja ya kusubiri mpaka ashindwe uchaguzi, je akishindwa kihalali?Itakuwa ni GOOD MOVE
Zitto Siyo LissuHata Zito aliondoka na mawazo hayo hayo
mkuu hoja yako inamantiki sana, nadhan biashara ya kuw mwanasiasa inalipa sana na wot n wazee wa mipigo inaonekana mbowe anawanyima magawio wenzake,, tz hakna upnzan wa kwel na hata ukijalib kuw mpnzan w kwel ccm watakutulza t mfano zito kabwe aliamniw san na wataka mabadiliko lakn akawekwa gamban, hata hao wakiend CHAUMA n tamaa ya kutaka kuitwa mezan na bwna mkubw nao wawe wanapata magawio kwa ukubwa stahiki.Hao ni walewale wote walafi wa madaraka wanatafuta pakuponea
Sure huwezi mlinganisha Mzee Spunda na akina Janja janja Shibuda, Dovutwa , Lipumba na jamii zaoKwa Falsafa za Kiongozi alizonazo Mzee wa Ubwabwa,
Ukweli ni Kwamba,CHAUMA kilikua BUS Moja na Akina CDM, ACT, isipokua ni chama kilichokoswa Vijana wa kuipa Viguvugu.
Mara zote unapomsikiliza MZEE WA UBWABWA, UNAGUNDUA NI MTU WA MFANANO NA AKINA LISSU.
Wasisubirie kuaibishwa ndiyo wakimbie chama. Waondoke hata sasa kwa mwendo ngiri mkia juu.Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche” ameridhia kwa hiyari kabisa ujio wa hawa watu,tena ameomba astaafu chama awaachie LISSU na wenzake ila mwanae wa kiume (Rungwe JR) na baadhi ya viongozi wa juu hicho wawekwe kwenye kamati kuu ya Chama
Hatua hii inafuatia baada ya kuonekana kwa msigano na mvutano mkubwa sana unaoendelea pale CHADEMA,kwani Mbowe anataka aendelee kuongoza Chama yeye na genge lake,huku wanachama wengi wakimtaka Lissu ila inaonekana ni vigumu sana kwa TAL kushinda kulingana na wajumbe wengi kuwa vibaraka wa Mbowe na waliwekwa kimkakati kabisa
Unaambiwa ndani ya huu mpango wapo John Heche,Godbless Lema etc…..kinachosubiriwa ni hiyo siku ya Uchaguzi wa chama chao,endapo akishindwa TAL basi njia itakuwa ni kwenda kuungana na Hashim Rungwe Sipunda
Naiona CHAUMMA ikienda kuwa Chama kikuu cha upinzani ambacho kitakuwa hakina utapeli au hakina mafungamano na dola
VIVA CHAUMMA VIVA✊🏿
Yule mzee basi tu hakuwa serious. Ila hakupenda ujinga ujingaSure huwezi mlinganisha Mzee Spunda na akina Janja janja Shibuda, Dovutwa , Lipumba na jamii zao
Hiki hiki chama ipo siku watanzania watakuja kukielewa tu.🤔🤔
Tofauti na tumbo hakuna maisha .Labda wafia tumbo🤣
Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche” ameridhia kwa hiyari kabisa ujio wa hawa watu,tena ameomba astaafu chama awaachie LISSU na wenzake ila mwanae wa kiume (Rungwe JR) na baadhi ya viongozi wa juu hicho wawekwe kwenye kamati kuu ya Chama
Hatua hii inafuatia baada ya kuonekana kwa msigano na mvutano mkubwa sana unaoendelea pale CHADEMA,kwani Mbowe anataka aendelee kuongoza Chama yeye na genge lake,huku wanachama wengi wakimtaka Lissu ila inaonekana ni vigumu sana kwa TAL kushinda kulingana na wajumbe wengi kuwa vibaraka wa Mbowe na waliwekwa kimkakati kabisa
Unaambiwa ndani ya huu mpango wapo John Heche,Godbless Lema etc…..kinachosubiriwa ni hiyo siku ya Uchaguzi wa chama chao,endapo akishindwa TAL basi njia itakuwa ni kwenda kuungana na Hashim Rungwe Sipunda
Naiona CHAUMMA ikienda kuwa Chama kikuu cha upinzani ambacho kitakuwa hakina utapeli au hakina mafungamano na dola
VIVA CHAUMMA VIVA.
Mkuu CHADEMA haipo tena watu Wana gombania fitoBado tuna safari ndefu sana kupata upinzani halisi maana wengi wanaoingia ulingoni ni kama wanakuwa na ndoto zao ama maslahi yao binafsi na si kutumikia nchi kama inavyotakiwa..
CCM inalijua hili fika na wao kama wenye dola na pesa. Wataendelea kaviua vyama pinzani kwa formular ile ile hadi akili itukae sawa
CHADEMA kumruhusu Lowassa kuwania urais, iliwaondolea credibility ya kupambana dhidi ya ufisadi na rushwa. Kitu ambacho kiliwapa mass support na ajenda thabiti kama Chama. Leo hii chama kimekosa direction zaidi ya kudandia matukio na kufanya activism iliyopoa. CHADEMA ijitafakari sana
Umekula brother???Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche” ameridhia kwa hiyari kabisa ujio wa hawa watu,tena ameomba astaafu chama awaachie LISSU na wenzake ila mwanae wa kiume (Rungwe JR) na baadhi ya viongozi wa juu hicho wawekwe kwenye kamati kuu ya Chama