Why Christian Bella? Why? Why?

Why Christian Bella? Why? Why?

Huyu jamaa ana powerful voice King of Best Melodies namkubali sana Bella. Alinifanya nianze kupenda muziki wa Band na sahvi anachanganya kote kote bongo flava dansi anajua sana huyu mtu.
 
Ifike time tusapoti wa kwetu tuachane na hawa wa komgoman wanaotubadilishia mziki wetu wa dansi na kuingiza vionjo vya umagharibi kwe mziki wetu hadi unashindwa kutambulika ni wa nchi gani

Wakwetu wenyewe wanawaiga wacongo sio tu kwenye kuimba hata kuongea kawaida wakihojiwa unaona kabisa wanavyohangaika kuongea lafudhi ya kicongo
 
Huyu jamaa kwa kweli yuko kikazi zaidi, sio wana mziki wetu wengine ni watu wa kujifurahisha na kufanya ubishoo kwenye mziki. Ndio maana hawadumu.
Nani kama mama huwa inawatia wengi majonzi jamani. Jamaa anabonge la kipaji, kama hajapata uraia Wa hapa tzania, nawaomba uhamiaji mpatieni uraia.
 
Ifike time tusapoti wa kwetu tuachane na hawa wa komgoman wanaotubadilishia mziki wetu wa dansi na kuingiza vionjo vya umagharibi kwe mziki wetu hadi unashindwa kutambulika ni wa nchi gani

Acha kujidanganya mkuu asili ya muziki wa dansi imetokea congo kishansa.
 
sasa hupendi au..... au hujui maana ya maana ya ulichoandika??
 
Back
Top Bottom