Why does Kenya lie on number of internet subscribers?

Why does Kenya lie on number of internet subscribers?

Japo watanzania wengi pia hawapendi twitter.com lakini hata huko bado tunawapiga spana

The gape of Tanzanians on twitter you can't compare to Kenya's on Instagram

Chengine, Instagram is more expensive than Twitter 😁😁
Wacha kutuletea mipasho, tuwekee pamoja na links kabisa weye kanyaboya, kwanini husiwe na mazoea ya kutetea utopolo wako na data au links.

kalb hayawan.
 
Ukitaka kujua umaarufu wa hayo matopolo yenyu mnayoyaita celebs tuonyeshe mashabiki wao TWITTER ama other sites zenye upeo na hadhi kwenye jamii siyo hayo ma instagram ya watoto na utopolo ya waliokwenda saint Kayumba na kukomea darasa la nne.

kalb wahed.
Yaani ungejua namna watanzania walivyo tajirikia instagram usingechukulia instagram simple hivyo

Instagram accounts ni business Tanzania, yaani ukiwa na account yenye followers 100k unauza na unapata pesa Safi kabisa
 
Eti sasa umemsaidia kanyaboya mwenzio wa hapo matopeni kwa kuleta ushuzi juu ya ushuzi.

kalb wahed.
kenya nzima hamna account ya twitter yenye 3.5 mln halafu umekaa unapiga kelele humu! Ungeonyesha basi twitter account yenye 8 mln followers kama ya Diamond yenye over 10 mln follwoers kama mpo twitter zaidi!

Kiufupi tunawagonga kotekote! Wakina Millardayo wana 1.1 mln followers, Reginald Mengi (RIP) ana zaidi ya 2 mln! Kikwete ana 1.4 mln wakina Zitto, wakina Moodewji wakina Kipanya, Makamba na wengine wengi wana over 1 mln followers sasa unajitamba nn hapo ulipo?
 
Sidhani hata kama yesu mtu wenyu yupo insta lakini kwa hakika yupo twitter, watu mashuhuri, marais wanajibizana twitter sio huo utopolo unaotaka kuniaminisha.
 
Sidhani hata kama yesu mtu wenyu yupo insta lakini kwa hakika yupo twitter, watu mashuhuri, marais wanajibizana twitter sio huo utopolo unaotaka kuniaminisha.
Wasafi Media 2018 est
KTN Media 2008 est
10 years difference

images - 2020-10-12T122124.526.jpeg
Screenshot_20201012-181644.png
Screenshot_20201012-181624.png
 
Hao watangazaji wenyu na media za kishenzi ambazo hazina hata weledi husifananishe na vyombo vyetu vyenye weledi ,kazi kuimba mapambio, haya tazama watu wazima wanavyopakatana hapo eti ndio logo kabisa front page hhahaahhaahha, kawaambie muonekano wa kampuni kwenye mitandao ndivyo navyo weledi ulivyo.
Weledi umeujua lini wewe mbung'o? 😁
 
Weledi ni neno limeanzishwa na Jakaya Kikwete siku anafungua TBC kutoka TvT

Kama hujui.

Professionalism*
Hahahah, eti unanifundisha Kiingereza.....pole sana myakusya sijui myamwezi..sijui mzaramo.....hahhhhhahah.
 
Ukitaka kujua insta ni ya watoto tafuta head of states huaga wana tweet mishe mishe zao wala huwezi ona wakipost habari muhimu insta..

Youtube ni mtandao wa biashar, so km mtu inategemea unapenda nn
Maneno ya mkosaji
Instagram hamuwezi tumia ninyi sababu hamna huo uchumi wa kutumia hiyo app kama mlivyo hamna uchumi wa kutumia YouTube

Mpo Twitter sababu ni cheap na providers wenu wansoffer za free Twitter 😁😁

Hutokaa uone free Instagram na ndio maana Africa ni Tanzania tunaongoza kwenye matumizi ya instagram
 
Back
Top Bottom