Why CHAUMMA!? Lissu, Lema, Heche et al kutimkia CHAUMMA

Kundi linalomdanganya Mbowe kuwa bado anaushawishi katika Chama wamemwingiza cha kike....
Sio kundi bali ni advance aliyokula, kwa hiyo ni mwendo wa kufuata maelekezo mpaka gari liingie mtaroni
 
Chadema ishakuwa na mamluki na wala rushwa hakitaleta mabadiliko yoyote kama CUF ya Lipumba ni vyema Tundu na wenzake kutafuta jukwaa jengine la salama, watanzania wanahitaji upinzani mpya na siasa nyengine mpya
 
Ndio hivyo mkuu watu wanapenda kula na kujilimbikiza mali za uma kila mtu anataka mfuko uw mnene ukipwaya mfuko wanapiga kelele
 
Kundi linalomdanganya Mbowe kuwa bado anaushawishi katika Chama wamemwingiza cha kike....
Wengi ni machawa wake mkuu. wanaojielewa wote wanaona Mbowe muda wake umeisha aachie wengine.
 
Watatimiza ahadi ya kugawa ubwabwa ?
 
Hatuhitaji utitiri wa vyama,tunahitaji katiba mpya tu.
 
Mkuu alikuambia nani mzee wa ubweche sio mtu wa kunako??? 🤣 🤣 🤣 🔊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…