Cristian bella ndo yule kiongozi mpya wa ACT?
Ifike time tusapoti wa kwetu tuachane na hawa wa komgoman wanaotubadilishia mziki wetu wa dansi na kuingiza vionjo vya umagharibi kwe mziki wetu hadi unashindwa kutambulika ni wa nchi gani
Mimi nakumbuka nilimsikia mwaka 2007 kwenye huo wimbo wa yako wapi mapenzi?
Aisee jamaa anajua sana.
Ifike time tusapoti wa kwetu tuachane na hawa wa komgoman wanaotubadilishia mziki wetu wa dansi na kuingiza vionjo vya umagharibi kwe mziki wetu hadi unashindwa kutambulika ni wa nchi gani
Alaf maajabu alitunga na kuimba huo wimbo huku hajui hata kiswahili huyu jamaa anakipaji sana.
Acha kujidanganya mkuu asili ya muziki wa dansi imetokea congo kishansa.