Why DNA tests are BANNED in Israel?

Why DNA tests are BANNED in Israel?

DNA zinawakataa waistael wa leo ni wazungu watupu. Wanajilinda kwenye kivuli cha kuuficha ukweli.
Yote haya shauri ya kipigo ambacho Israel inachotembeza Gaza ..waislamu dunia nzima wanalia wanasema hawa jamaa kwa jinsi kipigo wanachombeza DNA yao ni lazima itakuwa ya wazungu

Hawana DNA ya kiafrika wala kiarabu. Kwa uwezo wao mkubwa wa kutembeza kipigo

Mtu asiye na DNA ya kizungu hawezi tembeza kipigo cha mbwa koko kama kila wanahisi lazima wana DNA ya kizungu
 
ukweli mchungu ni kwamba, wayahudi asilia hawakuwa blonde, walikuwa na sura kama za watu wa iraq hivi. ila miaka ilivyoenda tangu enzi hizo, walichangamana na mataifa mengine, mfano, walioa waarabu, wakaoa wafilisti, wakaoa waashuru n.k. kwenye biblia unaona kuna mwanajeshi wa israel anaitwa "uria mhiti", hawa alikuwa sio wayahudi ila walijiunga upande wa wayahudi wakawa wanapigana jeshi la wayahudi, mkewe aliitwa bethsheba, ndio mama yake solomon. pia walioa mataifa mengi around that middle east, hivyo sura zao zikawa zimechangamana kidogo.

baada ya kuchukuliwa ukimbizini, huko walikoenda walioa mataifa ya huko, wengi walienda north africa, na hadi leo kuna wayahudi wa asili ya north africa ikiwa na maana wale waliokimbilia na kusettle kule north africa (aljeria, libya, morroco, misri n.k), kuan wayahudi wa ukiriki, italia, malta, cyprus wengi sana, Yemen, iran, iraq n.k. mataifa hayo ya kiarabu kulikuwa na wayahudi malaki na malaki ila uislam ulivyo pamba moto wakawa wanaenda nchi za kikristo. wengi toka mataifa ya kiarabu walikimbia baada ya Israel kutwaa tena ardhi mwaka 1948.

kuna wayahudi walienda kusettle Ulaya yote, kuanzia pale juu karibia na caspian sea, wakazaliana na wazungu, hao ndio ashkenaz jews. walikuwa wengi na walisambaa wakitokea maeneo ya iraq wakapanda uelekeo ule, na kote huko walikuwa wanajenga masinagogi, na wapo wazungu ambao waliconvert kwenye dini ya kiyahudi, hao nao wakajumuishwa humo, hao ndio ashkenaz jews wanaoonekana kama wazungu, hao kina netanyahu. vizazi vyao vimechuja, ukiwapima sasaivi DNA zao utakuta asilimia ndogo sana ya kiyahudi, na hii ndio sababu DNA imepigwa marufuku israel. ila hii haimaanishi kwamba hawakuwa wayahudi kabisa, jua wamekuwepo ukimbizini miaka 400, hapo kuna vizazi kama 4 au 5 wakizaliana na mataifa mengine, hapo tegemea tu kwamba mtoto atatoka wa rangi mbalimbali. ndio maana wale waliokuwa poland, austria, ujerumani na urusi ambako kuna blonde wengi, utakuta kwa mbali wanafanana na wazungu, na ni dhahidi, myahudi akizaa na mwafrica mtoto atatoka na sura ya kiafrika kidogo, akizaa na mzungu mweupe kabisa mtoto anaweza kufanana na either of his parents. na hatuwezi kusema sio wayahudi.

tunawaita wayahudi kwasababu tangu enzi, wamekuwa isolated, wanajitenga sana na kujuana wao kwa wao na ndio maana wana uhakika kwamba wao ni wayahudi. hadi leo kwenye masinagogi yao huwa sio tu wanaabudu ila wanapeana na dili za viashara na maendeleo ndio maana hakuna myahudi masikini.

kwa wasiojua, hadi india kuna wayahudi, ila ukiwaangalia utakuta ni mhindi ambaye ana mchanganyiko wa kihindi na kiyahudi, sio mhindi pure na sio myahudi pure, na tangu karne kuna masinagogi hadi india. na kati ya eneo ambalo wayahudi hawakunyanyaswa ni india. jaribu hata kugoogle tu wayahudi wa india utawaona.

hii inadhihirisha kwamba, kutokana na maeneo walikokuwa wametawanyika, wamekuwa na sura mbalimbali ila asili yao ile ile, na kwasababu wao ni matreleaneal, mtoto anahesabika wa mama, basi mama akizalishwa na mtu wa kabila/taifa lolote mtoto anakuwa myahudi. jumlisha na wayahudi wa ethiopia ambao hadi sasa wamefikia kama 160,000 pale israel, wayahudi weusi.

kipo hadi kizazi cha wayahudi japan, walienda huko kuhemea na wakazaliana huko na wana mchanganyiko wa kijapan na kiyahudi.
 
We jamaa bana,jew ni kiingereza, kiswahili myahudi, Judaism ni kiingereza kiswahili uyahudi(dini)
Hiv unaelewa tulikuwa tunabishania nini mkuu. Jews ni myahud ndio ila Judaism ni dini so dini unweza kuwa hata wewe Judaism ila huwez kuwa myahud. Mbona rahic au umeelewaje. Wapo watu wengi Judaism ila sio jews.
 
Yote haya shauri ya kipigo ambacho Israel inachotembeza Gaza ..waislamu dunia nzima wanalia wanasema hawa jamaa kwa jinsi kipigo wanachombeza DNA yao ni lazima itakuwa ya wazungu

Hawana DNA ya kiafrika wala kiarabu. Kwa uwezo wao mkubwa wa kutembeza kipigo

Mtu asiye na DNA ya kizungu hawezi tembeza kipigo cha mbwa koko kama kila wanahisi lazima wana DNA ya kizungu
Sasa hapo Uislam umeingiaje?
 
I am interested in hearing your thoughts on the matter.

Do you believe there is a reason for the ban on DNA testing in Israel?
DNA testing is not banned in Israel. The Genetic Information Law, passed in 2000 amid privacy concerns, conditions domestic testing on a doctor's prescription or court order, & that testing be done by accredited labs.
 
Hiv unaelewa tulikuwa tunabishania nini mkuu. Jews ni myahud ndio ila Judaism ni dini so dini unweza kuwa hata wewe Judaism ila huwez kuwa myahud. Mbona rahic au umeelewaje. Wapo watu wengi Judaism ila sio jews.
Uyahudi ni dini siyo race/kabila,elewa,unaweza kuwa myahudi,wapo wengi tu Ila huwezi kuwa muisrael
 
In terms of ethical issues, which issues are considered as threat to privacy?

Can you explain to me how does ethical issues can become a reason for DNA restriction?
Umejiunga lini Jf? Hapa siyo Sekondari dogo
 
DNA testing is not banned in Israel. The Genetic Information Law, passed in 2000 amid privacy concerns, conditions domestic testing on a doctor's prescription or court order, & that testing be done by accredited labs.
Well, but I think there is another reasons behind.
 
Kuna tofauti ya uyahudi(dini) na uisrael(race) kitu ambacho wengi mnachanganya,Mimi huku mkuranga naweza amua kuwa myahudi Ila siwezi kuwa muisrael,huwezi badili kabila
Kwanini huwez kuwa muisraeli. Mzee we una tatizo exposure. Narudia tena kuna tofauti ya Jews na Judaism. Mfano kuna Jews wakristo, nk so Jews ni race ambayo huwez kuamua kuwa Jews lakini Judaism ni dini unaweza kuwa. Israel ni nchi ya kiyahud ila ndani yake kuna Jews,Muslim, christians, druze, Samaritan na mabedui.
 
Back
Top Bottom