Why CHAUMMA!? Lissu, Lema, Heche et al kutimkia CHAUMMA

Muda ni mwamuzi , waache waende huko wakajaribu kama huko chauma wameahidiwa vyeo sawa.
 
Watu wamekatishwa tamaa ukweli umejulikana , Mbowe ni puppet wa CCM , Hivyo changes kupitia Chadema ni uongo
Mbowe amekuwa kama mfalme pale Chadema. Kwa sasa chadema si ya kuiamini tena, niliwapenda sana ila uchu wa madaraka aliouonyesha bwana Mboye ni wakutisha, mfano chama chake kikikamata dola si atang'ang'ania madarakani kama mfalme.
 
Itakuwa ni GOOD MOVE
Kama ni kweli hakuna haja ya kusubiri mpaka ashindwe uchaguzi, je akishindwa kihalali?
Yaani ni kwa udi na uvumba lazima awe mwenyekiti? What are his real intentions kama akiwa mwenyekiti?
Hii inaonyesha wote wana 'sababu binafsi' ambazo hata machawa wao hawazifahamu, it's ridiculous mtu umeshalenga sehemu ya kuhamia lakini eti unasubiri kama utashindwa kuwa mwenyekiti ndiyo uame. What if watu wakikuzushia kuwa your Western sponsors ndiyo wanekupa hizo conditions ili waweze kupenyeza agendas zao through you ukiwa mwenyekiti.
So that's how it stands, by hook or by crook he gotta be a chairman. This shit is damned.
 
Hao ni walewale wote walafi wa madaraka wanatafuta pakuponea
mkuu hoja yako inamantiki sana, nadhan biashara ya kuw mwanasiasa inalipa sana na wot n wazee wa mipigo inaonekana mbowe anawanyima magawio wenzake,, tz hakna upnzan wa kwel na hata ukijalib kuw mpnzan w kwel ccm watakutulza t mfano zito kabwe aliamniw san na wataka mabadiliko lakn akawekwa gamban, hata hao wakiend CHAUMA n tamaa ya kutaka kuitwa mezan na bwna mkubw nao wawe wanapata magawio kwa ukubwa stahiki.
 
Kwa Falsafa za Kiongozi alizonazo Mzee wa Ubwabwa,

Ukweli ni Kwamba,CHAUMA kilikua BUS Moja na Akina CDM, ACT, isipokua ni chama kilichokoswa Vijana wa kuipa Viguvugu.


Mara zote unapomsikiliza MZEE WA UBWABWA, UNAGUNDUA NI MTU WA MFANANO NA AKINA LISSU.
 
Sure huwezi mlinganisha Mzee Spunda na akina Janja janja Shibuda, Dovutwa , Lipumba na jamii zao
 
Wasisubirie kuaibishwa ndiyo wakimbie chama. Waondoke hata sasa kwa mwendo ngiri mkia juu.
 
CCM imewin hii ndo inaitwa Divide and Rule
 
Mkuu CHADEMA haipo tena watu Wana gombania fito
 
"Mwanaye wakiume na baadhi ya viongozi wa juu wawe kamati kuu"

Hahahahaha najikuta nacheka tu.

Mimi ni mshabiki sana wa Hashimu Rungwe, ile sera yake ya ubwabwa ilikuwa inawakilisha jambo kubwa sana ambalo ndio Moja ya mzizi wa tatizo la Tanzania na Africa, LISHE.
 
Umekula brother???
 
Nadhani ni move nzuri kwenda CHAUMMA, ni bora Chauma kuliko ACT, kama ni kwenda ACT iwe ndio the last resort kabisa, kwa sababu CUF NA nccr huko hapafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…