Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
😀😃😃Sawa tumekubali JF imefungiwa na tunatumia VPN zinazotupeleka nchi za mabeberu yaani ndo utumie mseto wa kizungu na kiswahili jamani nikadhani nipo forums za Kenya.
Anyway topic wataijibu wahusika