Kama vidudu ndio hivi lazma watafute plan B!Ngoja tuwasubiri waje,Labda huwa ni tatizo la muda mfupi akili ikiwarudia wanatafuta mwanaume,
Vipi kuna Bibi vizee kabisa ngozi imeshuka bado vinasagana?
Umenikumbusha kitu🤣😹😹😹 Na wakigusanisha vibeans nasikia balaa..!! Dr. Mariposa
Ni kweli yaani nipo na mtoto mrembo amenisusia na mimi nampa utamu halafu tuimagine mwanaume🙄Lakini lesb hawaimagine mwanaume...trust me bro.
Au sio Dr. Mariposa
😀Huyu ni mwanaume kweli?Kama vidudu ndio hivi lazma watafute plan B!View attachment 3477941
Wrong, mtu akishakua lesbian maana yake ni Ke anayevutiwa na Ke mwenzie, period, lakini pia kuna bisexuals hawa wanavutiwa na both Ke na Me, umemention Stud, Stud ni Masculine woman, muonekano wake wa nje hauhusiani na kila anachojihisi yeye, lakini kuna Trans Man wengi hua mnawaconfuse na Studs, hawa Trans Men wao ndio wanaji identify as Men,Mie naona ukiacha maelezo kuhusu tendo lenyewe, bado naweza kusema kuwa Lesbians wanahitaji uanaume katika hayo hayo mahusiano ya jinsia moja. Nasema hivi sababu mara nyingi katika wale wenza lazima atakwepo mmoja anakuwa kama mwanaume (stud). It means subconsciously wanavutiwa na wanaume ila ndio hivyo wamejikuta kwenye mfumo mwingine. Sijui wajuzi watasemaje
Okay nimekuelewa vizuri. Ni kweli usemavyo. Nitakuwa nawaona hao Trans menWrong, mtu akishakua lesbian maana yake ni Ke anayevutiwa na Ke mwenzie, period, lakini pia kuna bisexuals hawa wanavutiwa na both Ke na Me, umemention Stud, Stud ni Masculine woman, muonekano wake wa nje hauhusiani na kila anachojihisi yeye, lakini kuna Trans Man wengi hua mnawaconfuse na Studs, hawa Trans Men wao ndio wanaji identify as Men,
Nakujibu, mahusiano ya Lesbians hayahitaji MWANAUME sababu term ya Lesbian inajieleza ni watu gani labda kama mnakutana na Bisexuals na Transmen.
Kitu gani? 😹Umenikumbusha kitu🤣
TehNakutamani wewe mmama